Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Hawezi kujua choice utakayochukua.., hauwezi kusema kwamba kwenye kapu kuna chungwa na limao alafu mimi nina free will ya kula tunda lolote wakati sungwi hazipo kwenye kapo..., na kama nikichukua sungwi yangu mfuko wa nyuma nikala unipe adhabu ya kulala njaa kwa wiki tatu..., Utaona hapo indirectly unanilazimisha kula sungwi....
of course choice yako ni vitu ulivyopangiwa, nje ya universe kuna material na vitu ambavyo hujawahi kuvisikia, kuviona wala kuvitest na mpaka kufa hutaviona, choice yako ni vitu ambavyo vipo duniani tu, ambavyo Mungu amepanga hio ni sahihi. hivyo vingine utaviona after kifo.

na hivyo alivyopanga kuna ambavyo ameruhusu na ambavyo amekataza, umepewa free will kufanya vyote, ukifanya ulivyoruhusiwa ni plus ukifanya ulivyokatazwa ni negative choice ni yako
 
Haya mambo ukiwaza kwa akili ya kawaida tu don't make no sense. Ukiwaambia hawa wafia dini wanasema ni kufuru
Siyo kufuru.
Kwa sisi wenye mwili tunaona kama kifo ni adhabu.
Kiuhalisia kifo ni mabadiliko tu ya binadamu kutoka stage moja kwenda nyingine.
Kama Mungu anaamuru ufe ki uhalisia ni jambo jema kabisa.

Aliyekuleta anakupeleka katika dalaja lingine ambolo ni bola zaidi.

Mfano. Mtoto anapozaliwa analia sana hataki kuja diniani kwa kulizoea tumbo la mama yake na kuona ndio sehemu sahihi yakuishi.

Akisha zaliwa baada ya muda anaona kumbe kule tumboni kulikuwa hakuna maana. Maisha mazuri ni haya ya sasa ya kula samaki na maziwa.

Ndivyo kilivyo kifo, ni kizuri sana mimi nitakapo karibia kufa nitawaambia waliobaki "Sitaki mtu anililie" nitaandaa bajeti ya Kusheherekea Kifo changu na Bia zitakuwepo.

Najua naenda sehemu nzuri zaidi ya hapa nilipo.
 
Ngoja na wewe nikupe hili swali ili ufahamu uwepo wa reality beyond the five senses.

Bila kutumia matamshi au maandishi unaweza kuniambia mawazo yanaexist or not? Kama yanaexist, can you measure and present them in their own form
Mawazo yana-exist kichwani mwako kabla hujayatoa kuyatamka mawazo yako haya-exist kwangu kwa kutumia medium nyingine ndio unaweza kufikisha ujumbe kama vile upepo au kupuliza kabla haujapuliza kuzima mshumaa ile pressure difference haipo ukipuliza kuna pressure difference...

Kwahio mawazo ambayo yanaexist kichwani mwangu ili yafikie umati inabidi niya-communicate na nikishayacommunicate we can prove its existence...
 
Hivi ungezaliwa ukajikuta dini nyingine sio mkristu ungeyasema haya unayoyasema hapa sasa hivi?
Haijalishi upo dini gani, ukisikia habari za Kristo lazima moyo wako uguswe.
 
Umewahi kuona kinachotoka kwenye mwili wa mwanadamu mpaka tunaamua kusema amekufa na hivyo tunaenda kuzika?
Every living thing must die, that is nature..., na kuna characteristics za living things hizo zote zikiondoka zikiwa hazipo au kwa binadamu brain ikifa (brain dead) tunaweza tukakuweka kwenye mashine tukikuwahi ila functions ziki-cease hatuna budi kukuzika sababu utatunukia na kutuletea taharuki.., hivyo lazima tukuondoe ili maisha yaendelee
 
What is it that left the body for it to be dead? Biblia inatujibu kwamba ni nafsi na roho ambazo huwezi kuziona lakini zipo. Hizo ndio life force ndani yako. Ndio inayotengeneza electrical signals zinazoufanya moyo udunde.
duh kwahio nikichukua moyo wangu nikautoa nikaweka pump ili moyo uendelee kudunda na nikaishi nakuwa nipo mimi na spirit yangu ambayo kwa sasa haina kazi ya kudundisha moyo ambayo inafanywa na pump ? au wanaowekewa pace maker nafsi / roho yao imekuwa zembe ?
 
Biblia imesema dunia iliumbwa siku ya ngapi?
Biblia imesema hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi. Dunia iliumbwa pamoja na ulimwengu billions of years ago. Zile siku unazoona kwenye kitabu cha mwanzo zinahesabiwa baada ya tukio la dunia kuwa ukiwa na utupu.

Na kwenye theolojia inaelezeka kwamba tukio la ukiwa tena utupu lilikuja baada ya shetani kumwasi Mungu. Ukisoma kitabu cha Ezekiel sura ya 28 unaona shetani kabla hajaasi alikuwa na ofisi hapa duniani. Alipoasi ndio Mungu aliharibu dunia pamoja na ofisi aliyokuwa anaitumia hapa duniani.

Sasa baada ya kipindi fulani ndio Mungu akarudi kuanza kuweka new life kwenye dunia hii na hapo ndio zile siku za kitabu cha mwanzo zinatajwa.
 
Ibilisi mara baada ya kuasi amri ya Mungu .Aligoma kumsujudia Adam ,
Kwahio huyu Adam na yeye aliendekeza kusujudiwa ?!!! Na haya mambo ya kusujudiwa, kuabudiwa mbona ni ya Kibinadamu zaidi yaani kupenda vitu vidogo vidogo, hata mimi binafsi kabla sijakuwa nilikuwa napenda sana haya mambo ila nashukuru kwa sasa (binafsi naona nimekuwa bora zaidi) hizi pettiness hazinipotezei muda na kusujudiwa naona kama kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
kumpa heshima yake kuwa ana elimu kumzidi yeye. Akasema kuwa yeye ni bora kuliko Adam kwakuwa ameumbwa kwa moto na Adam ameumbwa kwa udongo.
Kwahio Adam ni bora kuliko Shetani ?, Na Mungu mjua yote hakuona hizi differences zitaleta taharuki ? Kwanini apendelee huyu kuliko yule (Hili pia kwangu mimi ni la kibinadamu zaidi kuwa na preferences na kupenda hiki kuliko kile....
Hakuomba msamaha badala yake alikuwa na ombi lake tofauti, Alimuomba Mungu amjaalie umri ulio mrefu, apate kuishi mpaka mwisho wa ulimwengu huu. Mungu alimkubalia ombi lake na akawa ni miongoni mwa waliopewa uhai mrefu. Hili ndilo ombi lake na alifanya hivyo ikiwa ni kiburi,chuki na husda dhidi ya Adam na uzao wake.
Kwahio Mungu aliumbe kiumbe defective chenye kiburi..., na kama sio kiumbe cha kuomba ilikuwaje kiombe muda mrefu zaidi na kishindwe kuomba kurudi kundini ?
Alijua akipewa umri mrefu basi atahakikisha anaingia motoni pamoja na uzao wote wa Adam.

Suala la kuomba msamaha halipo ndani ya nafsi ya ibilisi na halitakuwepo mpaka dunia hii inatamatika
Kwahio akiomba atakubaliwa ?!!!! na Tukiwa nae kule motoni huenda sisi tukaomba msamaha hata kama yeye hataki ? Au Mungu pia ameamua kutoa limit ya Kusamehewa ?
 
Nani kakuambia temography inapima dalili?

Dalili ni nini?
Hicho chombo kinaweza kung'amua exact thing ambacho mtu anawaza au kinaonesha tu kwamba huu ubongo unayo mawazo.

Kama hakiwezi kuelezea exact thoughts basi kinapima dalili tu.
 
Kwahiyo Mungu huko aliko, Hana kazi yoyote ya kufanya zaidi ya kukaa akisubiria umwabudu?
😂😂😂 Wewe hata sayansi huifuatilii. Ulimwengu unaendelea na creation infinitely ndio maana jamaa bado hawajafanikiwa kuuona mwisho wa ulimwengu. Mungu yupo busy na project zake nyingine nyingi.
 
Kwa mujibu wa imani ya dini ya Kiislam. Mungu anasamehe madhambi yote iwapo kiumbe (mwanadamu au jini) atatubia dhambi zake kabla ya kufa kwake ila akabainisha kuwa dhambi pekee ambayo hawezi kuisamehe mara baada ya kiumbe kufa ni dhambi ya SHIRKI (kumshirikisha MUNGU) katika ibada. Dhambi ya kumfanya Mungu kuwa ana washirika katika ibada zake huwa haina msamaha mara baada ya kiumbe kufa ila ikiwa kiumbe kitatubu dhambi hii ingali hakijafa basi MUNGU anasamehe.
Hii ni dhambi gani unaweza kufafanua ? Na Je Shetani alitenda hii dhambi au ni kiburi chake yaani msamaha upo ila hautaki ?
In hereafter (akhera) , kabla ya kuingia katika paradiso watu wote watatakaswa kutokana na marafhi yote ya nyoyo, chuki,husda,visasi,n.k vitaondolewa katika vifua na watu watakuwa safi kabisa. Kila mtu ataridhika na atakachopewa huko licha ya kuwa watu watazidiana madaraja.
Kwahio ni kwamba kama vile watu wanakuwa brainwashed kuridha na chochote kile..., Yaani kama enzi za utumwa ambapo kuna watu walikuwa wanafurahia sana kuwatumikia Ma-Bwana zao yaani hata ukiwapa uhuru wanaona wanapungukiwa ?

Je unaona hilo ni sahihi yaani kuridhika hata kama kuna kunyonywa sio kwa utashi wako bali kwa kuondolewa utashi ?!!!
 
I can say ushahidi wa mimi kuishi ni mitishamba ya babu zangu na mazimwi wa kule kijijini kwanini ninachoamini mimi kiwe inferior kwa unachoamini wewe ?
Unachoamini ni uchaguzi na haki yako. Hakuna wa kukukataza kuamini chochote unachotaka.

Sisi tunaomwamini Kristo Yesu tumepima kutoka kwenye maandiko yake na kujiridhisha.
Na mimi beef yangu kubwa na watu wa Imani ni hiyo ndio maana ninarespect sana Bahai kwa uvumilivu wao wa Faith zote...
Wewe kukutana na watu wanaojiita wakristo bila kuwa na uvumilivu haimaanishi kwamba imani ya kikristo haina uvumilivu. Yesu Kristo ni symbol of absolute patience katika ulimwengu huu.
Yaani nikiambiwa nichague jirani wa kuishi nae nitachagua huyu, au kule motoni au peponi nitakuwa mwenye furaha nikiwa na hawa watu kuliko wale ambao wanaamini kwamba wao ndio superior kuliko wengine
Mkuu omba na tafuta sana usije kuingia kuzimu na hatimaye motoni. Ile sehemu huwezi hata kuwish your worst enemy aende. Ni sehemu ya mateso sana na hata hutapata nafasi ya kuangalia nani yupo jirani kwasababu ya maumivu na mateso. Mungu aturehemu ili tuurithi uzima wa milele.
 
Mawazo yana-exist kichwani mwako kabla hujayatoa kuyatamka mawazo yako haya-exist kwangu kwa kutumia medium nyingine ndio unaweza kufikisha ujumbe kama vile upepo au kupuliza kabla haujapuliza kuzima mshumaa ile pressure difference haipo ukipuliza kuna pressure difference...

Kwahio mawazo ambayo yanaexist kichwani mwangu ili yafikie umati inabidi niya-communicate na nikishayacommunicate we can prove its existence...
Kwahiyo kwako mawazo yanaexist only yakiwa communicated? Haya exit yenyewe in their own form?
 
Every living thing must die, that is nature..., na kuna characteristics za living things hizo zote zikiondoka zikiwa hazipo au kwa binadamu brain ikifa (brain dead) tunaweza tukakuweka kwenye mashine tukikuwahi ila functions ziki-cease hatuna budi kukuzika sababu utatunukia na kutuletea taharuki.., hivyo lazima tukuondoe ili maisha yaendelee
Kwahiyo kwako wewe life force ni completely flesh?
 
duh kwahio nikichukua moyo wangu nikautoa nikaweka pump ili moyo uendelee kudunda na nikaishi nakuwa nipo mimi na spirit yangu ambayo kwa sasa haina kazi ya kudundisha moyo ambayo inafanywa na pump ? au wanaowekewa pace maker nafsi / roho yao imekuwa zembe ?
Swali lako ni rahisi sana. Kama unadhani lifeforce inatokana na pace maker basi nenda kachukue maiti uiwekee pace maker uone kama itaanza kuishi.
 
Back
Top Bottom