Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #221
So does anything ambacho hakiwezi kuthibitishwa...., a mere statement from anybody ikitumika kama kithibitisho dunia itakuwa ni chaosNafsi na roho hauzithibitishi kwa physical senses kama ambavyo huwezi kuthibitisha emotions japo zipo.
Tungeendelea kwenda by repetition na kutumia kitabu / vitabu kama kanuni bila ku-question vitu huenda sasa hivi tungekuwa tunaishi dunia tofauti kabisa na huko kubofya tunako-bofya kwa kuhabarishana kungeweza kuonekana kama kumjaribu Mungu au wengi wangeondolewa kwa kwenda against written word kama vile kina Gallileo....
We needs facts / proof as a guide haya mengine ya imani yabakie kwenye imani na personal truth kwa mtu husika au watu husika