raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kamati ya roho mbaya 😆Hakuna kamati ninayo iogopa kama ile KAMATI iliyo kaa na kupanga mambo ya Mungu na Shetani, wale jamaa ni watu hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati ya roho mbaya 😆Hakuna kamati ninayo iogopa kama ile KAMATI iliyo kaa na kupanga mambo ya Mungu na Shetani, wale jamaa ni watu hatari sana
Unajuaje binadamu wote tunazaliwa tukiamini Mungu?ulitakiwa ulete hoja hii na sio uongo wa mwanzo na kuhamisha magoli, sijasema kama hii hoja inathibitisha Mungu yupo bali hii utafiti unathibitisha kauli ya Mtume kwamba binadamu wote tunazaliwa tukimuamini mungu ila makuzi yetu ndio yanatubadilisha, kasome vizuri comment ya mwanzo kabisa ulio ni quote.
na nimetoa hoja kwangu mimi naaamini Mungu yupo kwa Collection ya hizo Signs, kuna signs nyingi zisizo na idadi hii ikiwa moja wapo.
Na kwanini akasirike wakati kila kitu kinafanyika kwa mipango yake?Kama Mungu anaweza kutabiri, kwa nini tunaambiwa mara alikasirika, mara alitaka kughairi uumbaji akaleta gharika.
Ina maana alishindwa kutabiri au vipi?
Hapo ndipo utaona huyu Mungu katungwa na watu, ni hadithi tu, hayupo nje ya hadithi.Na kwanini akasirike wakati kila kitu kinafanyika kwa mipango yake?
Na mipango yake haina makosa
Mungu haui watu.
Bali anawachukua na kuwa weka katika hatua nyingine.
Mi ugomvi wangu ni hii imani ambayo watu wenye dhambi wanawaua watu wengine wenye dhambi kwa kisingizio cha wamemkosea Mungu.
Hakuna Binadamu ambaye hatendi dhambi ndio maana Mungu katoa fursa ya kutubu kwake na ameahidi kusamehe.
Kuchinja binadamu mwenza kwa kisingizio cha dini ni vitendo vya kishirikina kabisa.
Mungua ashatoa amri USIUE.
Shirki (ushirikina) ni miongoni mwa madhambi makubwa! Na ni dhambi kubwa kuliko madhambi yote unayoyajua wewe.Kuiba,kuua,kuzini,kusema uongo,kusengenya n.k hakufikii ukubwa wa hii dhambi.
Shirki (Ushirikina) ni kitendo cha kumuwekea Mungu washirika katika masuala yote ya Ibada.
Mfano ukiamini kuwa kuna kitu,mtu au jini anaweza kukupa wewe riziki kama/Pamoja au zaidi ya Mungu. Hapa unakuwa umemuwekea Mungu mshirika. Mfano unaumwa au una matatizo ila ukaenda kumuomba babu yako aliyezikwa miaka mingi iliyopita kaburini akusaidie kukuponya au kukutatulia matatizo yako ,hapa unakuwa umemfanya babu yako kuwa nae ni Mungu pamoja na Mungu.Hivyo umemfanyia Mungu kuwa ana mshirika.
Au ukaitakidi kuwa mizimu au miti (mibuyu) ukienda kuiomba ina uwezo wa kukutatulia matatizo yako hapa unakuwa umefanya ushirikina.
Au unamatatizo ukaensa kwa mganga akupigie ramli na kuwaomba majini wakusaidie kukutatulia matatizo yako ya biashara,kupata mali au watoto....hapa unakuwa umefanya shirki. Unakuwa ni Mshirikina.
Au nafsini kwako ukiwa na itikadi kuwa kuna Mungu zaidi ya mmoja kama walivyo wahindi na mabudha.Huo unakuwa ni ushirikina.
Ina maana kuwa umeshajitoa katika imani ya Mungu mmoja apasae kuabudiwa peke yake.
Mfano mzuri ni pale Unapokuwa na biashara kisha ukamuajiri mtu akuuzie bidhaa zako...yule mtu akauza vizuri kisha pesa yako yote akaichukua na kwenda kumpa mtu mwingine ambaye huna share nae katika umiliki wa biashara yako.Na ukimuuliza why kafanya hivyo ,anakujibu kuwa hakuna ubaya kumpa mtu mwingine pesa yako kwani ww na yule wote ni sawa!...
Je unaona ubaya wa hii kitu?? Ni wazi kuwa utachukizwa na jambo hilo na ikiwezekana unaweza hata kumuadhibu huyo mfanyakazi wako kwa tendo alilolifanya.
Hii ndio SHIRKI (ushirikina)
Ni mada pana sana.Ushirikina una matawi yake mengi tu. Ila kiufupi huo ndio uhalisia wa dhambi ya SHIRKI.
Iwapo mtu atakufa akiwa na dhambi hii pasi na kutubia kwa mola wake ajue kuwa MUNGU haisamehi kamwe na amemuharamishia pepo mtu ambae atakufa hali ya kuwa ni mshirikina.
Sahih Muslim 2366 bUnaposema kuwa Mungu kaumba majini mashetani na watu ili wamuabudu una maana gani?
Maandiko yanasema kuwa Mungu aliumba Majini na Watu ili wamuabudu. Ushetani ni sifa ambayo kiumbe hujivika nayo baada ya kuja hapa duniani. Ila kila kiumbe kinazaliwa kikiwa safi kabisa,hakina dhambi hata moja ila maisha ya uasi ndio hukipelekea kuwa na sifa ya ushetani.
Wingi wa sign hizo sign unaziangalia wapi na vipi?Sijasema wingi wa watu msinilishe maneno pls.
Nimeongelea wingi wa sign.
Thibitisha huyo Mungu yupo kweli na si Mungu wa hadithi za kutungwa na watu tu.Kama kawaida yenu enyi mliokufuru, kufanya kejeli dhidi ya waliomuamini Mungu. Hamna jambo jipya mtakuja kulifanya ambalo baba zenu waliowatangulia ktk kukufuru hawakulifanya. Huwa mnarudi yale yale ila karibu mtakuja jua. Mwanadamu umri wako ni mchache sana.
Magonjwa ya akili yanayoaffect behavior yapo mengi sana. Kwahyo kupin point gonjwa moja au mawii (kwenye >1000) linalosababisha behaviour kuwa immoral...Na kulitumia hilo gonjwa kama Alas! Hense morality stems from those genes that cause that disease....it's just bad science.Kwa hivyo kama morality si universal, inatengenezwa na jamii tu, morality ya hiyo jamii haiwezi kuvunjwa na kichaa kwa sababu huyo kichaa hajali hiyo morality?
Kama jamii ina moral code inayokataza kuua, lakini kuna kichaa ambaye ana matatizo ya genetics, kicha kiko genetically, hajali hiyo moral code, naye akamzaa kichaa aliyemritisha kutojali huko hiyo moral code genetically, hapo huwezi kuona kwamba kutojali hiyo collective moral code kumerithishwa genetically?
Umehoji genetics zinawezaje kurithisha morality.Magonjwa ya akili yanayoaffect behavior yapo mengi sana. Kwahyo kupin point gonjwa moja au mawii (kwenye >1000) linalosababisha behaviour kuwa immoral...Na kulitumia hilo gonjwa kama Alas! Hense morality stems from those genes that cause that disease....it's just bad science.
Kama hao vichaa wanazaliwa na kukua katika jamii ambayo kila mtu ni kichaa, then they will be perfectly moral.
Morality does not care huyu ni kichaa yule ni professa, Morality is just a set of principles accepted by a certain society.
So, kama jamii tukikubaliana it is immoral kuongea kwa kigugumizi..na watu wakazaliwa na kigugumizi basi kwetu watakuwa immoral na wakizaa wenye vigugumizi yes watakuwa immoral.
But you are missing the point...really hao wakienda jamii ya wenye vigugumizi wenzao watakuwa moral.
Na since morality changes over time, hata hao vichaa unaosema wauaji na immoral, kama ikitokea circumstances zikapelekea jamii ikaja kuaccept kuua then watakuwa sio immoral tena.
So morality actualy is subjective not objective.
Na hiyo collective moral code uliyoongelea ya jamii fulani inaweza kuwa immoral kwa collective moral code ya jamii nyingine, kama ambavyo ushoga ni immoral middle east and moral huko USA.
Btw, Morality covers a lot of aspects in life. Most of those aspects haziwezi kurithishwa generically.
Genetics utaishia kuongelea psychopathy, kuua, violence nk. But that really is not even 1% of what morality encompasses.
Morality even cares whether laughing at a funeral is right or wrong, whether sitting in a bus when an old lady is standing is right or wrong, whether telling a girl you love her on the first date is right or wrong..
So using that <1% of morality issues that can be affected geneticaly to justify that the whole beast of Morality is a genetic thing, , , its not just bad research. Its a bad arguing.
Why unataka ujibiwe maswali hali ya kuwa wewe ndio bingwa wa kukimbia hoja na kutunga vitu vyengine out of Topic?Wingi wa sign hizo sign unaziangalia wapi na vipi?
Unataka kujua samaki mdogo kabisa, kwa nyavu yenye matundu ya cm 5.
Ukipata samaki waliozidi cm 5 tu, kwa sababu huo ndiyo ukubwa wa matundu katika nyavu zako, unasema hakuna samaki aliye chini ya cm 5.
Unaishia ku conclude samaki mdogo kabisa ana cm 5, kwa sababu signs zote za kuangakia samaki uliowavua wanaanzia cm 5.
Wakati hujui kwamba umeanza zoezi na selection bias ya nyavu.
Wewe nimekupa tafiti zinazoonesha morality inatokea naturally.
Hukutaka hata kuzisoma uzikanushe.
Kwa sababu una selection bias.
Umechagua upande wako, hutaki kusikia wala kujadili upande tofauti.
Wapi nimekimbia hoja na kwenda out of topic?Why unataka ujibiwe maswali hali ya kuwa wewe ndio bingwa wa kukimbia hoja na kutunga vitu vyengine out of Topic?
Na hata hizo sign hujaziona wala kuambiwa tayari unazipinga inaonekana position yako ipo wapi.
So mwisho wa siku utabaki na dini yako na mimi nitabaki na dini yangu.
Kwa kudiscredit tafiti kwa hoja isiyo na miguu wala mikono?Wapi nimekimbia hoja na kwenda out of topic?
Hebu weka quote halafu ielezee nilivyokimbia hoja na kwenda out of topic.
Morality is a set of codes/principles (in plural.)Umehoji genetics zinawezaje kurithusha morality.
Nimekuuliza swali dogo la ku test logic yako na yangu.
Jamii A imekubaliana kuua ni kubaya.
Kichaa B ana matatizo ya genetics yaliyomsababishia kichaa, akawa haoni ubaya wa kuua. Na akamrithisha mtoto wake C tabia hii inayovunja morality ya kukataa kuua.
Mtoto C naye akarithi kuvunja morality ya jamii A, genetivally.
Hapo huoni morality ya kukataa kuu inavyovunjwa na kuvunjwa huko kunavyorithishwa genetically?
Hujanukuu, umeropoka.Kwa kudiscredit tafiti kwa hoja isiyo na miguu wala mikono?
Kwani philosophy, religion na culture haviwezi kuwa affected na genetics?Morality is a set of codes/principles (in plural.)
Depending on the society
Unaweza kuwa hauui ila unajamba kanisani jamii ikasema wewe ni immoral.
So napoongelea morality siongelei tabia moja kama kuua. Naongelea sum yote ya principles zote za kwenye hiyo jamii.
Principles hizi zinacover areas zote kwenye life.
Kwasababu ukipin point small areas for morality, sio genetics tu basi everything in this universe affects morality. Even mathematics will affect morality.
Sasa napoulizia morality as a whole ikicover all aspects of life (mahusiano, majukumu, ndoa, nk.) Vitu navyojua vinaiffect ni phylosophy, religion or culture.
Sasa hapo genetics inaaffect vipi?
Genetics inaweza kusema sio moral kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?