Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

Machogo hamjasema bado, mpaka mseme.

Huu muungano wa kishirikina wananufaika vioñgozi wa ccm tu, solution ni kuiondowa ccm kwanza.
Asilimia 99(99%), ya watu ambao hawanaga machogo hawanaga akili. Hii ni research ilifanyika kabisa, ndo maana siku hizi wazanzibar wameshtuka hawabamizi tena watoto ukutani kuondoa chogo wakizaliwa..
 
Nakumbuka mchaga mmoja huko Zanzibar aliwahi kuwa mbunge katika baraza la wawakilishi anaitwa Remedius Kisasi.
Hao ni walowezi wa Zanzibar kama Brigedia Mwakanjuki.

Yani swali hawa kina Makonda wanaweza kuteuliwa Zanzibar?

Jibu lake haiwezekani, hata Rais wa JMT ni kama hana mamlaka yoyote Zanzibar kwa sababu hawezi kuteuwa mtu wa cheo chochote kwenda serikali ya SMZ.

Yani ukifuatilia kwa makini Rais wa muungano madaraka yake yanaishia pale ferry tu
 
Yaani wenyewe mmeona ndio point ya kushikilia hapo!
 
Eee bhana eeee
 
Raisi wa Zanzibar wa sasa, Dr. Hussein Mwinyi ni raia wa wilaya ya Mkuranga na baba yake aliamuru akifa azikwe Mkuranga wakaona aibu(karma itawalipa). Ila point yako imeeleweka vizuri, huu muungano ni feki hata wao wanajua tu.
Sasa kwa mfano Muungano ukivunjika itakuaje,watamrudisha Hayati Mzee Mwinyi kwao Mkuranga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…