Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Nafsi na roho hauzithibitishi kwa physical senses kama ambavyo huwezi kuthibitisha emotions japo zipo.
So does anything ambacho hakiwezi kuthibitishwa...., a mere statement from anybody ikitumika kama kithibitisho dunia itakuwa ni chaos

Tungeendelea kwenda by repetition na kutumia kitabu / vitabu kama kanuni bila ku-question vitu huenda sasa hivi tungekuwa tunaishi dunia tofauti kabisa na huko kubofya tunako-bofya kwa kuhabarishana kungeweza kuonekana kama kumjaribu Mungu au wengi wangeondolewa kwa kwenda against written word kama vile kina Gallileo....

We needs facts / proof as a guide haya mengine ya imani yabakie kwenye imani na personal truth kwa mtu husika au watu husika
 
Nafsi na roho hauzithibitishi kwa physical senses kama ambavyo huwezi kuthibitisha emotions japo zipo.
Duh basi your sense of conception leaves a lot to be desired....

Yaani huwezi kuona mtu tu kwamba yupo sad au happy ?☹️ (Kwahio hapo kwa hio smiley unaweza kusema emotion yangu ni happy ?!!!
 
Kwa nini swali hili ni muhimu katika mjadala wa kuwapo Mungu?

Naweza kukuambia kwamba chanzo cha uhai si huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote. Kwa sababu ingekuwa hivyo, hao viumbe wake anaowapenda wasingekufa kikatili kama wanavyokufa sasa.

Naweza kuwa sijui chanzo cha uhai ni nini, lakini nikajua si Mungu.

Naweza kujua square root ya 2 si 10, bila kujua square root ya 2 ni nini.

Naweza kujua mtu mwenye miaka 30 leo hawezi kuwa na mama mzazi mwenye miezi 6 leo, bila ya kumjua mama mzazi wa huyo mtu.

Sasa, mimi nakwambia huyu mtu ana miaka 30 leo, hawezi kuwa na mama mzazi mwenye miezi 6 tu leo, it is against the laws of logic.

Wewe unaniuliza, sasa kama mama yake si huyu mwenye miezi 6, mama yake ni nani?

Mimi sihitaji kumjua mama yake huyu mtu mwenye miaka 30 ni nani ili kujua kwamba huyu wa miezi 6 hawezi kuwa mama mzazi wa mtu mwenye miaka 30.
Nashukuru maana nimeelewa kwamba haufahamu chanzo cha uhai isipokuwa haukubaliani na kile ambacho wengine tunakikubali.
 
Kuna freewill hivyo shetani aliitumia.
Freewill ?!!!!

Kama mungu ndio anapanga kifo ili maandiko yatimie uoni kwamba mbakaji atakayembaka mtoto na kumuua lazima awepo ili written word ya maisha ya huyu mtoto yatimie ?!! Huyu Mbakaji akiokoka je itabidi apatikane substitute wa kufanya hili tendo Au drunk driver si itabidi anywe pombe ili agonge mtu ?, kwahio kiwanda cha pombe kutokuwepo si kutaharibu vifo vya wengi vilivyopangwa
 
Kwahiyo kwako mawazo yanaexist only yakiwa communicated? Haya exit yenyewe in their own form?
what form unajua vitu abstract ? Wewe kama unawaza kutengeneza nuclear bomb kwa kuchanganya mchicha, nyanya na dawa za babu yako kabla haujafanya hivyo na unawaza kichwa basi yanaexist kichwani mwako..., ila hio haimaanishi kwamba mchanyato huo hautatoa nuclear bomb inangoja tu mtu mwingine afanye.., na akifanya ndio wote tutajua kwamba mchanyato huo unatengeneza bomb...

hatuwezi kusema kwamba kila mchanyato unatengeneza bomb sababu kuna michanyato mingine haijafanyiwa kazi.....

Hio itakuwa ni a Pre-lude ya kukubaliana na kila kitu which is a danger in a civilised society...
 
Kwahio uwepo wa reality beyond physical world kama upo kwanini tusikubali chochote kile cha kufikirika ? Kwanini tusikubali mizimu ya mababu zetu au Krishna wa wahindi na tumuamini messiah wa wayahudi ?
Unaweza kuamini chochote unachotaka, wala hakuna anayekulazimisha. Kitu cha muhimu hakikisha umeweka imani yako kwenye kitu ambacho umeweza kujithibitishia kwamba kipo sahihi.
Why is any of this superior than the other..., ukizingatia option unayonipa kwamba nikifanya mazuri huku kinachonisubiri ni maisha ya kuimba na kusifia to infinity ?!! Huoni kwa mie nisiyependa kuimba kwamba huenda alternative Imani ya Wasabato kwamba nitalala milele bila kufufuka is a better option ?
Wapi nimesema katika maisha yajayo kuna kuimba na kusifu tu? Hayo ni mawazo ya some lazy christians in their imaginary by and by. Katika nchi mpya na mbingu mpya kutakuwa na majukumu mbalimbali na Mungu anaweza kukuweka katika project mbalimbali all over the universe. Unaweza kujikuta umepewa majukumu kwenye kitengo cha uhandisi ukawa unafanya kazi za design ya galaxies nk.
 
Sijakuelewa concept kwamba ukiumba kitu au kitu kikiwa chako una mandate ya kukifanya utakavyo hata ku-inflict pain ?!!!

Ukifanya hayo huku duniani tutakuita sadist.....

Creating something to inflict pain in my book is better not to create it in the first place...., kwahio kama ninafuga kuku na kuwalisha ili niwagombanishe kwenye kamari ni bora nisingewafuga as far as they are concerned....
Every pain unayoipata duniani unakwenda kuwa compensated, hio ni promise ya mungu.
 
Usi flip hoja yangu. Hakuna sehemu nimeandika habari za dalili

Hayo ni maneno yako binafsi na wala hayahusiani na majibu yangu
Kwahiyo kipimo chako kinapima nini ikiwa hakitayang'amua mawazo specifically?
 
Kwahiyo kwako wewe life force ni completely flesh?
Sio kwangu ni definition ambayo tumekubaliana what the word should mean huenda kwenye jumuiya yenu (kikundi chenu) ni tofauti..., hata battery inaweza ikawa na life mpaka chemical reaction ikiisha ikawa dead (its just semantics)

Na tunapoelekea kwa sisi binadamu kujiona superior kunapungua kumbe hata huo usuperior wetu haupo kiasi hicho some characteristics tulizodhani tunazo peke yetu hata wanyama wanazo na hata machines zinaweza kuwa programmed kufanya hivyo..,

Kwahio ikabidi / inabidi tujiulize hii inteligensia ambayo tunayo mashine inaweza ikawa nayo na ni lini na wapi tunaweza kusema mashine hii ina-inteligensia kama binadamu...

What makes us better ? Sababu hata ukiniuliza sasa kwa jinsi nijuavyo and what I have learned "Human Beings are Not Good People" Its just animal instincts na historia imetuonyesha time and time again jinsi ya tabaka moja kujiona lipo juu la wengine hence exploitation (and they always come with an excuse to make them sleep better at night)
 
Duh basi your sense of conception leaves a lot to be desired....

Yaani huwezi kuona mtu tu kwamba yupo sad au happy ?☹️ (Kwahio hapo kwa hio smiley unaweza kusema emotion yangu ni happy ?!!!
Mtu akiwa ana smile ni dalili za uwepo wa mawazo mazuri lakini sio mawazo in their own form. Sijui kama unaiona tofauti.
 
Haikuwa prearranged, ilikuwa foreknowledge.
What do you mean...

Unamtengeneza Shetani ambaye unajua kutokana na hii code ya free will atakuja kuasi.., na unaendelea kuweka hio code..., If this is not pre-arranging tell me what is....
 
Freewill ?!!!!

Kama mungu ndio anapanga kifo ili maandiko yatimie uoni kwamba mbakaji atakayembaka mtoto na kumuua lazima awepo ili written word ya maisha ya huyu mtoto yatimie ?!! Huyu Mbakaji akiokoka je itabidi apatikane substitute wa kufanya hili tendo Au drunk driver si itabidi anywe pombe ili agonge mtu ?, kwahio kiwanda cha pombe kutokuwepo si kutaharibu vifo vya wengi vilivyopangwa
Umepata wapi mawazo haya potofu? Mungu anayo foreknowledge ya mambo yote na anayo plan ambayo kila anayeifuata anakuwa na hatma nzuri.
 
Sijui kama ujuvi wangu au ninavyodhani najua mimi ndio unavyojua wewe...

Ndio maana nikasema kwa kutumia logic na consistency nielezee maswali yangu hapo juu, Sababu ni Imani hapa sipo kusema hili ni sahihi au sio sahihi bali hili halipo consistent na halina logic (yaani the argument does not hold water)
Swali lako ni logical phallacy maana unahitaji kujibiwa swala la imani kwa kutumia logic how? Hebu tumia logic ku prove kwamba binadamu ana nafsi?
 
Sijui kama ujuvi wangu au ninavyodhani najua mimi ndio unavyojua wewe...

Ndio maana nikasema kwa kutumia logic na consistency nielezee maswali yangu hapo juu, Sababu ni Imani hapa sipo kusema hili ni sahihi au sio sahihi bali hili halipo consistent na halina logic (yaani the argument does not hold water)
Halafu logical consistency yenyewe unayotaka itumike kukujibu ina flows nyingi tu naweza ku prove hapa na sidhani kama njia zenye flows kama hizo zinaweza ku prove chochote do you want proof?
 
Back
Top Bottom