Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Bro kuna watu humu ndani hawaelewi hicho unachosema. Infact inasikitisha sana kwa kuwa kiasi kikubwa cha wanaume hawana nguvu za kiume
Nguvu za kiume ni changamoto ndio maana watu wanarukaruka kama pop corns na matangazo mengi kwenye nguzo za umeme ya kuongeza nguvu za kiume. Kama wewe unahisi kuwa una nguvu kidogo za kiume jaribu yafuatayo: Kula vizuri ugali/wali/viazi/mihogo/tambi, nyama/samaki/dagaa/mayai, matunda/mboga za majani/karanga, kunywa maji mengi; lala masaa 8/punzika; tibu ugonjwa mapema (malaria, maumivu, upungufu wa damu, homa); usivae nguo za kubana mwili (chupi, suruali, bukta) kuepuka joto kwenye korodani; acha kuvuta sigara, kunywa pombe sana na kuendesha gari/bodaboda/lori kwa muda mrefu; epuka vinjwaji vya energy na kahawa nyingi; na maliza matatizo yako.
 
Mungu alikuumba dhaifu kwenye upande huo, na Wala hauko peke yako.
 
Mungu alikuumba dhaifu kwenye upande huo, na Wala hauko peke yako.
Mkuu,
Mimi ni mtu mzima kidogo....Nawaza nitumie busara kukujibu....maana una Anza nivunjia heshima....Umenipima na nani ukagundua Mimi ni dhaifu...........
Hapa ningeweza kuandika SHIT....kama ulizo nituhumu....
Itoshe kusema sisi tumesha achana na harakati za ujana na umalaya.......

Stay blessed 🙏
 
Kupunguza ngono umri unavyoongezeka sio udhaifu mkuu, viumbe wote wako hivyo. Umri mkubwa unapunguza sio TU hamu na uwezo wa kusex bali hata macho kuona, meno kung'oka, masikio kusikia, kukimbia na mambo mengine. Kwakuwa umesema wewe umri umekwenda naona ni sawa, lakini Ile kauli yako ya kutembea na wanawake chini ya 10 kwenye maisha yako ni udhaifu wa mwili, huna experience kubwa kwenye eneo la ngono na wanawake. Yaani kutoka shule ya msingi, sekondari, advance, chuoni, kazini na mtaani wewe ni chini ya 10 kaka, kijana shubabe hawi hivyo, wanawake wanaweza kukuendesha watakavyo.
 
Sio kwel,

Wew wamefika wangap..
 
Sio kwel,

Wew wamefika wangap..
Kwangu mm sex sio starehe hivyo siko tayari kusex na mwanamke ambae hataki kuzaa au hazai, anaenyonyesha, amekoma kuzaa, anatumia uzazi wa mpango, anableed, ana mimba au mwenye umri mkubwa sana. Tabia yangu hii imenifanya niwe na wanawake na watoto wengi. Maana sijawahi kukataa mimba au mtoto Wala kuutoa mimba. Yaaani situpi mbegu zangu kipumbavu kwa mwanamke ambae hataki kuzaa au hawezi kuzaa,
 
Nimecheka kama mazur ila for sure uki Toka kuchakata lazima uwe na ka diary kurekod maana wanawake hawakawii kubambika mimba Kwa mwanaume mwenye unafuu na maisha....🤓🤓
 
Ushauri mavi yenye minyoo huu
 
Nimecheka kama mazur ila for sure uki Toka kuchakata lazima uwe na ka diary kurekod maana wanawake hawakawii kubambika mimba Kwa mwanaume mwenye unafuu na maisha....🤓🤓
Nalijua hilo, zamani ilikuwa kitanda hakizai haram, lakini sasa kuna DNA test. Unapommiminia mbegu zako hai na bora mwanamke ambae unajua hatapata mimba au hutaki apate mimba kwakuwa tayari ni mjamzito, ananyonyesha, yuko kwenye siku zake, anatumia njia za kupanga uzazi, ni mzee, au ni mgonjwa utakuwa huna akili, maana hata mbuzi hawafanyi hivyo. Sex zote ni kwaajili ya kuzaa tu basi, ndio maana mm mke wangu akiwa na mimba, amechoka, ananyonyesha au yuko kwenye menopause sifiki kiunoni kwake, naweza kucheza nae hadi akaridhika lakini sio kummwagia mbegu zangu ukeni wakati najua hazitaota au hazitakiwi kuota kwakuwa tayari ana mtoto mchanga. Hii ni sawa na kusema kumeza vidoge, kuchoma sindano, kuweka vijiti, kutumia kondom, kuweka kitanzi au kumwagia nje mbegu ili kupanga uzazi ni upumbavu mtupu unaotusababishia maladhi. Mungu ameweka njia zake tayri tumia hizo. Wanawake wako wengi kwanini utembee na mtu asiyetaka kupata mimba, anaenyonyesha au mzee. mbaya zaidi baada ya kumaliza kumfurahisha kikamilifu hadi akaridhika utampa tena nauli, chakula na vinywaji, utalipa hela ya guest na usafiri wake na hela atataka umpe tena ya kutosha. Utafanya hivyo kila siku hadi lini wakati yeye hazai?
 
ISIYOCHOSHA NI TABIA SIO SEX, TOFAUTISHA KATI YA SEX NA MAPENZI, MAPENZI UNAWEZA KUMPENDA HATA MAMA YAKO LAKINI SEX NI TOFAUTI KABISA. upendo kwa mwamke ni yale matendo mengine yanayoizunguuka sex kama heshima na adabu, uchapakazi, kusema sorry, kupika vixzuri na usafi, kuhurumiana na kuchukuliana mizigo, nk. Hivi hakuna mtu anavichoka, ndio maana sijawahi kusikia mtu kachoka kuitikia shikamoo, kukaa sehemu safi, kuvaa shati safi, kula chakula kizuri, kusaidiwa kulipa ada za watoto, nk
 
Asante sana mkuu Kwa haya maarifa🤓
DNA test ni mchakato mrefu pia utatumia pesa na gharama....
Ina semwa kua mkemia mkuu alisema Ili kuondoa Sinto fahamu mara zote husema mtoto ni wako Ili kuondoa migogoro....
Sina uhaakika lakini
 
Asante sana mkuu Kwa haya maarifa🤓
DNA test ni mchakato mrefu pia utatumia pesa na gharama....
Ina semwa kua mkemia mkuu alisema Ili kuondoa Sinto fahamu mara zote husema mtoto ni wako Ili kuondoa migogoro....
Sina uhaakika lakini
Mkuu kama unapewa mtoto kabisa kisheria awe wako kabisa na kwelikweli usimkatae, mpende kwa moyo wako wote maada watoto ni baraka na hujui atakuja kuwa nani na atakusaidia nini. Kuna mfanyakazi mwenzangu nilimpa mimba bila mumewe kujua, tulikuwa tunajua sisi tu 2 jambo hilo na mimi niliahidi kuwa sintasababisha ndoa yake kuvunjika kwa kwa kudai mtoto wa kwenye ndoa ya mtu. My friend, ni mtoto yule tu kati ya watoto wake 4 aliyekuwa na akili nyingi darasani na alikuwa anajivunia nae, mtoto yule kamaliza chuo kikuu cha Ardhi na ana ajira nzuri na kazi zake binafsi zinampa kipato kikubwa. Wale watoto wake wengine wapowapo tu hata kuolewa hawaolewi na mwingine wa kiume kasomea U DJ kichuo fulani pale Sinza anapiga mziki kwenye bar moja kule Ukonga. Nataka kusema kuwa wazee wetu hawakuwa wajinga kusema kitanda hakizai haramu ilimradi tu hakuna atakaekuja kumdai. Kwani hata angekuwa umemzaa wewe huwezi kumuuza, wala kumchinja kupata kitoweo. faida pekee ya mtoto ni kumtuma na akusaidie basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…