Nawajua jamaa wawili maustaadhi Wandengereko wanapiga bodaboda Kariakoo mmoja ana wake wanne mwengine wawili na anasema soon ataongeza.Ndoa za wake wengi kwa dunia ya leo mkongo lazima ahusike
Mkuu ni wewe uliyeandika hivi?Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi.
Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi nchi zenye waislamu wengi hawataki kuoa wake wengi?
Kabla hata hatujafika mbali nipe ushahidi wa hili maana naona ni upotoshaji wa hali ya juu.Lakini pia yakupasa kujua kwamba idadi ya wanawake ulimwenguni ni mara 4 zaidi ya wanaume
Wako sawa, wameona hawawezi kuwafanyia insafu!Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi.
Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi nchi zenye waislamu wengi hawataki kuoa wake wengi?
Mkuu nakuomba sana lete reference nani Saudia na Uturuki amezuia ndoa za kuoa mke zaidi ya mmoja katika Uislamu usinilitee habari za google na Wikipedia, hivi kumbe wewe umekuja na habari hizi kwa sababu ya google search, unaweza kunambia hiyo taarifa uliyosoma google imeekwa nani? Mimi sifanyii kazi kazi habari za google.
Wabongo sasaaa.Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi.
Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi nchi zenye waislamu wengi hawataki kuoa wake wengi?