Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Jamii gani hio?,mbona ukiweka hivo vigezo ndio unaonekana kweli upon serious,......ama?
 
Wanawake wapenda mali wanapondwa sana mbona

Bikra haina thamani yeyote, ni kipozauongo.

Yaani kwa vile umepata njia ya kujua mwanamke hajafanya ngono, basi inakuwa rahisi zaidi kuamini hatochepuka.

Ni kama kuweka dukani mtu ambaye hajawahi kuuza biashara yeyote, na usimfuatilie kabisa ukiamini hawezi kuiba
 
Ni kwa sababu bikea ya mwanamme Haina kipimo .
 
Nimelelewa ila nimeongelea hali ya sasahivi, siyo assumption za watu kufutika duniani, jambo ambalo halipo
 
 
Ni usherani tu uliotawala inapaswa mume aoe bikra full stop
 
Kama hana bikra basi awe wife material, mweupe, tako liwepo, pia asiwe njaa njaa atatufilisi, nasisi tuwawekee vigezo maana siyo kila siku wao tu.
Sasa ww hapo utapata tabu sana kupata mwanamke mwenye hizo sifa zote
 
Sababu kubwa ni kampeni za ferminism. Kupitia kampeni hizi wanawake wamejipandisha thamani kwa vigezo vya kipumbavu huku wanaume wamejishusha thamani wakiwa na vigezo vya maana kabisa.

Leo sio ajabu mwanaume mwenye kipato cha 200k/ months akaambiwa hana hadhi ya kudate na mwanamke ambae ni jobless na bado mwanaume uyo akaona halali kuwa mnyonge, ukifatilia sababu ni nini, ni kwa sababu uyo mwanamke jobless ana tako.

Wanaume tutoke usingizini, tuone uhalisia, tujue thamani zetu na tuweke standard zetu.

Mwanaume achana na iyo mentality ya kufikiri mwanamke anakufanyia favor kudate na wewe, fanya tathmini ya mahusiano yako ni nani anawekeza zaidi, ni nani anamsaidia mwenzake zaidi utagundua ni wewe ndie unafanya favor kudate na yeye
 
Wanaomponda ni wale ambao wameoa wanawake waliokwisha tumika, ni kama wanajifariji tu. Utaowaje mwanake keshakojolowa na watu kibao we ndio unaowa.
Wana kisingizo chao hicho eti mapenzi hayana muongozo, wajinga sana hawa. Mwanaume ukiona unalazimika kutumia nguvu kuitetea au kuificha past ya mkeo jua tu umekosea kuoa.
 
Sio kweli kabisa, mimi mpenzi wangu nilienae nilimkuta akiwa bikira na tayari mtu mzima yupo 20+, nina kaka aliniambia mkewe alimkuta bikira, kwaiyo kusema kwamba kupata mwanamke bikira ni kigezo ambacho hakina uhalisia huo ni uongo.
 
Kila upande ukiiweka msimamo na kuusimamia inawezekana kabisa. Mwanamke akikataa kurubunika mpaka aolewe na mwanaume akitakiwa kusubiri mpaka aoe inawezekana kabisa.

Tatizo hapo katikati kila upande wa jinsia lazima watajitokeza wahuni wa kuvunja ilo agano na ndipo mtoa mada anatatizika.

Kwanini mwanaume asie na hela anabaguliwa kwenye suala la kuoa wakati mwanamke asiye na bikira inaonekana ni sawa.

Kwaiyo iwe fair kila upande ubaguliwe na uambiwe ukweli mchungu. Mwanaume asiekua na hela ni masikini na hatakiwa kuoa na mwanamke asiekua na bikira ni malaya hatakiwi kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…