Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Pakistani iliwahi kuwa na mama uongozi wa juu !

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Pakistani iliwahi kuwa na mama uongozi wa juu !

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Yaani waziri mkuu? Au?

Hata hivyo Pakistan ni Islamic country ya kinafiki.
1/4 ya wanaume ni mashoga utasema Islamic country?

Hukumu nyingi hawafanyi kwa Sheria za kiislam,
Utasema ni Islamic country?

_Afghanistan
_Saud Arabia.
Hapa zile hukumu za ,
--ukiiba unakatwa mkono bado zipo.

--Mwanaume ukimuangalia mwanamke ambaye sio mkeo jasho litakutoka.

-- ukikutwa na madawa ya kulevya unapigwa panga,

Ijumaa na jmosi ndy siku ya mapunziko.

Hao ndy waislam

Na sio hao wapakistan.
 
Sisi tunazungumzia mwanamke kuongoza watu ,
Na sio kuongoza kigenge cha vikoba.,
Au kuongoza biashara.
Au kuongoza family.

Dini imeshakueleza udhaifu wa mwanamke.
 
ila muddy Hana shukrani kabisa...bi Khadija kamkuta jalalan kampa Hela,kamlea,kampa biashara...ila jamaa alipotoboa Tu Na kuanza kupata wafuasi akàanza kumuongezea wake mpaka 11.
Halafu kwenye kitabu chake Quran kawapondea kinoma wanawake
mbona kashfa tena?
 
Hizi dini ni majanga matupu..zilipaswa vitabu vyake. Vifungiwe museums au vifundishwe kama historia sio kuaminishana.

#MaendeleoHayanaChama
Kabisa yaani vitabu vya kijinga sana kweli
 
Sasa ndg zetu Kama ndo hivyo kuna Katazo La Namna hiyo..... nini kifanyike? Semeni Wenyewe Waislamu.
Usichanganye mfumo wa maisha wa kiislam na mfumo wa maisha wa kikafiri,hapa tuna mfumo wa maisha wa kikafiri,mama aongoze tu,mfumo wa maisha wa kiislam kula,malazi,mavazi ni juu ya mwanaume,Sheria!!
 
Kwa hiyo wapakistan siyo waislam!!?..acheni hizo,Pakistani siyo nchi ya kiislam
 
hizo zinapatikana kwenye nguzo za Iman ambapo mojawapo ni kuamini Quran na yote hayo yamo kwenye Quran
Hilo uliaswa umjibu huyo. maana yeye ndio anaaona kitu kikiwa hakipo kwenye nguzo za uislamu basi hakijakatazwa
 
Usichanganye mfumo wa maisha wa kiislam na mfumo wa maisha wa kikafiri,hapa tuna mfumo wa maisha wa kikafiri,mama aongoze tu,mfumo wa maisha wa kiislam kula,malazi,mavazi ni juu ya mwanaume,Sheria!!
Kwa hiyo mnakubali kuongozana na mfumo wa kikafiri na mnaufuata?
 
ila muddy Hana shukrani kabisa...bi Khadija kamkuta jalalan kampa Hela,kamlea,kampa biashara...ila jamaa alipotoboa Tu Na kuanza kupata wafuasi akàanza kumuongezea wake mpaka 11.
Halafu kwenye kitabu chake Quran kawapondea kinoma wanawake

Nimecheka sana mkuu hii comment yako mkuu. Nasikia pia huyo mwanamke alikuwa amemzidi miaka ya kutosha.
 
Swali la uelewa
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa

c.c FaizaFoxy
Siyo kweli mbona mtoto wa kike wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan Benazir Butho pia alikuwa Waziri Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…