Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

kwako wewe sawa ila kwa mwingine ambaye hakubaliani na mawazo yako huoni kumchoma moto wa milele ni kumuonea ?
Hakuna mwanadamu ambaye anapoletewa habari za Kristo na wokovu wake ambaye moyo wake hautaguswa. Ni kwamba watu wanaamua tu kukataa kuupokea wokovu.
 
Unaanza kuyaishi duniani na katika utimilifu wake utakapoachana na mwili huu wenye tamaa.
Hakuna ushahidi wa kimwili bali wa kiimani wa huo ulimwengu. Si ndio?
 
Unfortunately huu ni ukweli mchungu. Christ is the only way. Ni namna gani Mungu atadeal na wale ambao hawajawahi kusikia injili? Hilo tumuachie Mungu mwenyewe ingawa hints zinaonesha atatumia conscience zao.

Those were not true christians. Kuwa mkristo sio jina bali ni christ likeness.
Well kuwepo sehemu ambapo wenzangu wanatengwa sababu ya itikadi sidhani kama sehemu hio nitaiita Peponi..., bali sioni tofauti sana na kinachoendelea huku (kutengana kwa tofauti / fikra)
 
Msamaha upo kwa binadamu, kutokana na hali alizonazo binadamu, ambazo ni:-
(1) Kutokujua ukweli ( ignorance).
(2) Udhaifu wa mwili( ubinadamu).
(3)Kukosekana kwa uelewa kamili ( uelewa wa binadamu unatofautiana kutokana na sababu mbalimbali,( Mfano: umri, elimu, nk).
Kwahio kama Shetani alijua ukweli hana udhaifu wowote na anaelewa kamili..., kwahio huoni logically alichofanya kilikuwa sahihi kutokana na information ambazo yeye anazo ambao kwa imani yako unakiri kwamba mimi na wewe hatuna ?
 
Ushahidi wake upo ila hauonekani kimwili kama ambavyo huwezi kuona upepo ingawa upo.
Kimwili Upepo unatambulika katika njia za utambuzi. Kunusa, kuona, kusikia, kugusa. Upepo ukikugusa unajua kabisa huu ni upepo na utauhisikia. Toa mfano mwingine.
 
Kimwili Upepo unatambulika katika njia za utambuzi. Kunusa, kuona, kusikia, kugusa. Upepo ukikugusa unajua kabisa huu ni upepo na utauhisikia. Toa mfano mwingine.
Umewahi kuiona harufu au hisia? Vipi unaweza kuyaona mawazo?
 
Umewahi kuiona harufu au hisia? Vipi unaweza kuyaona mawazo?
Mawazo ya nani? Hisia za nani? Harufu ipo sababu naweza iprove kwa kunusa. Hayo mengine ya mawazo na hisia yapo katika ulimwengu wa nadharia zisizoweza kuthibitishwa mpaka kutokee tendo
 
Mawazo ya nani? Hisia za nani? Harufu ipo sababu naweza iprove kwa kunusa. Hayo mengine ya mawazo na hisia yapo katika ulimwengu wa nadharia zisizoweza kuthibitishwa mpaka kutokee tendo
Kwahiyo sasa umeshaelewa uwepo wa kitu ingawa huwezi kukiona au kukigusa?
 
Mimi issue sio kumkuta au kumkosa.., hilo naweza kuishi nalo issue ni jinsi watu wanavyoamini kwamba huyu anaweza kuamua chochote wakati wowote anakisirani na akiamua kudeal na wewe unawekwa kwenye moto ambao haujawahi kuuona, na cha kufanya asubuhi mpaka jioni ni kusifia tuuuu..., Sasa hao wakusifia tu huku tunawaita chawa (kwahio naogopa nisijekuwa chawa)
Ndiyo hivyo bible inasema yeye ndiye aliyetuumba na hakuna chanzo kingine cha binaadam kilicho na mashiko kuzidi creation theory
 
Kwahiyo sasa umeshaelewa uwepo wa kitu ingawa huwezi kukiona au kukigusa?
Kuna uwepo wa kitu na nadharia. Mawazo, hisia ni nadharia zinazohitaji uthibtisho. Harufu sio nadharia ni kitu halisi na unaweza kukithibitisha kwa kukinusa. Mawazo yako ya spirit world ni nadharia katika upande wa imani, huwezi uthibitisha kwenye ulimwengu halisi. Prove me wrong.
 
Back
Top Bottom