Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Inamaana uislamu haumtreat mwanamke kama binadamu? unamtreat kama nani?
 
Mimi siumii, mnaoumia ndio nyie hamtaki Samia awe Rais lakini ndio hivyo tena keshakuwa
Ktk vitabu vya Mungu kuliwahi kuwa na Mtume mwanamke?

Hivi ktk wanafunzi 12 wa Yesu,
Wangapi walikuwa wanawake?
Hivi wanawake hawakuwepo,au Yesu hakuwaona?

Maswahaba wa mtume Muhammad (SAW )
wangapi walikuwa wanawake?

Usishupaze shingo,,

Mungu ndy anatujuwa zaidi binadamu kuliko tunavyojijuwa Sisi..
 
Mnapotaka kutumia hizi sheria kwa sababu Samia ni Raisi au mnazipenda sheria hizi ziongoze Maisha yenu

Uislam na hayo mavyama yenu na siasa zenu ni ni mashariki na magharibi

Mnapojadili uraisi wa Samia mjadili kwa Mujibu wa katiba yenu na sio Quran
Yaani katika hili tu la uongozi wa mwanamke ndio wanataka kuurudia uislamu, ila mengine hawayaoni.

Huku ndiko kitumia dini kwa maslahi ya dunia.
 
Samia ni Mwanamke na ni Rais
Huyo Mungu wenu kama anaweza amzuie
 
Inamaana uislamu haumtreat mwanamke kama binadamu? unamtreat kama nani?
♦️ Nenda nchi za kiarabu uone kama mwanamke anaduhusiwa

♦️ Kugombea nafasi ya kisiasa

♦️Kupiga kura

♦️Hata kuendesha gari

Then if you are denied civil and political rights then who are you?
 
Samia ni Mwanamke na ni Rais
Huyo Mungu wenu kama anaweza amzuie
Unatuonesha ni kiasi gani Cha ujinga unaokutawala. Aliyemuumba Samia ameshamuwekea utaratibu,ni juu yake kuufuata au kukataa. Akifuata ni faida kwake akiukataa ni hasara juu yake.

Ni Kwa namna nyingine sisi waislamu tumefundishwa kishikamana na mtawala na kumtii Kama hatuamrishi maasi ya kumuasi muumba wetu.

Hiyo ni bila kujadili madarakani Kuna mtawala wa namna Gani. Lakini hayo yote hayatengui nasafi ya mwanamke katika jamii Kwa mujibu wa uislamu.

Mwisho kabisa kumbuka mleta mada hapo juu ameuliza swali kwahiyo ni juu yetu kumjibu. Kama hauna kumbukumbuku rejea swali lake Ili urudi msitari mkuu ujue nini tunazungumzia. Kuliko uanze kuleta upinzani kwenye maandiko ya dini isiyokuwa yako Kwa maana huna ufahamu nayo eti kisa mapenzi binafsi.
 
Waislam wanatofautiana sana kwenye kushika dini. Kuna rafiki yangu Sunni visuruali vifupi lakini kila siku yuko CRDB, NMB, Faidika kutafuta mikopo. Hapa anasubiri ongezeko la mama akatop-up
 
Waislam wanatofautiana sana kwenye kushika dini. Kuna rafiki yangu Sunni visuruali vifupi lakini kila siku yuko CRDB, NMB, Faidika kutafuta mikopo. Hapa anasubiri ongezeko la mama akatop-up
Hata aweje akiacha maandiko ataadhibiwa Kama tu hakutubu dhambi zake kabla ya umauti
 
He was a visiting scholar in Islamic studies at the University of Leipzig, Institute of Oriental Studies in Germany, Bayreuth University in Germany, and in Northwest College in Wyoming through the Fulbright Visiting Scholar Program
Hawa wasijekuwa walivuruga mtazamo wa Professa!
====
Uzi wa imani huu uhamishiwe kwenye jukwaa la Dini
 
Yqni mfano itokee Afghanistan mwanamke agombee uraisi,..kitakachotokea wore tunajua.

Wale jamaa ndo wanafata uislam kweli kweli,sio mashehe ubwabwa
 
Kwa hiyo saiv waislam mpo njia panda. Au mmeamua kuiweka quruan pembeni mle kwa urefu wa kamba.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo saiv waislam mpo njia panda. Au mmeamua kuiweka quruan pembeni mle kwa urefu wa kamba.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Wewe ulitaka tufanye nini? Na kwanini tuwe njia panda? Kwani unadhani Kwa madhara ya kuwa na kiongozi mwanamke yakitokea yatawakumba waislamu peke Yao?
Au unataka kuniambia dini yako inafundisha nini juu ya kuwafanya wanawake kuwa viongozi?
 
Sioni tofauti yeyote unayotaka niione.
 
Hata uandike insha ngapi huwezi kunishawishi. Tunaelewana?
 
Uislam ni imani kandamizi....ukihoji vitu visivyo make sense wanakuombea albadir ufe au wanakuua tu.....sijuwi kwanini wenzetu hawapendi ukweli
Unauthibitisho wa haya unayoyasema?

Na mambo katika uislamu haya make sense?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…