Kwanini nashauriwa nioe?

Song of Solomon 3:5
I charge you, O ye daughters of Jerusalem, by the roes, and by the hinds of the field, that ye stir not up, nor awake my love, till he please.
umeelewaka mzazi🤝
 
Nna mdogo wangu wa kiume ana 22 years.
Alikua anamhudumia demu wake.
Ilibid niingilie kati maana mtu umepanga, huna akiba yoyote na hujaweza kusimama mwenyewe unaanzaje kuoa .
 
Kwasasa ni bado sana, hujatulia na kujua mishe zako zitakupeleka wapi maana wengi mwanzo hufikiria tutasettle Dar au mahali tulipolelewa ila mishe ya kukutuliza unaweza ikuta ipo Katavi uko. Mke atakupa mzigo mkubwa sana na atakuwa factor kubwa kwenye kufanya maamuzi yako huku akikulimit kwenda to your maximum capacity kwasababu ndoa ni majukumu sio kulalana tu. Jenga maisha yako na zifuate fursa popote pale zilipo maana it's you as you. Hata ukiamua kwenda kuanza upya kokote kule Tanzania au duniani unaflow tu sasa jichanganye uoe sasaivi uone jinsi fursa nyingine utakuwa unaziona zinavyokupita hivihivi kwasababu ya majukumu ya ndoa. Yaani acha na usiwaze kabisaaa, bado mno!
 
Nna mdogo wangu wa kiume ana 22 years.
Alikua anamhudumia demu wake.
Ilibid niingilie kati maana mtu umepanga, huna akiba yoyote na hujaweza kusimama mwenyewe unaanzaje kuoa .
kwamba wanaoolewa hawana akili ya kujua hilo?
 
Shukrani kwa advice ya nguvu mkuu
 
Mhhh 23 bado sana aiseh subili ukue kwanza.
 
Kaka km una ulaji sahihi namaanisha sehem ya uhakika ya kukuingizia kipato fanya hivyo mi sitofautiani sana na umri na wewe ila wanafamilia wamekua wakinihimiza ilo jambo kila siku cha kushangaza ht ndugu wadogo walio form four na wenye uelewa kidogo utasikia anakuuliza unaoa lini? Wakati ukifika wenyewe unaongea hivyo hizo ni ishara tosha kwamba muda umefika.
 
Miaka 23 ni umri wa kuwa shule, mimi nina 30+ na bado sina hata wazo la kuoa
 
🎶niko na mawili. Kwenye kichwa. Mapenzi au pesa. Na siwezi kupoteza vyote uh la la. Hunipi amani. Hunipi pressure. Acha nitafte pesa
 
🤜🤛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…