Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Unajuaje binadamu wote tunazaliwa tukiamini Mungu?

Unajua hata hilo jina "binadamu" ni misnomer?

Kwa nini unachoamini kiwe muhimu zaidi ya kinachoweza kuthibitishwa?

Kuamini mbona unaruhusiwa kuamini lolote, ni haki yako ya kikatiba, lakini je, unaweza kuthibitisha unachoamini ni kweli na si uongo?
 
Kama Mungu anaweza kutabiri, kwa nini tunaambiwa mara alikasirika, mara alitaka kughairi uumbaji akaleta gharika.

Ina maana alishindwa kutabiri au vipi?
Na kwanini akasirike wakati kila kitu kinafanyika kwa mipango yake?

Na mipango yake haina makosa
 
Na kwanini akasirike wakati kila kitu kinafanyika kwa mipango yake?

Na mipango yake haina makosa
Hapo ndipo utaona huyu Mungu katungwa na watu, ni hadithi tu, hayupo nje ya hadithi.
 

Naomba uende google check watu walio uliwa na mungu kwenye bible
 

Hapo hapo kwahyo babu zetu watachomwa mwotoni
 
Sahih Muslim 2366 b

This hadith has been narrated on the authority of Zuhri with the same chain of transmitters (and the words are):

" The newborn child is touched by the satan (when he comes in the world) and he starts crying because of the touch of satan." In the hadith transmitted on the authority of Shu'aib there is a slight variation of wording.

( huyu huyu shetani anaye wagusa watoto wanapozaliwa ni sifa kumbe au mkunga ndio shetani mwenyewe)


Sahih al-Bukhari 3286

Narrated Abu Huraira:

The Prophet (ο·Ί) said, "When any human being is born. Satan touches him at both sides of the body with his two fingers, except Jesus, the son of Mary, whom Satan tried to touch but failed, for he touched the placenta-cover instead."


(Kumbe sifa hii ya shetani ina vidole viwili vinavyo gusa watoto wachanga hawa wakunga hawa wana maajabu sana)
 
Sijasema wingi wa watu msinilishe maneno pls.

Nimeongelea wingi wa sign.
Wingi wa sign hizo sign unaziangalia wapi na vipi?

Unataka kujua samaki mdogo kabisa, kwa nyavu yenye matundu ya cm 5.

Ukipata samaki waliozidi cm 5 tu, kwa sababu huo ndiyo ukubwa wa matundu katika nyavu zako, unasema hakuna samaki aliye chini ya cm 5.

Unaishia ku conclude samaki mdogo kabisa ana cm 5, kwa sababu signs zote za kuangakia samaki uliowavua wanaanzia cm 5.

Wakati hujui kwamba umeanza zoezi na selection bias ya nyavu.

Wewe nimekupa tafiti zinazoonesha morality inatokea naturally.

Hukutaka hata kuzisoma uzikanushe.

Kwa sababu una selection bias.

Umechagua upande wako, hutaki kusikia wala kujadili upande tofauti.
 
Thibitisha huyo Mungu yupo kweli na si Mungu wa hadithi za kutungwa na watu tu.

Unahakikishaje Mungu yupo kweli na habari za kuwapo kwake si uongo tu?
 
Magonjwa ya akili yanayoaffect behavior yapo mengi sana. Kwahyo kupin point gonjwa moja au mawii (kwenye >1000) linalosababisha behaviour kuwa immoral...Na kulitumia hilo gonjwa kama Alas! Hense morality stems from those genes that cause that disease....it's just bad science.

Kama hao vichaa wanazaliwa na kukua katika jamii ambayo kila mtu ni kichaa, then they will be perfectly moral.

Morality does not care huyu ni kichaa yule ni professa, Morality is just a set of principles accepted by a certain society.
So, kama jamii tukikubaliana it is immoral kuongea kwa kigugumizi..na watu wakazaliwa na kigugumizi basi kwetu watakuwa immoral na wakizaa wenye vigugumizi yes watakuwa immoral.
But you are missing the point...really hao wakienda jamii ya wenye vigugumizi wenzao watakuwa moral.

Na since morality changes over time, hata hao vichaa unaosema wauaji na immoral, kama ikitokea circumstances zikapelekea jamii ikaja kuaccept kuua then watakuwa sio immoral tena.
So morality actualy is subjective not objective.

Na hiyo collective moral code uliyoongelea ya jamii fulani inaweza kuwa immoral kwa collective moral code ya jamii nyingine, kama ambavyo ushoga ni immoral middle east and moral huko USA.

Btw, Morality covers a lot of aspects in life. Most of those aspects haziwezi kurithishwa generically.
Genetics utaishia kuongelea psychopathy, kuua, violence nk. But that really is not even 1% of what morality encompasses.
Morality even cares whether laughing at a funeral is right or wrong, whether sitting in a bus when an old lady is standing is right or wrong, whether telling a girl you love her on the first date is right or wrong..

So using that <1% of morality issues that can be affected geneticaly to justify that the whole beast of Morality is a genetic thing, , , its not just bad research. Its a bad arguing.
 
Umehoji genetics zinawezaje kurithisha morality.

Nimekuuliza swali dogo la ku test logic yako na yangu.

Jamii A imekubaliana kuua ni kubaya.

Kichaa B ana matatizo ya genetics yaliyomsababishia kichaa, akawa haoni ubaya wa kuua. Na akamrithisha mtoto wake C tabia hii inayovunja morality ya kukataa kuua.

Mtoto C naye akarithi kuvunja morality ya jamii A, genetically.

Hapo huoni morality ya kukataa kuu inavyovunjwa na kuvunjwa huko kunavyorithishwa genetically?
 
Why unataka ujibiwe maswali hali ya kuwa wewe ndio bingwa wa kukimbia hoja na kutunga vitu vyengine out of Topic?

Na hata hizo sign hujaziona wala kuambiwa tayari unazipinga inaonekana position yako ipo wapi.

So mwisho wa siku utabaki na dini yako na mimi nitabaki na dini yangu.
 
Wapi nimekimbia hoja na kwenda out of topic?

Hebu weka quote halafu ielezee nilivyokimbia hoja na kwenda out of topic.
 
Morality is a set of codes/principles (in plural.)
Depending on the society
Unaweza kuwa hauui ila unajamba kanisani jamii ikasema wewe ni immoral.
So napoongelea morality siongelei tabia moja kama kuua. Naongelea sum yote ya principles zote za kwenye hiyo jamii.
Principles hizi zinacover areas zote kwenye life.

Kwasababu ukipin point small areas for morality, sio genetics tu basi everything in this universe affects morality. Even mathematics will affect morality.

Sasa napoulizia morality as a whole ikicover all aspects of life (mahusiano, majukumu, ndoa, nk.) Vitu navyojua vinaiffect ni phylosophy, religion or culture.

Sasa hapo genetics inaaffect vipi?
Genetics inaweza kusema sio moral kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?
 
Kwa kudiscredit tafiti kwa hoja isiyo na miguu wala mikono?
Hujanukuu, umeropoka.

Hujaeleza wapi nime discredit tafiti gani, ipi hoja yangu isiyo na miguu wala mikono.

Unaendekeza lawama za kijinga kwa kutumia uzembe na uvivu.
 
Kwani philosophy, religion na culture haviwezi kuwa affected na genetics?

Hebu soma maandiko ya tafiti za kisomi yanayoonesha uhusiano wa morality na genetics, hqlafu na wewe toa maandiko ya kitafiti kupinga hilo.

Tubishane kwa tafiti.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…