Kwanini mtu wa Dar anachanganyikiwa ukimwambia unaenda kumtembelea?

Nadhani hizi ni sababu za msingi
 
Labda vijijini huko, na songea mbona vyakula ni vingi si ugali pekee,

Viazi mviringo,
Viazi vitamu,
Magimbi
Ndizi aina zote
Mchele
Mihogo
Samaki/dagaa kutoka ziwa nyasa,,,,,huku hakuna ugumu wa mmisosi aisee.
 
Dar hamna mashamba ya ndizi,mihogo,au mboga.Kila kitu ni kuingia mfukoni ili kieleweke jua hata nyumba ya nyasi ya kujitengenezea ama ya tope hamna inabidi upange kwa baba au mama mwenye nyumba.bei zenyewe kama za kilo ya dhahabu.Ajira tunaambiwa tuende veta,iweje hapa zaidi ya kuchanganyikiwa.
 
Kwani wewe Mushaambaa,kwenye sii hasa yeye wapo 702.
 
Labda vijijini huko, na songea mbona vyakula ni vingi si ugali pekee,

Viazi mviringo,
Viazi vitamu,
Magimbi
Ndizi aina zote
Mchele
Mihogo
Samaki/dagaa kutoka ziwa nyasa,,,,,huku hakuna ugumu wa mmisosi aisee.
Hio ndo sababu kubwa mkuu
Let say mtoto asubuhi anakula ... ugali----- carbohydrates

Mchana ....viazi mviringo --- carbohydrates

Usiku .....viazi vtamu ...... Carbohydrates

Kesho ndizi .... carbohydrates....

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwamba mmeshindwa kuchukua shule ya Bure Kwa chief godlove [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ooooh nilisahau na ngano pia zalimwa,,, sasa kuna vyakula zaidi ya hivyo au ni mapishi tofauti??
 
Kuna stage ya maisha mwanaume huwezi fikia kwa mtu hususan ikiwa umeoa. Utafikia nyumba za wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…