CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Ma Genious wa kwanza Duniani wapo kwa ile kamatiHakuna kamati ninayo iogopa kama ile KAMATI iliyo kaa na kupanga mambo ya Mungu na Shetani, wale jamaa ni watu hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma Genious wa kwanza Duniani wapo kwa ile kamatiHakuna kamati ninayo iogopa kama ile KAMATI iliyo kaa na kupanga mambo ya Mungu na Shetani, wale jamaa ni watu hatari sana
of course choice yako ni vitu ulivyopangiwa, nje ya universe kuna material na vitu ambavyo hujawahi kuvisikia, kuviona wala kuvitest na mpaka kufa hutaviona, choice yako ni vitu ambavyo vipo duniani tu, ambavyo Mungu amepanga hio ni sahihi. hivyo vingine utaviona after kifo.Hawezi kujua choice utakayochukua.., hauwezi kusema kwamba kwenye kapu kuna chungwa na limao alafu mimi nina free will ya kula tunda lolote wakati sungwi hazipo kwenye kapo..., na kama nikichukua sungwi yangu mfuko wa nyuma nikala unipe adhabu ya kulala njaa kwa wiki tatu..., Utaona hapo indirectly unanilazimisha kula sungwi....
Siyo kufuru.Haya mambo ukiwaza kwa akili ya kawaida tu don't make no sense. Ukiwaambia hawa wafia dini wanasema ni kufuru
Mawazo yana-exist kichwani mwako kabla hujayatoa kuyatamka mawazo yako haya-exist kwangu kwa kutumia medium nyingine ndio unaweza kufikisha ujumbe kama vile upepo au kupuliza kabla haujapuliza kuzima mshumaa ile pressure difference haipo ukipuliza kuna pressure difference...Ngoja na wewe nikupe hili swali ili ufahamu uwepo wa reality beyond the five senses.
Bila kutumia matamshi au maandishi unaweza kuniambia mawazo yanaexist or not? Kama yanaexist, can you measure and present them in their own form
Haijalishi upo dini gani, ukisikia habari za Kristo lazima moyo wako uguswe.Hivi ungezaliwa ukajikuta dini nyingine sio mkristu ungeyasema haya unayoyasema hapa sasa hivi?
Every living thing must die, that is nature..., na kuna characteristics za living things hizo zote zikiondoka zikiwa hazipo au kwa binadamu brain ikifa (brain dead) tunaweza tukakuweka kwenye mashine tukikuwahi ila functions ziki-cease hatuna budi kukuzika sababu utatunukia na kutuletea taharuki.., hivyo lazima tukuondoe ili maisha yaendeleeUmewahi kuona kinachotoka kwenye mwili wa mwanadamu mpaka tunaamua kusema amekufa na hivyo tunaenda kuzika?
Unamaanisha nini ukisema nadharia? Kitu kikiwa nadharia kina exist au la?Mawazo ni nadharia sio kitu phyisical, tunakubaliana hapa?
duh kwahio nikichukua moyo wangu nikautoa nikaweka pump ili moyo uendelee kudunda na nikaishi nakuwa nipo mimi na spirit yangu ambayo kwa sasa haina kazi ya kudundisha moyo ambayo inafanywa na pump ? au wanaowekewa pace maker nafsi / roho yao imekuwa zembe ?What is it that left the body for it to be dead? Biblia inatujibu kwamba ni nafsi na roho ambazo huwezi kuziona lakini zipo. Hizo ndio life force ndani yako. Ndio inayotengeneza electrical signals zinazoufanya moyo udunde.
Biblia imesema hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi. Dunia iliumbwa pamoja na ulimwengu billions of years ago. Zile siku unazoona kwenye kitabu cha mwanzo zinahesabiwa baada ya tukio la dunia kuwa ukiwa na utupu.Biblia imesema dunia iliumbwa siku ya ngapi?
Nafsi na roho hauzithibitishi kwa physical senses kama ambavyo huwezi kuthibitisha emotions japo zipo.Nafsi na roho unazithibitishaje?
Kwahio huyu Adam na yeye aliendekeza kusujudiwa ?!!! Na haya mambo ya kusujudiwa, kuabudiwa mbona ni ya Kibinadamu zaidi yaani kupenda vitu vidogo vidogo, hata mimi binafsi kabla sijakuwa nilikuwa napenda sana haya mambo ila nashukuru kwa sasa (binafsi naona nimekuwa bora zaidi) hizi pettiness hazinipotezei muda na kusujudiwa naona kama kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.Ibilisi mara baada ya kuasi amri ya Mungu .Aligoma kumsujudia Adam ,
Kwahio Adam ni bora kuliko Shetani ?, Na Mungu mjua yote hakuona hizi differences zitaleta taharuki ? Kwanini apendelee huyu kuliko yule (Hili pia kwangu mimi ni la kibinadamu zaidi kuwa na preferences na kupenda hiki kuliko kile....kumpa heshima yake kuwa ana elimu kumzidi yeye. Akasema kuwa yeye ni bora kuliko Adam kwakuwa ameumbwa kwa moto na Adam ameumbwa kwa udongo.
Kwahio Mungu aliumbe kiumbe defective chenye kiburi..., na kama sio kiumbe cha kuomba ilikuwaje kiombe muda mrefu zaidi na kishindwe kuomba kurudi kundini ?Hakuomba msamaha badala yake alikuwa na ombi lake tofauti, Alimuomba Mungu amjaalie umri ulio mrefu, apate kuishi mpaka mwisho wa ulimwengu huu. Mungu alimkubalia ombi lake na akawa ni miongoni mwa waliopewa uhai mrefu. Hili ndilo ombi lake na alifanya hivyo ikiwa ni kiburi,chuki na husda dhidi ya Adam na uzao wake.
Kwahio akiomba atakubaliwa ?!!!! na Tukiwa nae kule motoni huenda sisi tukaomba msamaha hata kama yeye hataki ? Au Mungu pia ameamua kutoa limit ya Kusamehewa ?Alijua akipewa umri mrefu basi atahakikisha anaingia motoni pamoja na uzao wote wa Adam.
Suala la kuomba msamaha halipo ndani ya nafsi ya ibilisi na halitakuwepo mpaka dunia hii inatamatika
Hicho chombo kinaweza kung'amua exact thing ambacho mtu anawaza au kinaonesha tu kwamba huu ubongo unayo mawazo.Nani kakuambia temography inapima dalili?
Dalili ni nini?
😂😂😂 Wewe hata sayansi huifuatilii. Ulimwengu unaendelea na creation infinitely ndio maana jamaa bado hawajafanikiwa kuuona mwisho wa ulimwengu. Mungu yupo busy na project zake nyingine nyingi.Kwahiyo Mungu huko aliko, Hana kazi yoyote ya kufanya zaidi ya kukaa akisubiria umwabudu?
Kuna freewill hivyo shetani aliitumia.Kama ipo perfect inakuwaje mtu anafanya kosa? Kitu kilicho perfect hakiwezi kufanya kosa
Hii ni dhambi gani unaweza kufafanua ? Na Je Shetani alitenda hii dhambi au ni kiburi chake yaani msamaha upo ila hautaki ?Kwa mujibu wa imani ya dini ya Kiislam. Mungu anasamehe madhambi yote iwapo kiumbe (mwanadamu au jini) atatubia dhambi zake kabla ya kufa kwake ila akabainisha kuwa dhambi pekee ambayo hawezi kuisamehe mara baada ya kiumbe kufa ni dhambi ya SHIRKI (kumshirikisha MUNGU) katika ibada. Dhambi ya kumfanya Mungu kuwa ana washirika katika ibada zake huwa haina msamaha mara baada ya kiumbe kufa ila ikiwa kiumbe kitatubu dhambi hii ingali hakijafa basi MUNGU anasamehe.
Kwahio ni kwamba kama vile watu wanakuwa brainwashed kuridha na chochote kile..., Yaani kama enzi za utumwa ambapo kuna watu walikuwa wanafurahia sana kuwatumikia Ma-Bwana zao yaani hata ukiwapa uhuru wanaona wanapungukiwa ?In hereafter (akhera) , kabla ya kuingia katika paradiso watu wote watatakaswa kutokana na marafhi yote ya nyoyo, chuki,husda,visasi,n.k vitaondolewa katika vifua na watu watakuwa safi kabisa. Kila mtu ataridhika na atakachopewa huko licha ya kuwa watu watazidiana madaraja.
Unachoamini ni uchaguzi na haki yako. Hakuna wa kukukataza kuamini chochote unachotaka.I can say ushahidi wa mimi kuishi ni mitishamba ya babu zangu na mazimwi wa kule kijijini kwanini ninachoamini mimi kiwe inferior kwa unachoamini wewe ?
Wewe kukutana na watu wanaojiita wakristo bila kuwa na uvumilivu haimaanishi kwamba imani ya kikristo haina uvumilivu. Yesu Kristo ni symbol of absolute patience katika ulimwengu huu.Na mimi beef yangu kubwa na watu wa Imani ni hiyo ndio maana ninarespect sana Bahai kwa uvumilivu wao wa Faith zote...
Mkuu omba na tafuta sana usije kuingia kuzimu na hatimaye motoni. Ile sehemu huwezi hata kuwish your worst enemy aende. Ni sehemu ya mateso sana na hata hutapata nafasi ya kuangalia nani yupo jirani kwasababu ya maumivu na mateso. Mungu aturehemu ili tuurithi uzima wa milele.Yaani nikiambiwa nichague jirani wa kuishi nae nitachagua huyu, au kule motoni au peponi nitakuwa mwenye furaha nikiwa na hawa watu kuliko wale ambao wanaamini kwamba wao ndio superior kuliko wengine
Kwahiyo kwako mawazo yanaexist only yakiwa communicated? Haya exit yenyewe in their own form?Mawazo yana-exist kichwani mwako kabla hujayatoa kuyatamka mawazo yako haya-exist kwangu kwa kutumia medium nyingine ndio unaweza kufikisha ujumbe kama vile upepo au kupuliza kabla haujapuliza kuzima mshumaa ile pressure difference haipo ukipuliza kuna pressure difference...
Kwahio mawazo ambayo yanaexist kichwani mwangu ili yafikie umati inabidi niya-communicate na nikishayacommunicate we can prove its existence...
Kwahiyo kwako wewe life force ni completely flesh?Every living thing must die, that is nature..., na kuna characteristics za living things hizo zote zikiondoka zikiwa hazipo au kwa binadamu brain ikifa (brain dead) tunaweza tukakuweka kwenye mashine tukikuwahi ila functions ziki-cease hatuna budi kukuzika sababu utatunukia na kutuletea taharuki.., hivyo lazima tukuondoe ili maisha yaendelee
Swali lako ni rahisi sana. Kama unadhani lifeforce inatokana na pace maker basi nenda kachukue maiti uiwekee pace maker uone kama itaanza kuishi.duh kwahio nikichukua moyo wangu nikautoa nikaweka pump ili moyo uendelee kudunda na nikaishi nakuwa nipo mimi na spirit yangu ambayo kwa sasa haina kazi ya kudundisha moyo ambayo inafanywa na pump ? au wanaowekewa pace maker nafsi / roho yao imekuwa zembe ?