Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hivyo viashiria vya kale vilitokana na Mazingira ama Claim toka kwa Mungu mwenyewe? Sign hizi ukumbuke zimetoka kwa Mungu na ametuchallenge tuzi disprove.Unajuaje madai hayo na viashiria hivyo vinahusiana na Mungu na sio kitu kingine ambacho watu tu hawajakijua?
Refer mifano ya watu wa kale walioamini mambo mengi ya uongo kwa madai ni viashiria vya Mungu kwasababu kwa wakati huo hakuna mtu aliyeweza kutolea maelezo vitu hivyo
Assume leo Umeamka unajikuta upo kwenye Treni inakwenda kasi, huna kumbukumbu yoyote then unakuta watu kwenye train wanapiga stori wala hawana habari
Je utadadisi sababu ya uwepo wako kwenye treni ama na wewe utapotezea na kuanza kupiga story tu?
Kwa Theory tu ya Universe Expansion chance kwamba dunia imetokea yenyewe ni 1 ya 1,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000 ,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000, 000,000,000,000,000,000,000,000,000,000
Yaani kwa kuelewa vizuri michanga yooote duniani iwekwe pamoja matrilioni kwa matrilioni uambiwe uchague mchanga mmoja tu, ukikosea tu Universe haitokei.