Kuna sense zaidi ya macho..., harufu unanusa, sauti unasikia, upepo una-ufeel au kuona impact yake (na sio wewe tu wote waliopo pale kwa wakati husika wataona impact na kufeel huo upepo , i.e kuwapuliza) Tofauti na imani wewe unaweza ukaona kiini macho (karata tatu ukadhani hio karata ni nyekundu) kumbe ni trick of the mind wengine hawataona hivyo kama wewe...Umewahi kuiona harufu au hisia? Vipi unaweza kuyaona mawazo?
Kwamba authenticity ya Bible inakubaliwa na every living being hapa duniani kwamba ndio ukweli ?Ndiyo hivyo bible inasema yeye ndiye aliyetuumba na hakuna chanzo kingine cha binaadam kilicho na mashiko kuzidi creation theory
Ili uelewe vizuri concept ya kuzaliwa mara ya pili nakupa mfano huu,Kwahio hawa malaika wenyewe hawakuzaliwa mara ya Pili ? Au hio Option ilikuwa haipo Na kama hii lock / stopper ilikuwepo tangia zamani si ingewekwa wakati anawaumba hawa mashetani ? Kuliko wenyewe kuwaacha na free spirit alafu wewe kupewa hii stopper ya kukuzuia kuasi...
Nadhani kwenye Kangaroo Court ningeweza kusema hapo Shetani alipewa a Raw Deal...
😅😅😅 kama mrusi na m-ukraine......😅😅Kwamba authenticity ya Bible inakubaliwa na every living being hapa duniani kwamba ndio ukweli ?
Ni vigumu kutumia Katiba ya Kenya kuwahukumu watu wa Korea..., ila nimempa huyu mtoa mada loophole kwa kutumia Katiba yake kuonyesha kwanini ni Haki / Sawa wao kutokusamehana hence kutuumiza sisi wakati sisi tunafundishwa kusamehe..., Hizi Double Standard kama zipo na kuna uwezekano wa kubadilika ningeomba katika sala zetu tuongeze na hili Ombi la kubadilisha hilo au kuwaomba wakae mezani
Msamaha unatolewa pale ambapo mkosaji atakiri kuwa alikosea,na kujutia kosa alilolifanya,infact ibilisi hajawahi kujutia kosa alilolifanya la kujilinganisha na Muumba wake hivyo hastahili msamahaKwamba authenticity ya Bible inakubaliwa na every living being hapa duniani kwamba ndio ukweli ?
Ni vigumu kutumia Katiba ya Kenya kuwahukumu watu wa Korea..., ila nimempa huyu mtoa mada loophole kwa kutumia Katiba yake kuonyesha kwanini ni Haki / Sawa wao kutokusamehana hence kutuumiza sisi wakati sisi tunafundishwa kusamehe..., Hizi Double Standard kama zipo na kuna uwezekano wa kubadilika ningeomba katika sala zetu tuongeze na hili Ombi la kubadilisha hilo au kuwaomba wakae mezani
Kwahio siku akiomba msamaha hata baada ya kupigwa moto huko karne kadhaa msamaha utatoka kama vile wafungwa wanavyopewa msamaha na baada ya muda huenda wakaasi tena kwahio ni mwendo wa kukimbizana bila mwishoMsamaha unatolewa pale ambapo mkosaji atakiri kuwa alikosea,na kujutia kosa alilolifanya,infact ibilisi hajawahi kujutia kosa alilolifanya la kujilinganisha na Muumba wake hivyo hastahili msamaha
Kwanza hakuna Vita baina ya Shetani na Mungu, na Shetani ni kiumbe Kimeumbwa kama viumbe vingine tu. Shetani yeye amemuomba mungu apewe uhai mpaka siku ya mwisho na amekubaliwa.Hili suala tulijadili kwa Logic..!
Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia.
Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu anapenda kuombwa ombwa na kunyenyekewa kiasi kwamba hatoi msamaha mpaka aombwe.
Na Je, Hadithi za Mwana Mpotevu, Je inamaanisha siku Shetani akirudi na kupiga magoti atasamehewa ? Au kuna Muda wa kuomba msamaha ukipita ndio basi.
Au baada ya kukaa Motoni kwa karne kadhaa huenda ukapita msamaha kama wa wafungwa na kila mtu akawa huru na sio hawa tu ambao walijinyima bata huku duniani ?
NB:
Kama kuna anayeweza kunielewesha haya logically kwa kanuni za imani yake naomba tujadili ( na sio kutumia kanuni za multiplication kwenye paraghraph moja na ya Pili kutumia kanuni za Addition) yaani inconsistency...!
Ego!!Kumbuka shetani alishawishi 1/3 ya malaika kule mbinguni na wakamfuata,kwake yeye hawezi kwenda kurudi kunyenyekea aache ufalme wake na waasi wenzakeKwahio siku akiomba msamaha hata baada ya kupigwa moto huko karne kadhaa msamaha utatoka kama vile wafungwa wanavyopewa msamaha na baada ya muda huenda wakaasi tena kwahio ni mwendo wa kukimbizana bila mwisho
Kama ambavyo wewe umeletewa habari za mtume muhammad na ukazipinga ndivyo hali ilivyo na sisi kuhusu Yesu wakoHakuna mwanadamu ambaye anapoletewa habari za Kristo na wokovu wake ambaye moyo wake hautaguswa. Ni kwamba watu wanaamua tu kukataa kuupokea wokovu.
Binadamu ana pea ngapi za miili?Unaanza kuyaishi duniani na katika utimilifu wake utakapoachana na mwili huu wenye tamaa.
Kwahio Mungu kampa uhai mpaka siku ya mwisho ili aendelee kusumbua wengine, na wakati anamuumba hakujua / hakufahamu hii tabia yake ya usaliti au ilikuja bahati mbayaKwanza hakuna Vita baina ya Shetani na Mungu, na Shetani ni kiumbe Kimeumbwa kama viumbe vingine tu. Shetani yeye amemuomba mungu apewe uhai mpaka siku ya mwisho na amekubaliwa.
kwamba njooni kwangu niwape vitu vizuri nendeni pengine niwachome moto, hio ni free will ?Pili sisi Binadamu na Majini(shetani) tumeumbwa na free will, tunaweza amua tunachotaka ikiwemo ku asi, Mwenyez Mungu ametupa choice hivyo tunaweza chagua tunachotaka.
kwahio anapenda kuombwa msamaha ? Wewe kama mzazi mwanao akiwa na kiburi asipoomba msamaha unaweza kuamua kumuangamiza kabisa au utaona tu hili toto halina adabu achana nalo maisha yalinyooshe na sio kwamba utalitengea moto wa milele au lifetime punishment !!!, Sasa wewe tu Binadamu weak kama unaweza kufanya hivyo sembuse superior being ndio awe na tabia za kisirani...Kuna vitu mwenyewe Mwenyez Mungu amepromise kuna madhambi madogo atasamehe hata kama hujaomba msamaha na kuna madhambi makubwa ambayo hayasemehe mpaka uombe msamaha, hizi ni Guidelines ambazo mwenyewe ameziweka,
Nani kakuambia ushahidi lazima uwe perceived na macho?Ushahidi wake upo ila hauonekani kimwili kama ambavyo huwezi kuona upepo ingawa upo.
Bible inasemaNdiyo hivyo bible inasema yeye ndiye aliyetuumba na hakuna chanzo kingine cha binaadam kilicho na mashiko kuzidi creation theory
Hivi ķitabu cha Ayubu ndo the book of job? Maana nina bible ya kiingereza, sijawahi kumsoma napitaga tu kumbe kuna mengi yaliendelea? Duh. Afu ni kitabu kidogo sana kukisona basi tu uvivu. AsanteTafuta upate uhondo ila inabidi uamini yupo ili ukimkosa kusiwe na kupoteza kuliko kuacha kumuamini ukamkuta...😅😅😅😅
Kwahio na busara zake zote hizo alianzisha vita ambavyo alijua hawezi kushinda !!!, Na ukisema hawezi unampangia na kama ni katili hivyo Mungu alikosea watu kutengeneza a defective product ?Ego!!Kumbuka shetani alishawishi 1/3 ya malaika kule mbinguni na wakamfuata,kwake yeye hawezi kwenda kurudi kunyenyekea aache ufalme wake
Sasa huko Kuonyeshana ni ujasiri au weakness ?na waasi wenzake
Ila Mungu atamuonyesha kwamba yeye ni Muumba wa yote na vyote
Ndiyo ni kifupi tu...Hivi ķitabu cha Ayubu ndo the book of job? Maana nina bible ya kiingereza, sijawahi kumsoma napitaga tu kumbe kuna mengi yaliendelea? Duh. Afu ni kitabu kidogo sana kukisona basi tu uvivu. Asante
Wakati anatengeneza uzao wa kwanza hakujua kwamba upo defective ? Na kwa mtaji huo mbona u-defective bado upo ?, Na kuwa defective ni kutokumfuata ? Ni kama CCM iseme watanzania wote wasiotufuata sisi sio Watanzania (huoni hapo kuna walakini)?Ili uelewe vizuri concept ya kuzaliwa mara ya pili nakupa mfano huu,
Kampuni X ikitengeneza bidhaa fulani na baada ya kutumika ikawa na kasoro fulani kampuni huitisha bidhaa hiyo na kuifanyia marekebisho kabla ya kurudi sokoni ikiwa kamili.
Kuzaliwa mara ya pili ni baada ya uzao wa kwanza kutokea dhambini,hivyo Kwa upendo Mungu anatupa nafasi ya upendeleo,ili kutenda sawasawa na makusudi yake
Freewill kusema binadamu ana uhuru wa kuchagua kufanya jambo lolote bado naiona ina ukakasi.Kwanza hakuna Vita baina ya Shetani na Mungu, na Shetani ni kiumbe Kimeumbwa kama viumbe vingine tu. Shetani yeye amemuomba mungu apewe uhai mpaka siku ya mwisho na amekubaliwa.
Pili sisi Binadamu na Majini(shetani) tumeumbwa na free will, tunaweza amua tunachotaka ikiwemo ku asi, Mwenyez Mungu ametupa choice hivyo tunaweza chagua tunachotaka. Kuna vitu mwenyewe Mwenyez Mungu amepromise kuna madhambi madogo atasamehe hata kama hujaomba msamaha na kuna madhambi makubwa ambayo hayasemehe mpaka uombe msamaha, hizi ni Guidelines ambazo mwenyewe ameziweka,