Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #461
Intimidation haiitaji competition ili iwe intimidation: to frighten or threaten someone, usually in order to persuade the person to do something he or she does not wish to do:Mungu yupo clear atleast kwenye Dini yetu hajaumba Binadamu na Majini isipokua wamuabudu itakua intimidation kama Mungu anacompete na mtu,
Naam kwahio hata wale slave traders walikuwa na traits au walifanya kile ambacho God qualities...,hapa kakuumba wewe na anaweza akakufanya chochote unaweza ukaabudu vile vile asikupe hizo benefit anakumiliki asilimia 100.
And whichever I do it is written ? Kwahio siwezi kubadilisha lolote, ni kama naangalia mkanda recorded na hapa ninarewind mara ya pili chochote nachofanya leo au jana is just waste of time au kukamilisha the written word ?Again unatumia Akili ya kibinadamu, Divine power its beyond our comprehension, umekuwa coded uwe na free will unachagua unachofanya unaweza ukashukuru ama kukufuru, ila ukishukuru Mungu anajua Outcome na ukikufuru pia Mungu anajua Outcome. Thats part ya power za Uungu.
Test wakati anajua kila kitu na kimeandikwa na wino umeshakauka ? Hio sio test labda sema kukamilisha kile alichoandika / kudhamiria na kila kiumbe ni character ana-play part wengine wapo doomed no matter what.. Au nimekosea wapi ?Na ndio Mungu ameumba na kuweka vyote hivyo Ukimwi, Slavery, Gharika etc, na kila tabu unayopata utakuwa compensated vyote hivyo vimeweka kama Test kwa mwanadamu.
Okay hapo nimekuelewa sasa hapo kwenye Avenger ana avenge nini wakati wote ni characters kwenye a written word ambayo wino umeshakauka huwezi ukafutika if we are all characters and we are playing our parts huwezi ukapata hero without a villainPia naona mkuu unachanganya Sana Doctorine ya Ukristo na Uisilamu, mimi muisilamu kama ulivyosema juu vyema tutumie logic ya ninachokiamini. Kwenye Uisilamu Mungu haishii tu kama All loving, Unaweza pitia online Majina 99 ya Mwenyez Mungu according to Uisilamu Mungu ni Destroyer, Avenger, Just etc.
kwenye huu muendelezo wa maandiko uliandikwa at once au episode baada ya episode yaani alitengeneza shetani ili aasi ili Adam akija shetani amdanganye ili apewe adhabu ? au episode ikiisha inaandikwa nyingine kulingana na iliyoisha ?Kabla ya Mtume Muhammad imani yetu ni kwamba Adhabu ilikuwa ikitoka papo hapo, wa Sodoma, Gharika, Upepo, etc hao wa Nuhu tayari walishamtimiza miaka yao duniani, hivyo iliandikwa kwenye lifespan yao baada ya miaka hio 1000 uma wao utaisha kwa Gharika.
Pili babu zetu waliokuwa na miungu yao wenyewe hawakupata hizi memo au shetani aliwapa wrong version of the truth..., sababu wakati kina Daud wanafanya yao Mizimu ya Mababu zetu na kwa imani zao walikuwa wanafanya yao huku.... (Na je watahukumiwa au wao ni poa tu sababu hawakujua hence wanapata free Pass)?