Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Mmoja demand yake ni nature
Mwingine ni artificial, kama huna akili hutaweza kutofautisha.
 
Dah! hoja umezimwaga kikatili sana mkuu, ila kweli tupu
 
Wanaume wenye hela na kazi nzuri wapo kwa umri huo wa kuoa ila upande wa pili ni nanhii yaani....nitarudi
 
Uchumi na bikira ni mifano ambayo haindani hata kidogo.

Mabinti Bikira wapo wengi sana. Mwanamme ambaye yupo tiyari kuoa hawezi kosa binti bikira.

Wapo mabinti safi kabisa, wamejitunza wako tiyari kutunza familia.

Tatizo la nyie wanawake ambao mshaharibika kwakushindwa kujitunza, mnaona kila mwanamke ni mbovu kama nyie.

Pili mnatulazimisha sisi wanaume tuwavumilie na kuwachukua hivyo hivyo na ubovu wenu.

Ni mwanamme mpumbavu anayeweza kubaliana na huo ujinga wenu.

Na hasiri ilivyo kiboko, simp yeyote atakayekubali kumchukua mwanamke aliyepotea, ndoa au mahusiano yao huwa hayadumu na Huwa hawafiki mbali.
 
Bikira za kutosheleza idadi ya wenye uhitaji wa kuoa zipo, ni suala la mwanume kufanya vetting tu
 
Nimeupenda huu ujumbe, naomba ruhusa yako niuongezee nyama kidogo niuandikie thread
 
Exception ipo kwenye kila kitu lakini uwezekano wa mwanamke uliemkuta bikira kutulia au kuwa na maadili mazuri ni mkubwa sana ukilinganisha na mwanamke mapepe uliemuokota mtaani
 
Ukikubali kuwa toleo la 3 Umeisha mzee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kwa sababu hakuna mwanamke bikra kwa miaka hii, ukiona mwanmke bikra ujue ana matatizo ya kiafya tangia amezaliwa
Si kweli.
Ukweli ni kwamba wasio mabikra ni cheap na low value. Ukimuoa usije sema mtoto si wako.
Walio mabikra ni valuable na wameonyesha nidhamu ya hali ya juu. Mabikra wanaotoka katika familia zinazomheshimu Mungu ndo wanawake bora kuliko wote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…