Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Unajuaje madai hayo na viashiria hivyo vinahusiana na Mungu na sio kitu kingine ambacho watu tu hawajakijua?

Refer mifano ya watu wa kale walioamini mambo mengi ya uongo kwa madai ni viashiria vya Mungu kwasababu kwa wakati huo hakuna mtu aliyeweza kutolea maelezo vitu hivyo
Hivyo viashiria vya kale vilitokana na Mazingira ama Claim toka kwa Mungu mwenyewe? Sign hizi ukumbuke zimetoka kwa Mungu na ametuchallenge tuzi disprove.

Assume leo Umeamka unajikuta upo kwenye Treni inakwenda kasi, huna kumbukumbu yoyote then unakuta watu kwenye train wanapiga stori wala hawana habari

Je utadadisi sababu ya uwepo wako kwenye treni ama na wewe utapotezea na kuanza kupiga story tu?

Kwa Theory tu ya Universe Expansion chance kwamba dunia imetokea yenyewe ni 1 ya 1,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000 ,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000, 000,000,000,000,000,000,000,000,000,000

Yaani kwa kuelewa vizuri michanga yooote duniani iwekwe pamoja matrilioni kwa matrilioni uambiwe uchague mchanga mmoja tu, ukikosea tu Universe haitokei.
 
Wale walikuwa wanafanya bishasha kanisani na kusababisha wezi kuwaibia waumini.
Na hakumwua hata mmoja ni kwamba aliwafukuza tu.
kwa ku-overthrow meza zao na kuwafukuza kwa ghadhabu sio kuwafukuza tu, sijui kama wange-retaliate nini kingetokea.., au wangemfungulia kesi ya kuwatia hasara na ku-cause economic harm
Nao wenyewe waliona Yesu yuko sahihi na wakaondoka kwa amani kabisa na kutafua maeneo mengine ya Biashara.
Wangekataa si angewabadilisha wakawa nyoka ?!! Kama aliweza kubadilisha mikate na divai kuwalisha kadamnasi unadhani angewafanya nini hawa..., Kwahio huenda waliondoka kwa intimidation na sio free will
Ninachosema Usiue kwa kisingizio cha watu kumkosea Mungu.
Nadhani hakuna any civilized person atakataa hili, na sio Mungu tu hatupaswi kuua mtu yoyote au hata kuchomana moto wa milele napo sio poa, unadhani nitafurahia mimi nipo peponi wadau wangu niliokuwa nagonga nao cheers wanateketea na moto (eti mimi ninafurahi na wanafiki ambao huende huku kitaa I could not stand them kwa ajili ya kujiona superior na kuhukumu wenzao)?
 
Jibu rahisi Shetani hajawahi kwenda Kwa Mungu kutubu na kuomba msamaha angemsamehe

Shetani jeuri hadi Leo hataki kwenda kuomba msamaha
Kwahio in any given future moto ukimzidia akaomba atasamehewa pamoja na wengine wa huko Jehanam ili wajiunge na wadau (do-gooders) huko kwenye kusifu na kuabudu ?
 
kwa ku-overthrow meza zao na kuwafukuza kwa ghadhabu sio kuwafukuza tu, sijui kama wange-retaliate nini kingetokea.., au wangemfungulia kesi ya kuwatia hasara na ku-cause economic harm

Wangekataa si angewabadilisha wakawa nyoka ?!! Kama aliweza kubadilisha mikate na divai kuwalisha kadamnasi unadhani angewafanya nini hawa..., Kwahio huenda waliondoka kwa intimidation na sio free will

Nadhani hakuna any civilized person atakataa hili, na sio Mungu tu hatupaswi kuua mtu yoyote au hata kuchomana moto wa milele napo sio poa, unadhani nitafurahia mimi nipo peponi wadau wangu niliokuwa nagonga nao cheers wanateketea na moto (eti mimi ninafurahi na wanafiki ambao huende huku kitaa I could not stand them kwa ajili ya kujiona superior na kuhukumu wenzao)?
Hatima yetu anijua Mungu tu. Huenda ametutisha ili tuwe watu bora.
Sisi sote ni watoto wake na anajua madhaifu yetu. yeye ndio anajua atupeleke vipi.
Kuua watu wa Mungu hakukubaliki na yeyote.
Unaweza kumwua kipenzi cha Mungu kwa fitina zako tu.
 
Kwahio in any given future moto ukimzidia akaomba atasamehewa pamoja na wengine wa huko Jehanam ili wajiunge na wadau (do-gooders) huko kwenye kusifu na kuabudu ?
Ukishafika motoni case closed
Ni kutubu kabla kutua kwenye moto
 
Kwa Theory tu ya Universe Expansion chance kwamba dunia imetokea yenyewe ni 1 ya 1,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000 ,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000, 000,000,000,000,000,000,000,000,000,000

Yaani kwa kuelewa vizuri michanga yooote duniani iwekwe pamoja matrilioni kwa matrilioni uambiwe uchague mchanga mmoja tu, ukikosea tu Universe haitokei.
Nani kasema imetokea yenyewe...,

Je unadhani Nothing Exists ? Yaani hata leo nikwambia kwenye test tube uifunge na u-create nothingness, yaani hakuna energy, radiation au any particles utaweza ?!!!

Kama tu kwenye grain of sand ( there are roughly 2*1019 atoms in a small grain of sand.) In each molecule of quartz we have 3 atoms (1 silicon and 2 oxygen)... na ukizingatia binadamu pia ni (99% ni oxygen, carbon, hydrogen, nitrogen, calcium, and phosphorus. na about 0.85% ni potassium, sulfur, sodium, chlorine, and magnesium) na hakuna nothingness bali energy na atoms kila mahali kila wakati usishangae hio test tube yako ukija baada ya miaka kadhaa kutokana na happenstance yoyote ile ukakuta kitu ambacho ukashangaa kimetoka wapi (sorry hautashangaa utasema muumba kakiumba) ila sijui utasema na nuclear bomb alitengeneza yeye ili watu wa Nagasaki waweze kunyooshwa ?
 
Hatima yetu anijua Mungu tu. Huenda ametutisha ili tuwe watu bora.
Sikatai kwa imani yako wala nikikupinga takuwa hawayani sababu ni Imani yako ndio maana nikaomba msahada unipe majibu kwanini Mungu asimsamehe huyu Shetani au kwanini alimtengeneza in the first place wakati wapendwa wake tunapata tabu
Sisi sote ni watoto wake na anajua madhaifu yetu. yeye ndio anajua atupeleke vipi.
Kuua watu wa Mungu hakukubaliki na yeyote.
Unaweza kumwua kipenzi cha Mungu kwa fitina zako tu.
Kwa Imani yako Mungu ana-levels za kupenda, yaani kama binadamu anawapenda wengine zaidi ya wengine ?
 
Naomba nieleze ili niweze kuikata.....,

Pili Je kama mtu hataki kuingia huko (Kwani kuna nini huko) Sababu kama ni kuimba na kusifia to infinity jambo ambalo wengine hata tukiwa kwenye party ya masaa tushaboreka..., unaweza kusema Mbingu yako kwa Mwingine inaweza ikawa Jehanum
Hahahaaaaaaa
kitu usichokiweza kweli ni kero lakini unachotakiwa kujua ni kwamba, yote yatakayokuwa yakifanyika huko juu mbinguni nikwauweza wake na wala sio uwezo wako.

Tatizo lako nini hadi ukatae aliyekuumba anataka qnachotaka kufanya juu yako.

Lakini sio mbaya, kama unamtaka shetani na Mambo yake nenda kapige nae kiza tu wala hakuna atakaye kuzui kula raha shetani 🤣
 
Nani kasema imetokea yenyewe...,

Je unadhani Nothing Exists ? Yaani hata leo nikwambia kwenye test tube uifunge na u-create nothingness, yaani hakuna energy, radiation au any particles utaweza ?!!!

Kama tu kwenye grain of sand ( there are roughly 2*1019 atoms in a small grain of sand.) In each molecule of quartz we have 3 atoms (1 silicon and 2 oxygen)... na ukizingatia binadamu pia ni (99% ni oxygen, carbon, hydrogen, nitrogen, calcium, and phosphorus. na about 0.85% ni potassium, sulfur, sodium, chlorine, and magnesium) na hakuna nothingness bali energy na atoms kila mahali kila wakati usishangae hio test tube yako ukija baada ya miaka kadhaa kutokana na happenstance yoyote ile ukakuta kitu ambacho ukashangaa kimetoka wapi (sorry hautashangaa utasema muumba kakiumba) ila sijui utasema na nuclear bomb alitengeneza yeye ili watu wa Nagasaki waweze kunyooshwa ?
Kama huamini universe imetokea kwa Chance ina maana kuna Designer na kama kuna Designer mtaje ama Explain zaidi.
 
Ukishafika motoni case closed
Ni kutubu kabla kutua kwenye moto
And you call it a choice / free will ?

Peponi kuna nini naomba unijibu hili ili nikuulize kingine sababu kama kuna mabikra wa kutosha kwa watu ku-enjoy sidhani kama ni fair game kwa hao mabikra kwahio huyo Bikra kumpa choice ya either aje kwako akawe kiburudisho cha wachache au asije kwako achomwe moto....

Nadhani angechagua asizaliwe (sadly that option is not on the table) au hao bikra wataumbwa siku za mbeleni (au itakuwa living in a matrix) nothing happens just thoughts ?!!!

Can you care to elaborate (according to your faith)?
 
Hahahaaaaaaa
kitu usichokiweza kweli ni kero lakini unachotakiwa kujua ni kwamba, yote yatakayokuwa yakifanyika huko juu mbinguni nikwauweza wake na wala sio uwezo wako.
Okay...
Tatizo lako nini hadi ukatae aliyekuumba anataka qnachotaka kufanya juu yako.
Kwa minajili hio unaweza kusema baba afanye chochote kwa mwanae sababu alimzaa au wewe unaweza tu ukafuga samaki ili uwape sumu ufurahie wanavyokosa oxygen (sababu tu uliwapa chakula na kuwatotoresha) ingawa sisi wa pembeni tutakuita sadist
Lakini sio mbaya, kama unamtaka shetani na Mambo yake nenda kapige nae kiza tu wala hakuna atakaye kuzui kula raha shetani 🤣
Ndio maana sitaki na nikaona nikuulize kwanini wasiyamalize ili shetani aache hii recruitment ?, sababu choices zilizopo huenda bado zinakufunga.., kama hutaki A wala B na hakuna C (non existent in the first place) hapo umepewa a raw deal....
 
Sikatai kwa imani yako wala nikikupinga takuwa hawayani sababu ni Imani yako ndio maana nikaomba msahada unipe majibu kwanini Mungu asimsamehe huyu Shetani au kwanini alimtengeneza in the first place wakati wapendwa wake tunapata tabu

Kwa Imani yako Mungu ana-levels za kupenda, yaani kama binadamu anawapenda wengine zaidi ya wengine ?
Henoko hakufa alinyakuliwa. Mungu ndivyo alivyo amua juu yake. je wewe hutakufa pia? .
Usimpangie Mungu.
 
Huwa najiuliza kama wazungu wasingeleta dini waafrika tungemuuaje Mungu yupo au hayupo
Tulikuwa na miungu yetu wakatuita ni wapagani na wengine mpaka wakapelekea kuuliwa na kuwa indoctrinated, kunyanganywa watoto ili waende kufundishwa maadili dini ya kistaarabu na waachane na ushenzi
 
Henoko hakufa alinyakuliwa. Mungu ndivyo alivyo amua juu yake. je wewe hutakufa pia? .
Usimpangie Mungu.
Hakuna kitu hai ambacho hakitakufa hio ni law of nature.., pia huu mjadala sio wa kupangiana ni wa kuulizana sasa kama majibu tamati yake kwamba tusimpangie na tumeze chochote tunacholishwa huenda mpaka leo tungekuwa tunadhani jua ndio linaizunguka dunia...
 
Nashukuru maana nimeelewa kwamba haufahamu chanzo cha uhai isipokuwa haukubaliani na kile ambacho wengine tunakikubali.
Kwahio sababu sijui Timbuktu kama ipo Afrika au Asia nikisema ipo Ulaya ni sawa tu sababu nimesema na mwingine hajasema ?

Au ukiniambia ipo chini ya bahari nisibishe sababu sijui ipo wapi exactly lakini najua ni mji uliopo sehemu fulani lakini sio baharini ?

Huoni kwa kufuata your train of thoughts sasa hivi tungekuwa tunafundishana kwamba jua linazunguka dunia ?
 
Wapi nimesema katika maisha yajayo kuna kuimba na kusifu tu? Hayo ni mawazo ya some lazy christians in their imaginary by and by. Katika nchi mpya na mbingu mpya kutakuwa na majukumu mbalimbali na Mungu anaweza kukuweka katika project mbalimbali all over the universe. Unaweza kujikuta umepewa majukumu kwenye kitengo cha uhandisi ukawa unafanya kazi za design ya galaxies nk.
design galaxies for who ? kwamba mimi nitakuwa designer kumshinda yeye au kazi yangu itakuwa kuchanganya mchanga na zege (sorry hizi zinaharibu mazingira) itakuwa ni kusema abradacadabra ili magorofa yatokee..., na wengine watakuwa wanalima hili nikichoka niweze kula ?

Sijakupata mkuu kwahio unasema hizi struggle za huku kitaa zitaendelea kwamba wengine watakuwa watwana wa mabwana fulani ?
 
Hivyo viashiria vya kale vilitokana na Mazingira ama Claim toka kwa Mungu mwenyewe? Sign hizi ukumbuke zimetoka kwa Mungu na ametuchallenge tuzi disprove.

Assume leo Umeamka unajikuta upo kwenye Treni inakwenda kasi, huna kumbukumbu yoyote then unakuta watu kwenye train wanapiga stori wala hawana habari

Je utadadisi sababu ya uwepo wako kwenye treni ama na wewe utapotezea na kuanza kupiga story tu?

Kwa Theory tu ya Universe Expansion chance kwamba dunia imetokea yenyewe ni 1 ya 1,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000 ,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000, 000,000,000,000,000,000,000,000,000,000

Yaani kwa kuelewa vizuri michanga yooote duniani iwekwe pamoja matrilioni kwa matrilioni uambiwe uchague mchanga mmoja tu, ukikosea tu Universe haitokei.
Kwanza unapaswa ukubuke kuwa hakuna claim iliyowahi kuletwa na Mungu

Si yako wala ya wengine iliyowahi kuletwa na Mungu

Ila kuna maandishi yanayodaiwa kuwa ni claim kutoka kwa Mungu, maandishi ambayo yameelezwa sehemu nyingi tofauti tofauti ambayo yote kwa pamoja hayajawahi kukubaliana.

Mfano wako wa treni unataka kuutumia kwenye hoja gani?

Unataka kuhusisha mfano wa treni na ulimwengu kuwa watu tumejikuta tupo ndani?
 
Every pain unayoipata duniani unakwenda kuwa compensated, hio ni promise ya mungu.
Okay Je unajua hio compensation itakuwa nini au kitu gani...

Kwahio kutakuwa na matabaka yaani wenye compensation kubwa zaidi ya wengine yaani Classes tofauti tofauti ?
 
Hakuna kitu hai ambacho hakitakufa hio ni law of nature.., pia huu mjadala sio wa kupangiana ni wa kuulizana sasa kama majibu tamati yake kwamba tusimpangie na tumeze chochote tunacholishwa huenda mpaka leo tungekuwa tunadhani jua ndio linaizunguka dunia...
Kwa nafasi yetu kama binadamu tuna mipaka ya kufanya mambo.

Mungu aliamua kutuumba bila kutushirikisha. Huenda mimi ningeulizwa ningekataa kuumbwa.

Mungu akatupangia mahitaji yetu yote akatuwekea na hizo pisi kali.

Mungu anapo amua jambo lolote sisi ni wa kukubali na kushukuru tu na kasema anatupangia mambo mema.

Anaweza leo au kesho iwe kiama hatuwezi kuhoji popote. Hilo jambo litakuwa jema tu.

Mungu anawafisha vipenzi vyetu tunaishia kusema tu. Mungu kaumba Mungu kachukua jina lake litukuzwe.

Pamoja na kutuumba katuambia fanyeni hiki hiki msifanye. Kuleni hiki kile msile NK.

Ni kama unapotengeneza gari unaweka sheria za gari. Mafuta weka hapo maji weka pale, ukibadirisha huwezi kumlaumu mtengeneza gari.

Chochote anacho kifanya Mungu ni chema. Ingawa kwa macho yetu ya nyama tunaweza kulaumu hapa na pale.
Mwanadamu ndiyo kiumbe pekee aliye pendwa sana na Mungu hadi akamuumba kwa mfano wake na kumpatika kila hitaji lake.

Ila haimzuii Mungu kufanya chochote dhidi ya Binadamu. Na ki hakika Mungu huwa anamfanyia Binadamu mambo mazuri tu.

Hata ukimkosea ametupa fulsa ya kutubu na kuahidi kusamehe.

Leo kuna watu hawasamehe kabisa japo kuwa wao wanahitaji msamaha.

Uki iangalia sala ya Baba yetu uliye Mbinguni inaongea kila kitu kuhusu wajibu wa Mungu na wajibu wetu sisi watu.
 
Back
Top Bottom