Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KATAA NDOA BRONakubali Fundi😁🤜🤛
Nna mdogo wangu wa kiume ana 22 years.Habari wana Jf.
Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa [emoji3591] Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa
Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila), Maneno haya yamekuwa yakirudia kila wakti jambo ambalo linaanza kunifanya nione au ni kweli sasa napaswa kuoa...
Tuachane na hilo kuna mpangaji mwenzangu leo kanikuta nafanya zangu viusafi akanimbia "Kaka inabidi uoe sasa" huku anacheka (kiumri jamaa kanizidi na anaishi na pisi yake, Jamaa ni dokta na pisi yake ni nurse) Me nikamjibu tu kwamba asijali siku akipatikana mwanamke sahihi kwa muda sahihi nitaoa.
(Wazazi wangu hawajawahi kuniambia chochote kuhusu kuoa tena mama ndo huniambia nitulize kiherere cha kuharakia me bado m-little)
Sasa maswali ninayojiuliza kichwani "Hivi ni kigezo kipi cha kuoa?, Je ni kwamba nina vigezo vyote vinavyoonekana ila mimi ndo nafeli au?, Au je, ni kwamba ki-Africa kijana ukishakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yako muhimu unapaswa kuoa?, Au umri wangu ni mkubwa vya kutosha? (naelekea 23 sasa), Au ni kwasababu ya wanavyoniona najifanyia zile shughuli zangu kama kupika, Kufua na kujioshea vivyombo vyangu? Au wanahofia nitatafuna pisi zao?
Ebu wakuu nishaurini hapa hawa watu wakirudia tena haya maneno niwajibuje? Au kama ni kweli ni muda wa kufaa kuoa niambieni? Ila kiukweli kabisa najiona bado nauhitaji huu wepesi hadi baada ya kama 5 years + hivi maana nikiwa hivi naona inanifanya niwe mwepesi ku-risk maisha popote nitakapo.
Tiririka chochote chenye tija kunijenga...
Kwasasa ni bado sana, hujatulia na kujua mishe zako zitakupeleka wapi maana wengi mwanzo hufikiria tutasettle Dar au mahali tulipolelewa ila mishe ya kukutuliza unaweza ikuta ipo Katavi uko. Mke atakupa mzigo mkubwa sana na atakuwa factor kubwa kwenye kufanya maamuzi yako huku akikulimit kwenda to your maximum capacity kwasababu ndoa ni majukumu sio kulalana tu. Jenga maisha yako na zifuate fursa popote pale zilipo maana it's you as you. Hata ukiamua kwenda kuanza upya kokote kule Tanzania au duniani unaflow tu sasa jichanganye uoe sasaivi uone jinsi fursa nyingine utakuwa unaziona zinavyokupita hivihivi kwasababu ya majukumu ya ndoa. Yaani acha na usiwaze kabisaaa, bado mno!Habari wana Jf,
Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa [emoji3591] Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa
Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila). Maneno haya yamekuwa yakirudia kila wakti jambo ambalo linaanza kunifanya nione au ni kweli sasa napaswa kuoa.
Tuachane na hilo kuna mpangaji mwenzangu leo kanikuta nafanya zangu viusafi akanimbia "Kaka inabidi uoe sasa" huku anacheka (kiumri jamaa kanizidi na anaishi na pisi yake, jamaa ni dokta na pisi yake ni nurse). Me nikamjibu tu kwamba asijali siku akipatikana mwanamke sahihi kwa muda sahihi nitaoa.
Wazazi wangu hawajawahi kuniambia chochote kuhusu kuoa tena, mama ndio huniambia nitulize kiherere cha kuharakia me bado m-little.
Sasa maswali ninayojiuliza kichwani "Hivi ni kigezo kipi cha kuoa? Je, ni kwamba nina vigezo vyote vinavyoonekana ila mimi ndo nafeli au? Au je, ni kwamba ki-Africa kijana ukishakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yako muhimu unapaswa kuoa?
Au umri wangu ni mkubwa vya kutosha (naelekea 23 sasa)? Au ni kwasababu ya wanavyoniona najifanyia zile shughuli zangu kama kupika, kufua na kujioshea vivyombo vyangu? Au wanahofia nitatafuna pisi zao?
Ebu wakuu nishaurini hapa, hawa watu wakirudia tena haya maneno niwajibuje? Au kama ni kweli ni muda wa kufaa kuoa niambieni? Ila kiukweli kabisa najiona bado nauhitaji huu wepesi hadi baada ya kama 5 years + hivi maana nikiwa hivi naona inanifanya niwe mwepesi ku-risk maisha popote nitakapo.
Tiririka chochote chenye tija kunijenga.
Shukrani kwa advice ya nguvu mkuuKwasasa ni bado sana, hujatulia na kujua mishe zako zitakupeleka wapi maana wengi mwanzo hufikiria tutasettle Dar au mahali tulipolelewa ila mishe ya kukutuliza unaweza ikuta ipo Katavi uko. Mke atakupa mzigo mkubwa sana na atakuwa factor kubwa kwenye kufanya maamuzi yako huku akikulimit kwenda to your maximum capacity kwasababu ndoa ni majukumu sio kulalana tu. Jenga maisha yako na zifuate fursa popote pale zilipo maana it's you as you. Hata ukiamua kwenda kuanza upya kokote kule Tanzania au duniani unaflow tu sasa jichanganye uoe sasaivi uone jinsi fursa nyingine utakuwa unaziona zinavyokupita hivihivi kwasababu ya majukumu ya ndoa. Yaani acha na usiwaze kabisaaa, bado mno!
Mhhh 23 bado sana aiseh subili ukue kwanza.Habari wana Jf,
Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa
Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila). Maneno haya yamekuwa yakirudia kila wakti jambo ambalo linaanza kunifanya nione au ni kweli sasa napaswa kuoa.
Tuachane na hilo kuna mpangaji mwenzangu leo kanikuta nafanya zangu viusafi akanimbia "Kaka inabidi uoe sasa" huku anacheka (kiumri jamaa kanizidi na anaishi na pisi yake, jamaa ni dokta na pisi yake ni nurse). Me nikamjibu tu kwamba asijali siku akipatikana mwanamke sahihi kwa muda sahihi nitaoa.
Wazazi wangu hawajawahi kuniambia chochote kuhusu kuoa tena, mama ndio huniambia nitulize kiherere cha kuharakia me bado m-little.
Sasa maswali ninayojiuliza kichwani "Hivi ni kigezo kipi cha kuoa? Je, ni kwamba nina vigezo vyote vinavyoonekana ila mimi ndo nafeli au? Au je, ni kwamba ki-Africa kijana ukishakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yako muhimu unapaswa kuoa?
Au umri wangu ni mkubwa vya kutosha (naelekea 23 sasa)? Au ni kwasababu ya wanavyoniona najifanyia zile shughuli zangu kama kupika, kufua na kujioshea vivyombo vyangu? Au wanahofia nitatafuna pisi zao?
Ebu wakuu nishaurini hapa, hawa watu wakirudia tena haya maneno niwajibuje? Au kama ni kweli ni muda wa kufaa kuoa niambieni? Ila kiukweli kabisa najiona bado nauhitaji huu wepesi hadi baada ya kama 5 years + hivi maana nikiwa hivi naona inanifanya niwe mwepesi ku-risk maisha popote nitakapo.
Tiririka chochote chenye tija kunijenga.
Kaka km una ulaji sahihi namaanisha sehem ya uhakika ya kukuingizia kipato fanya hivyo mi sitofautiani sana na umri na wewe ila wanafamilia wamekua wakinihimiza ilo jambo kila siku cha kushangaza ht ndugu wadogo walio form four na wenye uelewa kidogo utasikia anakuuliza unaoa lini? Wakati ukifika wenyewe unaongea hivyo hizo ni ishara tosha kwamba muda umefika.Habari wana Jf,
Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa [emoji3591] Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa
Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila). Maneno haya yamekuwa yakirudia kila wakti jambo ambalo linaanza kunifanya nione au ni kweli sasa napaswa kuoa.
Tuachane na hilo kuna mpangaji mwenzangu leo kanikuta nafanya zangu viusafi akanimbia "Kaka inabidi uoe sasa" huku anacheka (kiumri jamaa kanizidi na anaishi na pisi yake, jamaa ni dokta na pisi yake ni nurse). Me nikamjibu tu kwamba asijali siku akipatikana mwanamke sahihi kwa muda sahihi nitaoa.
Wazazi wangu hawajawahi kuniambia chochote kuhusu kuoa tena, mama ndio huniambia nitulize kiherere cha kuharakia me bado m-little.
Sasa maswali ninayojiuliza kichwani "Hivi ni kigezo kipi cha kuoa? Je, ni kwamba nina vigezo vyote vinavyoonekana ila mimi ndo nafeli au? Au je, ni kwamba ki-Africa kijana ukishakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yako muhimu unapaswa kuoa?
Au umri wangu ni mkubwa vya kutosha (naelekea 23 sasa)? Au ni kwasababu ya wanavyoniona najifanyia zile shughuli zangu kama kupika, kufua na kujioshea vivyombo vyangu? Au wanahofia nitatafuna pisi zao?
Ebu wakuu nishaurini hapa, hawa watu wakirudia tena haya maneno niwajibuje? Au kama ni kweli ni muda wa kufaa kuoa niambieni? Ila kiukweli kabisa najiona bado nauhitaji huu wepesi hadi baada ya kama 5 years + hivi maana nikiwa hivi naona inanifanya niwe mwepesi ku-risk maisha popote nitakapo.
Tiririka chochote chenye tija kunijenga.
Oa weweChibonge wapi mkuu, kawaida tu ila labda upeo unafanya wahisi me mkubwa maana umri hawaujuiView attachment 2530106
🤜🤛Kaka km una ulaji sahihi namaanisha sehem ya uhakika ya kukuingizia kipato fanya hivyo mi sitofautiani sana na umri na wewe ila wanafamilia wamekua wakinihimiza ilo jambo kila siku cha kushangaza ht ndugu wadogo walio form four na wenye uelewa kidogo utasikia anakuuliza unaoa lini? Wakati ukifika wenyewe unaongea hivyo hizo ni ishara tosha kwamba muda umefika.