Hahahahaha tatizo kubwa liliopo vijana wengi wanapenda kujitutumua tofauti na uwezo wao ulivyo ili waonekane na wao wamo 🤣🤣Aaaah nyie mkija kijijin huwa ndo mnaji proud sana ......
That's y tunaona ngoja tuje kuona uhalisia [emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huwa wanajitafsiri kama ni wajanja fulani kumbe ni wagonjwa vichwani.Asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana matatizo ya afya ya akili. Full stop
Mtu akitaka kuzungushwa atafute bolt, huu mji sio wa kuzunguka zunguka bila mishe za kueleweka.Utaskia nipeleke Mlimani, Nipeleke Taifa, Nipeleke ikulu mara Nipeleke Beach.
Kama halijui kuna bolt.
Yaah mkuu...hata huyo cocastic ....ana udumavu wa akili .... kwasababu hyo ya malnutrition effectNdio tofaut io mkuu.. Huku kwetu ukibahatika asubuhi kitumbua kwa mama sele, mchana ugali na miguu ya kuku na kichwa au dagaa mchele kwa wenye kumudu, usiku supu ya mapupu [emoji23][emoji23] very nutritious japo kua maisha ni ya kuunga unga..
Yaaah ni kweli mkuu.....Hahahahaha tatizo kubwa liliopo vijana wengi wanapenda kujitutumua tofauti na uwezo wao ulivyo ili waonekane na wao wamo [emoji1787][emoji1787]
Kwamba jiji linawapelekea [emoji91][emoji91]Asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana matatizo ya afya ya akili. Full stop
Ndo ivyo utakuta hupajui kwakeWengi wao wana maisha magumu sana.Dawa ni kutowataarifu ujio wako.Nenda ufuate kilichokupeleka.Mengine ukikutana nayo sawa na usipoyakuta poa tu.
Haina haja kupajua anapoishi mtu mwenye tabia za kibaka.
cocastic huyu huyu au mwingine?Yaah mkuu...hata huyo cocastic ....ana udumavu wa akili .... kwasababu hyo ya malnutrition effect
Wanazalisha sana .....lakini wanakula mlo wa aina Moja[emoji23][emoji23]
Tofauti na mbeya huku
∆asubuhi ...Chai maziwa + parachichi[emoji1649]
∆ Mchana ..... kitmoto + mboga za majani + banana
∆usiku .....wali + mtindi + mboga za majani+ parachichi [emoji1649]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni Dar ila ukisikia nje kidogo ya mkoa wa Dar Es Salaam ndio maeneo hayo uliyoyataja😂😂😂😂😂 jamaniii
Kabisa aiseeWengi wana njaa na makazi yasio eleweka mkuu..... kwakifupi wengi wao wanaugumu wa maisha, kwahiyo tuwahurumie na tusiwatenge mkuu...
Hii signature inayoandika kwanini usiidisable
Huyo huyo mkuu[emoji23]cocastic huyu huyu au mwingine?
Sema wakija mikoan Wanajigamba sana ....kuwa kule wameyapatia .....so tuende tukaoneKwa Dar utamtafutia mtu lawama bure.
kiukweli dar watu hawana muda aisee. ule ni mji wa kuhemea 24/7 ni mji wa mikikimikiki 24/7.
kwazile foleni wengi wanatoka makwao usiku na kurudi usiku waweze kufika kwa wakati makazini. wengine hata ni majirani wa mtaa mmoja mwaka unapita hawaonani.
watoto wao wanawaona wikendi labda. mapumziko hakuna wengine hata siku za wikendi unakuta bado wanamtumikia kafiri (wako makazini).
mnavyowaona wamekuja mkoani hayo ndo mapumziko yenyewe.
wewe umetoka zako kamachumu muleba sijui gomero kisaki uko au matombo unataka utembezwe uone magorofa marefu yoote apo jijini na masoko makubwamakubwa, unataka ukae kwa utuo na mwenyeji wako mpige stori, seriously? kwa harakati za Dar huo muda mtu anautoa wapi bandugu?
vinginevo labda itokee ubahatishe ukute mtu yuko likizo na kaamua kuwa dar apo utainjoi au madogo wamemaliza shule wakakutembeze uko kitaa.
Achana nayo mkuu....inasymbilze ....how wealth I'mHii signature inayoandika kwanini usiidisable
Ona hii lofa sasa mimi nimefanyaje😂Kuna hii nusu albino Half american a.k.a haji manara aisee mbwa hii😂🤣
Kaka Mwakani nakuja dar, ole wako usi onekaneOna hii lofa sasa mimi nimefanyaje😂