ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Unaposema kuwa Mungu kaumba majini mashetani na watu ili wamuabudu una maana gani?Kwani Mungu aliumba Majini Mashetani na watu kwa sababu gani ?
Si ili wamwabudu sasa kwao kumrudia Mungu kama walimkosea kuna shida gani.?
Utabiri wa aina hiyo haukubadiliki kwasababu hilo ni jambo ambalo linafanyika siku zoteNa predict kesho jua litaonekana kuchomoza duniani.
Kesho jua likichomoza na mimi nitakuwa Mungu?
tafiti yangu haina mahusiano na unachosema, kitu kinaweza kisiwe na Morality na kikamuamini mungu thats my point, kuna majambazi, wauaji, wanasiasa etc moral ni sifuri ila wanaamini kuhusu mungu, so wewe unaforce as if ni kitu kimoja wakati sio.1. Tafiti yako wapi imesema morality/ innate religion imetoka kwa Mungu?
2. Mimi nimekuweka tafiti zinazosema kwamba morality ni matokeo ya natural evolution, na haihitaji Mungu kuielezea.
Children’s normally and naturally developing minds make them prone to believe in divine creation and intelligent design. In contrast, evolution is unnatural for human minds; relatively difficult to believe.
Dr Barrett claimed anthropologists have found that in some cultures children believe in God even when religious teachings are withheld from them
Kutabiri kitu halafu kikatokea hakuthibitishi lolote zaidi ya kwamba umetabiri kitu halafu kikatokea.Utabiri wa aina hiyo haukubadiliki kwasababu hilo ni jambo ambalo linafanyika siku zote
Na usikute umesema hivyo kwa kuzingatia takwimu za TMA ambazo unafahamu ni 75% kutokea
Hata katika betting za mpira kubashiri ushindi kwa timu ambayo ina kikosi kizuri huwa hawatoi odds nyingi kwasababu wanajua asilimia za timu bora kushinda ni nyingi
Ila ukasema unatabiri hattrick kwa golikipa kutoka timu pinzani ambayo haina kikosi bora, hiyo ni superb
Mtu akisema watoto wanaamini katika Mungu naturally ndiyo uthibitisho kwamba Mungu yupo?tafiti yangu haina mahusiano na unachosema, kitu kinaweza kisiwe na Morality na kikamuamini mungu thats my point, kuna majambazi, wauaji, wanasiasa etc moral ni sifuri ila wanaamini kuhusu mungu, so wewe unaforce as if ni kitu kimoja wakati sio.
kwenye huu utafiti Dr Benett amekuwa specific kabisa na quote
so huu utafiti ni CHILD vs God na sio Morality usihamishe magoli, watoto hata ambao toka wamezaliwa hawajawahi kukutana na herufi ya dini still wanadevelop imani kwa mungu, so natural binadamu tukizaliwa tunaamini kuhusu Mungu.
so kama utafiti huu haupo sahihi unao utafiti unao disprove?
moja ya sifa ya Mungu hafanani na Chochote, na sababu akili ya mwandamau haiwezi mfananisha Mungu na chochote huwezi ku explain atleast kwa kutumia akili zetu. so kama Mungu ametengenezwa tayari huyo sio Mungu ameshakosa hio sifa.That is not how debunk works
Tunaweza kusema hivyo hivyo hata kwa vitu vingine ambavyo hautakuwa tayari kukubali kuwa havijaumbwa
Naweza kusema ulimwengu hauna chanzo, kuhoji chanzo cha ulimwengu unakuwa unafanya kosa la kuuliza mchoraji wa mchoro amechorwa na nani.
Utakubali?
Kama jibu litakuwa ni kinyume basi lazima tukubaliane dhana ya painter ni mbinu ya kukimbia uwajibikaji wa kujibu hoja
so kifupi huna tafiti ya kudisprove, wasalimie.Mtu akisema watoto wanaamini katika Mungu naturally ndiyo uthibitisho kwamba Mungu yupo?
watoto wakila mavi pia utasema mavi ni chakula kizuri kwa sababu watoto wanakula?
Unaelewa katika logic kuna fallacy inaitwa argument from nature/ appeal to nature?
View attachment 2394081
Your logical fallacy is appeal to nature
You argued that because something is 'natural' it is therefore valid, justified, inevitable, good or ideal.yourlogicalfallacyis.com
Kila kitu kinakuwa na viashiria, mtume inawezekana alikuwa weak katika wakati ule ila juhudi zake za kuniimarisha kujiandaa kuwa threat zilionekana mapema.Mfano Utabiri
-kwamba Mtume atawapiga waroma at that time mtume alikuwa na kigenge tu cha watu sembuse jeshi na Roma ni super power ambayo wanajeshi tu wapo in terms of Million. Mfano wake leo hii nitabiri wamakonde wataipiga Usa ina Mashiko right?
-utabiri wa kwamba Mabedui watashindana kujenga Maghorofa marefu Duniani. Mfano wake leo nitabiri Wamasai watashinda kujenga maghorofa marefu duniani ina mashiko pia? Hawa mabedui kwa maelfu ya miaka wanachunga tu kondoo huko jangwani na Ngamia ila ghalfla tu within short time Burj Khalifa, Milad, princess, clock towers etc zote zipo huko.
Kuna tabiri kibao nyengine zinatajwa wazi wazi hakuna fumbo lolote
The Prophecies of Prophet Muhammad ﷺ: Proofs of Prophethood Series (Updated) | Yaqeen Institute for Islamic Research
Some of the greatest and most convincing testimonies to the prophethood of Muhammad ﷺ are the multiple occasions on which he correctly predicted future events. Mohammad Elshinawy describe 30 of these predictions and how each and every one of them came to pass, just as he predicted.yaqeeninstitute.org
Sifa ya kutofanana na chochote hata kisichopo nacho kina sifa hiyo hiyomoja ya sifa ya Mungu hafanani na Chochote, na sababu akili ya mwandamau haiwezi mfananisha Mungu na chochote huwezi ku explain atleast kwa kutumia akili zetu. so kama Mungu ametengenezwa tayari huyo sio Mungu ameshakosa hio sifa.
ngoja nikuulize swali probability yaKila kitu kinakuwa na viashiria, mtume inawezekana alikuwa weak katika wakati ule ila juhudi zake za kuniimarisha kujiandaa kuwa threat zilionekana mapema.
Mtabiri kusema mtume atakuja kuwapiga waroma wakati dalili za kujifua, na uhasama kati yake na waroma zilionekana mapema, hiyo haifanyi story iwe ya kushangaza.
Mtabiri katumia statistic kwamba kila kitu kinapita njia hii
Huu ni utabiri wa kawaida na unafanywa na watu wengi, na wengine hata hawasikiki kwasbabu sio big issue
Ila kama alisema tarehe fulani ya mwezi fulani na mwaka fulani saa fulani na kweli siku hiyo aliyoisema jambo hilo likatokea hapo naweza kulichukulia jambo hilo kwa kustaajabisha
Sijakupa tafiti tu, nimekupa mpaka tafiti ya tafiti Meta.so kifupi huna tafiti ya kudisprove, wasalimie.
sababu claim zake na sign zake zinatokea kila siku? vitu ambavyo kikawaida ni hakuna binadamu ameweza fanya toka kuumbwa kwa ulimwengu?Sifa ya kutofanana na chochote hata kisichopo nacho kina sifa hiyo hiyo
Hata visivyopo navyo ni ngumu kueleza kwa akili ya watu kwasababu havipo
Sasa utajuaje kama kutoelezeka kwa Mungu hakuchangiwi na kutokuwepo kwake?
usijali mkuu, naomba wapelekee OXford hii hoja yako, umedisprove tafiti yao iliocost 1.9M, wamepoteza zaidi ya bilioni 4 bure, wajinga kweli.Sijakupa tafiti tu, nimekupa mpaka tafiti ya tafiti Meta.
Imekusanya tafiti kibao.
Tatizo, unajua kusoma kw aufahamu? Au unaacha emotions za kidini zikuendeshe katika mjadala wa tafiti za kisayansi?
Wewe tafiti yako imeanzia kwenye logical fallacy ya appeal to nature, yani ilipoanzia tu ni kwenye fallacy ya appeal to nature, kwa hivyo, chochote kitakachofuatia hapo kimeanzia kwenye fallacy.
View attachment 2394101
Mimi sijadiliani na Oxford, najadiliana na wewe, labda wewe wapelekee hao Oxford unaowaona ama Mungu wako hawawezi kukosea, ama wewe huwezi kuwanukuu nje ya muktadha wao.usijali mkuu, naomba wapelekee OXford hii hoja yako, umedisprove tafiti yao iliocost 1.9M, wamepoteza zaidi ya bilioni 4 bure, wajinga kweli.
Kila kitu kipo kwenye calculationngoja nikuulize swali probability ya
1. wamakonde kupigana vita na USA na kuwashinda
2. baada ya hivyo vita wapigane na China washinde
3. baada ya Hapo wapigane na Urusi wawashinde
leo hii mtu akiclaim hivyo na ikatokea ni kawaida?
What has morality to do with it?Kwani haiwezekani kwa mtu kuwa mtu wa hasira hasira, mtu mgomvi mgomvi, mtu mwenye matatizo ya akili yanayomfanya asijali morality, matatizo yaliyo katika level ya genetics, kumrithisha mtoto wake matatizo hayo hayo ya kutojali morality kwa kupitia hizo genetics?
Hujui kwamba matatizo mengine ya morality yanaendana na matatizo ya magonjwa ya akili, ambayo yanarithishwa kama vile unavyoweza kurithi magonjwa mengine kama kisukari, sickle cell etc?
Kwa hivyo kama morality si universal, inatengenezwa na jamii tu, morality ya hiyo jamii haiwezi kuvunjwa na kichaa kwa sababu huyo kichaa hajali hiyo morality?What has morality to do with it?
Kuna watu wana matatizo ya akili ya kucheka cheka mda wote, wengine wanakuwa violent, wengine wanakuwa peaceful lakini hayo yote ni irrelevant tukija kwenye issue ya morality.
Lets understand what morality is kwanza...Morality is a set of CODES of conduct ambazo zina govern right from wrong.
Key word hapo ni Code...it means ni principles ESTABLISHED not inherited...Hizi codes zinaweza kuwa established na individual au jamii and they can change with time(refer issue ya ushoga)..... it means morality sio universal.
Morality inatengenezwa na jamii kupitia phylosophy, relogion au culture.
So kitu kinaweza kuwa moral katika jamii hii na kuwa immoral katika jamii nyingine, vile vile kitu kinaweza kuwa moral kichwani mwa huyu na kikawa immoral kichwani kwa mwingine.
Kwahyo kama ipo jamii ambayo kwao kuua ni moral basi it is Moral to them, who are we ro judge?
Ndomaana kuna jamii za canibals wanakula watu and its moral to them.
So by that definition of morality, Hakuna kitu kama inherited morality.
Huwezi kuinherit sense ya haki za ushoga na haki za wanawake, these things are established.
Morality is established.
Eg. In Middle east, it's immoral mwanamke kuonesha nywele wakati hapa bongo tunaachia tu.
So mtu anaweza kumrithisha kupitia DNA mwanae sense ya kufunika kichwa?
Namimi hakuna sehemu nimesema utabiri unaotokea unathibitisha chochoteKutabiri kitu halafu kikatokea hakuthibitishi lolote zaidi ya kwamba umetabiri kitu halafu kikatokea.
Kuna wazungu walikuja Africa wakakuta watu hawajui geography, wakatabiri jua litapatwa siku fulani.
Waafrika hawakujua kutabiri kupatwa kwa jua.
Jua lilivyopatwa siku ile waliyotabiri wazungu, wale waafrika wakawaona hawa wazungu ni miungu, wanajua kutabiri jua litapatwa siku gani.
Kumbe ile ilikuwa ni sayansi tu ambayo Waafrika walikuwa hawaijui.
ulitakiwa ulete hoja hii na sio uongo wa mwanzo na kuhamisha magoli, sijasema kama hii hoja inathibitisha Mungu yupo bali hii utafiti unathibitisha kauli ya Mtume kwamba binadamu wote tunazaliwa tukimuamini mungu ila makuzi yetu ndio yanatubadilisha, kasome vizuri comment ya mwanzo kabisa ulio ni quote.Mimi sijadiliani na Oxford, najadiliana na wewe, labda wewe wapelekee hao Oxford unaowaona ama Mungu wako hawawezi kukosea, ama wewe huwezi kuwanukuu nje ya muktadha wao.
Nina wasiwasi kama unajua kusoma kwa ufahamu na kutafsiri tafiti kwa kina.
Ndiyo maana ukiona tafiti inayosema kwamba watoto wanaonekana kuamini Mungu yupo naturally, unatafsiri huo kama ushahidi kwamba Mungu yupo.
Bila kujua kwamba inawezekana kabisa watoto wakaamini Mungu yupo bila Mungu kuwepo.
Au watoto wanaweza kuamini kwamba wanamuangalia mtu tofauti wanapojiangalia kwenye kioo, bila ya huyo mtu tofauti kuwepo.
Hujui hata kutafsiri hizo tafiti unazozileta hapa.
Kama Mungu anaweza kutabiri, kwa nini tunaambiwa mara alikasirika, mara alitaka kughairi uumbaji akaleta gharika.Namimi hakuna sehemu nimesema utabiri unaotokea unathibitisha chochote
Zaidi nimeongelea madai yanayodaiwa kama utabiri kuyaongelea kiukubwa kama njia ya kuthibitisha jambo jingine kuwa sio sawa.
Nikatoa na mfano, kuwa kama hayo madai ya kiutabiri ndio hoja ya kuthibitisha habari za Mungu basi ilipaswa walau yaje yakiwa na full informations
Kama bible imeandikwa karne ya kwanza basi tabiri zake zilipaswa kuambatana na saa, tarehe, mwezi na mwaka wa tukio husika ili ikitokea watu watoe kongole kwa Mungu