Hakuna mwanadamu ambaye anapoletewa habari za Kristo na wokovu wake ambaye moyo wake hautaguswa. Ni kwamba watu wanaamua tu kukataa kuupokea wokovu.kwako wewe sawa ila kwa mwingine ambaye hakubaliani na mawazo yako huoni kumchoma moto wa milele ni kumuonea ?
Maisha baada ya kuzaliwa mara ya pili unayaishi wapi?Ni duniani
Unaanza kuyaishi duniani na katika utimilifu wake utakapoachana na mwili huu wenye tamaa.Maisha baada ya kuzaliwa mara ya pili unayaishi wapi?
Hakuna ushahidi wa kimwili bali wa kiimani wa huo ulimwengu. Si ndio?Unaanza kuyaishi duniani na katika utimilifu wake utakapoachana na mwili huu wenye tamaa.
Ushahidi wake upo ila hauonekani kimwili kama ambavyo huwezi kuona upepo ingawa upo.Hakuna ushahidi wa kimwili bali wa kiimani wa huo ulimwengu. Si ndio?
Well kuwepo sehemu ambapo wenzangu wanatengwa sababu ya itikadi sidhani kama sehemu hio nitaiita Peponi..., bali sioni tofauti sana na kinachoendelea huku (kutengana kwa tofauti / fikra)Unfortunately huu ni ukweli mchungu. Christ is the only way. Ni namna gani Mungu atadeal na wale ambao hawajawahi kusikia injili? Hilo tumuachie Mungu mwenyewe ingawa hints zinaonesha atatumia conscience zao.
Those were not true christians. Kuwa mkristo sio jina bali ni christ likeness.
Kwahio kama Shetani alijua ukweli hana udhaifu wowote na anaelewa kamili..., kwahio huoni logically alichofanya kilikuwa sahihi kutokana na information ambazo yeye anazo ambao kwa imani yako unakiri kwamba mimi na wewe hatuna ?Msamaha upo kwa binadamu, kutokana na hali alizonazo binadamu, ambazo ni:-
(1) Kutokujua ukweli ( ignorance).
(2) Udhaifu wa mwili( ubinadamu).
(3)Kukosekana kwa uelewa kamili ( uelewa wa binadamu unatofautiana kutokana na sababu mbalimbali,( Mfano: umri, elimu, nk).
Kimwili Upepo unatambulika katika njia za utambuzi. Kunusa, kuona, kusikia, kugusa. Upepo ukikugusa unajua kabisa huu ni upepo na utauhisikia. Toa mfano mwingine.Ushahidi wake upo ila hauonekani kimwili kama ambavyo huwezi kuona upepo ingawa upo.
Kupenda ni bora kuliko kutamani. Utaishi kwa upendo kwenye ulimwengu wa roho.Maisha bila kutamani si ni kama Robot tu...
Umewahi kuiona harufu au hisia? Vipi unaweza kuyaona mawazo?Kimwili Upepo unatambulika katika njia za utambuzi. Kunusa, kuona, kusikia, kugusa. Upepo ukikugusa unajua kabisa huu ni upepo na utauhisikia. Toa mfano mwingine.
Mawazo ya nani? Hisia za nani? Harufu ipo sababu naweza iprove kwa kunusa. Hayo mengine ya mawazo na hisia yapo katika ulimwengu wa nadharia zisizoweza kuthibitishwa mpaka kutokee tendoUmewahi kuiona harufu au hisia? Vipi unaweza kuyaona mawazo?
Dini ilianzishwa siku mjanja kuliko wote alipokutana na mjinga kuliko woteHakuna kamati ninayo iogopa kama ile KAMATI iliyo kaa na kupanga mambo ya Mungu na Shetani, wale jamaa ni watu hatari sana
Kwahiyo sasa umeshaelewa uwepo wa kitu ingawa huwezi kukiona au kukigusa?Mawazo ya nani? Hisia za nani? Harufu ipo sababu naweza iprove kwa kunusa. Hayo mengine ya mawazo na hisia yapo katika ulimwengu wa nadharia zisizoweza kuthibitishwa mpaka kutokee tendo
Ndiyo hivyo bible inasema yeye ndiye aliyetuumba na hakuna chanzo kingine cha binaadam kilicho na mashiko kuzidi creation theoryMimi issue sio kumkuta au kumkosa.., hilo naweza kuishi nalo issue ni jinsi watu wanavyoamini kwamba huyu anaweza kuamua chochote wakati wowote anakisirani na akiamua kudeal na wewe unawekwa kwenye moto ambao haujawahi kuuona, na cha kufanya asubuhi mpaka jioni ni kusifia tuuuu..., Sasa hao wakusifia tu huku tunawaita chawa (kwahio naogopa nisijekuwa chawa)
Unavyoaminisha watu hapa kama umewahi kuiona vile,upuuzi mtupu.Ukifanya kosa kwenye spirit realm linakuwa permanent.
Kuna uwepo wa kitu na nadharia. Mawazo, hisia ni nadharia zinazohitaji uthibtisho. Harufu sio nadharia ni kitu halisi na unaweza kukithibitisha kwa kukinusa. Mawazo yako ya spirit world ni nadharia katika upande wa imani, huwezi uthibitisha kwenye ulimwengu halisi. Prove me wrong.Kwahiyo sasa umeshaelewa uwepo wa kitu ingawa huwezi kukiona au kukigusa?
Haya ni mawazo yako,au unaweza kunipa andiko?Dhambi ya usaliti HAISAMEHEKI