grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Bikra wapo ninavyoamini utaoa na kuolewa na wale ambao wapo kwenye cycle yako na wana tabia kama zako hata kama utazificha. Mungu hukupa unachostahili hakupi unachotaka.Ni kwa sababu hakuna mwanamke bikra kwa miaka hii, ukiona mwanmke bikra ujue ana matatizo ya kiafya tangia amezaliwa
Point nzuri kunywa sodaSi kweli.
Ukweli ni kwamba wasio mabikra ni cheap na low value. Ukimuoa usije sema mtoto si wako.
Walio mabikra ni valuable na wameonyesha nidhamu ya hali ya juu. Mabikra wanaotoka katika familia zinazomheshimu Mungu ndo wanawake bora kuliko wote duniani.
Point nzuri kunywa juisi. Nataka Malaya wote wasome hizo points mbili, waache kushupata shingo.Bikra wapo ninavyoamini utaoa na kuolewa na wale ambao wapo kwenye cycle yako na wana tabia kama zako hata kama utazificha. Mungu hukupa unachostahili hakupi unachotaka.
Ninawajua watu kadhaa waliooa bikra ila ukifuatilia historia zao ni wachamungu wamekuzwa kiimani na hata wake zao ni wale waliokulia katika mazingira ya kidini.
N.b
Mimi ni muislamu hivyo ninaowaongelea hapo ni waislamu pia.
Kabisa, Dogo langu la damu lilioa Ke bikra baada ya kulizalisha Watoto wawili tu tayari limeshakuwa jamvi la wageni, mi mwenyewe huwa nalikwepa sana. Bikra haidumu milele na haihusiani kabisa na Ke kuwa Mke mwema hata kwa 0.0001%.Wanawake wapenda mali wanapondwa sana mbona
Bikra haina thamani yeyote, ni kipozauongo.
Yaani kwa vile umepata njia ya kujua mwanamke hajafanya ngono, basi inakuwa rahisi zaidi kuamini hatochepuka.
Ni kama kuweka dukani mtu ambaye hajawahi kuuza biashara yeyote, na usimfuatilie kabisa ukiamini hawezi kuiba
Tangu kuumbwa kwa dunia sijawahi kuzuzuka kubabaishwa kabisa na Ke Cheupe kihisia ila Black Ladies eeeh...🙌Kama hana bikra basi awe wife material, mweupe, tako liwepo, pia asiwe njaa njaa atatufilisi, nasisi tuwawekee vigezo maana siyo kila siku wao tu.
Wakipanua miguu unaona mpaka maini ✍️🤔😊Bikra 2024 itoke wapi siku hizi wakipanua miguu unaona mpaka maini na huyo ni msichana hajafika miaka 24.
Una assume kitu ambacho hakiwezi kutokeaHivi umeelewa hata hoja yangu kweli, hebu tuassume hiki kizazi chote kimefutika kikaanza kingine, ambacho wanaume wote ni mabikira na wanawake wote ni mabikira
Halafu wanawake wote wakasema waweke ngumu watunze bikira zao hadi ndoa, yani mwanaume ukitaka tendo ni hadi uoe na unakuta mwanamke kuolewa ni hadi amalize kusoma, na mwanaume naye kuoa ni hadi amalize kusoma na apate shughuli yoyote ya kumuingizia kipato
Je wanaume mtakubali hili na mtakuwa tayari kuvumilia, bila kutafuta namna nyingine yoyote ya kuwashawishi wanawake, ili mfaye nao ngono au hata kuwabaka kabisa wewe unaona linawezekana hilo
By which standards umetumia kum rate "REAL MAN" kwamba waliooa bikra si real men na real men ndiyo waliooa wale ambao si bikra? Kwamba tukirudi miaka 200 nyuma kulikuwa hakuna real men kwa sababu asilimia kubwa walioa bikra na ilikuwa kawaida sana kuoa bikra maana utandawazi ulikuwa zero na watu waliishi in "closed communities" so kujuana ilikuwa rahisi mno kingine walioa mapema kuliko hivi sasa.Kabisa, Dogo langu la damu lilioa Ke bikra baada ya kulizalisha Watoto wawili tu tayari limeshakuwa jamvi la wageni, mi mwenyewe huwa nalikwepa sana. Bikra haidumu milele na haihusiani kabisa na Ke kuwa Mke mwema hata kwa 0.0001%.
Virgin is an overrated value to real Men.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hahaaaa..nionyeshe nami nikuonyeshe msikiti wenye msalabaWapo watu wanamaliza vyuo vikuu wana Bikra, siyo kwamba Bikra hawapo
Mwanamke mwenye upendo wa kweli ni uliyemtoa bikra yakeNnaetaman kumuoa kwanza anaonekana katumika afu ni mtoto mdogo tu Tanganyika jeki imeshaumalza mwendo
Namuomba Mungu hata nisipopata bikra ila aje anpende tu na tuish vzr.
PointlessNi kwa sababu hicho kigezo chenu hakina uhalisia, ili wanawake wajitunze hadi ndoa maana yake na wanaume nao itabidi wakubali kujitunza hadi ndoa, wanawake wote wakisema wakitongozwa wakatae ili wajitunze maana yake wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao tendo la ndoa
Sasa wanaume mkiambiwa nanyi mkubali kujitunza hadi ndoa hamtaki mnaleta visingizio vya kipuuzi eti nature, matokeo yake hata wanawake wakisema wakatae mtaendelea kuwashawishi tu, kumbuka nao ni binadamu siyo malaika kwahiyo mwisho wa siku msianze kulialia kwamba wanawake hawajitunzi ilihali nanyi hamko tayari
Lakini tukija kwenye kigezo cha pesa hicho kina uhalisia, kwa sababu mwanaume anapimwa kwa uwezo wake wa kubeba jukumu lake la kutunza na kuhudumia familia na hilo ndilo jukumu kubwa la mwanaume, sasa mwanaume usipokuwa na shughuli yoyote ya kukuingizia kipato huko ndoani unataka uende kufanya nini
hivi na nyie hamtafuti wanaume bikra?Haya SASA timu kataa ndoa
Mim mwanaume bikra wa KAZI gani aku mim kwa kweli.hivi na nyie hamtafuti wanaume bikra?
Vp khs yule aliebakwa!?Mwanamke mwenye upendo wa kweli ni uliyemtoa bikra yake
Kama wewe hukumtoa bikra yake wewe ni gharasha huo upendo ni feki
Sasa wewe huoni kama hiyo assumption inareflect hali halisi, popote unapoona kuna mwanamke bikira basi jua kuna mwanaume bikira pia, wanaume msipokuwa tayari kujitunza bikira wanawake wazipate wapiNimelelewa ila nimeongelea hali ya sasahivi, siyo assumption za watu kufutika duniani, jambo ambalo halipo
Ni kwa sababu wanaume wameshakata tamaa na kuamua kukubaliana na uhalisia, kwamba siku hizi bikira hazipo kwa wanawake walio tayari kuolewa, lakini kila mwanaume ndani ya nafsi yake anatamani kuoa mwanamke mwenye bikiraSiyo kila mwanaume ana hayo matakwa
Kujitunza maana yake ni kuruka hivyo vihunzi na kukataa ushawishi.Ni kwa sababu hicho kigezo chenu hakina uhalisia, ili wanawake wajitunze hadi ndoa maana yake na wanaume nao itabidi wakubali kujitunza hadi ndoa, wanawake wote wakisema wakitongozwa wakatae ili wajitunze maana yake wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao tendo la ndoa
Sasa wanaume mkiambiwa nanyi mkubali kujitunza hadi ndoa hamtaki mnaleta visingizio vya kipuuzi eti nature, matokeo yake hata wanawake wakisema wakatae mtaendelea kuwashawishi tu, kumbuka nao ni binadamu siyo malaika kwahiyo mwisho wa siku msianze kulialia kwamba wanawake hawajitunzi ilihali nanyi hamko tayari
Lakini tukija kwenye kigezo cha pesa hicho kina uhalisia, kwa sababu mwanaume anapimwa kwa uwezo wake wa kubeba jukumu lake la kutunza na kuhudumia familia na hilo ndilo jukumu kubwa la mwanaume, sasa mwanaume usipokuwa na shughuli yoyote ya kukuingizia kipato huko ndoani unataka uende kufanya nini