Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Ndio hapo sasa hata kama hii ni hadithi hata hadithi zina logic..., hata Game of Thrones ambayo ni make believe na unajua ni uongo na kuna dragons na White Walkers wanaoweza kuona future ilikuwa inakwenda poa na logically kwa sheria walizojiwekea mpaka pale mwisho hiki kiumbe kinachoweza kuona future na kila kitu kuweza kuuliwa kwa urahisi which means they could not see the future...

Which means the writers were making things as they go along thus insulting our intelligence (tulikubaliana kwa kuwekeana assumptions sasa hizo assumptions zinapobadilika for their convinience sio poa)
 
Mkuu chanzo cha uhai ni nini?
 
Nadhani na wengine walipitisha dhambi zao kwa mgongo wa Mungu..., just imagine kama mtu unaweza kufanya kitu eti Mungu / Mizimu imekwambia si una-get away with murder...

Vilevile tusisahau huyu Mungu wa Wa-Israel au Waarabu na sisi tulikuwa nao wetu kama vile wahindi walikuwa nao wao na wapagani walikuwa na Miungu yao...
 
😂😂😂 Wewe hata sayansi huifuatilii. Ulimwengu unaendelea na creation infinitely ndio maana jamaa bado hawajafanikiwa kuuona mwisho wa ulimwengu. Mungu yupo busy na project zake nyingine nyingi.
Na hayo mambo ya kiyama yanakujaje kama Kuna project zinaendelea?
 
Sasa hio Memo mbona haijapatikana huku kitaa, kwahio tunaweza kusema Binadamu naturally are Bad (Human Beings are Not Good People) Huku ni survival of the fittest / meanest.... kwahio popote pale ni mwendo wa mwenye nguvu kumuumiza mwenye udhaifu na kutengeneza Katiba ya kuhakikisha analamba asali mpaka tamati
 
Umeandika sana japo sijaona sehemu umeeleza nini hasa ni chanzo cha life force ndani ya mwanadamu.
 
😂😂😂 Wewe hata sayansi huifuatilii. Ulimwengu unaendelea na creation infinitely ndio maana jamaa bado hawajafanikiwa kuuona mwisho wa ulimwengu. Mungu yupo busy na project zake nyingine nyingi.
Hao jamaa ni kina nani ? Wewe sio hao jamaa, Sayansi haina mtu hata wewe kesho ukitwambia kwamba dunia ni kama bakuli ukaja na vivid evidences ambazo kweli zitakubaliana na known facts tutakubaliana na wewe na kusema we have been wrong all along (sio kubadilisha facts tuonekane we were right all along)

Mwisho wa living thing ni kifo chake mwisho wa hii solar system ambayo na sisi dunia tupo kama isipotokea kitu kingine chochote ni pale nguvu za jua (energy) Hydrogen itakapoisha, the all system will collapse na hii can be elaborated scientifically na sio kuamka tu na kusema I have seen the light...
 
Haijalishi upo dini gani, ukisikia habari za Kristo lazima moyo wako uguswe.
Kwahio in your statement kuna watu hawajasikia hizi habari ? Shetani hakumjua huyu Kristo ?
 
iyo realm ipo hapo hapo ulipo its just other side of the coin
 
Nimesoma kitabu kitabu kinaitwa enoch book 1-3 acha kabisa

Kuna dubwana humo linaitwa phoenix shetani anapita nalo mbali kabisa na lingine linaitwa behemoth na leviathan...ila hilo phoenix balaa aisee, someni hizo attachment..hiyo mistari nilipiga mm..ila someni page nzima aisee nimejifunza mengi sana..

Ukitaka hv vitabu njoo inbobo..maana ukikisoma vibaya inakula kwako.View attachment 2393711
 
Dini yako haikufundishi kutokuhumu ?

Kwahio unataka kuniambia watenda mema wote watakwenda motoni sababu hawana tag ya ukristo ?..., Unasema ukristo unasema mpende jirani yako lakini huenda nikienda kuomba mke nikanyimwa sababu tu sina tag kama hao wenye tag zao...

Jamii yoyote inayojiona sisi ni bora kuliko wao haijengi bali inabomoa na kwa ustawi wa nchi na sisi walipa tozo bora niwe na wapagani wapenda wenzao wote kuliko sijui wanaojiona watakatifu lakini in actual sense ni wabaguzi (na wajiona superior)
 
Kwamfano kwenye dhehebu langu la catholic, kwenye Sala ya ekaristi, padre Kuna sehemu anasema .....Mungu mwenyezi uliye asili ya mema yote...,
Lakini ukifikiria vizuri utagundua Mungu ni asili ya maovu yote pia.
Ninachojiuliza endapo Mungu na shetani wakiamua kumaliza msala wao, sisi huku duniani tutazipata hizo habari kwa njia Gani?
NB
Ukiamua kuamini shetani yupo ukubali kupunguza baadhi ya sifa za Mungu, kama mwenyezi, upendo etc
 
Kwahio wewe mwili ukikosa utasemahewa na kwenda peponi ambapo huenda utakosa tena hence kutupwa moto wa milele ?

Yaani the struggle continues to infinity ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…