Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

Apana mm nakataa bana, sio km ulivyo sema km ni joto mbona moshi unatokea nyuma kwann usitokee mbele uje nyuma????? [emoji108]
Kumbuka hata mtu akijamba, moshi hutokea nyuma, inategemeana na mkao pia.
 
vifaa vinavyo paa na kuacha moshi angani wazungu wanasema ni chemtrails .na ndege za masafa marefu ndo uacha moshi according to google lakin tetesi ni kwamba ule moshi tunao uona ule unamadhara makubwa sana kwa afya ya binadamu wanyama na mimea pia huo moshi sio wa kawaida maana una affect mpaka weather ya hiyo sehemu,,,,,,na kwa taarifa zaidi zinasema ule moshi pia unapunguza life expectancy
 
Ule siyo moshi, bali ni mvuke. Mafuta yanapochomwa ndani ya injini hubadilika kuwa joto, linalosababisha hewa inayovutwa kutoka mbele kupanuka na "kulipuka" kwa kutokea kwenye exsozi nyuma huku ikisukuma ndege kwenda mbele. Kuungua kwa mafuta pia hutoa gesi ya Kaboni diokasaidi, na mvuke ambavyo vyote huchanganyika na kutokea kwenye eksozi. Mvuke ule unapokutana na baridi kali chini digrii sifuri huko je huganda mara moja na kuonekana kama moshi.
 
Kumbe hata wewe hukijui?
 
This needs the very cold, very dry air at higher altitudes between 6000m and 12000m. These trails can form condensation cores for humidity already present, so the trail grows over time and stays in place for hours. They are called condensation trails or "contrails

Most aircraft that leave trails aren't leaving smoke. It's condensed water vapour; essentially, clouds. These are called contrails. This can be caused by the water in the engine exhaust condensing, or by the disruption of the air by the passage of the aircraft triggering the condensation of water that was already present.

Natumai itasaidia kidogo.. kwa hiyo ile kitu siyo moshi
 
Asee kuna siku ilipita tukaambiwa eti inaenda kutua uwanjani( kuna shule ya secondary iko mbali kidogo na home!!)eti tukaambiwa tukimbie tukawahi kuona inavyotua asee tulikimbia umbali kama wa kilomita 20 eti yukaione..tulienda ila hakuna hata mmoja alofika maana ilifika sehemu tukawa hatuiioni tena hadi tukarudi kila mtu hoi
 
Tudadavulie basi ile ndege huwa inabeba watu mizigooo au nini na mbona inapita mbali sana
 
Jibu lako ni sahihi zaidi kuliko mengine yaliyotolewa, ule sio moshi bali ni water vapour inayotokana na kuungua kwa hydrocarbons ndani ya combustion chambers za jet engine, jet aircraft karibu zote zinatumia paraffin fuel ambayo ni kerosene ya kawaida tu. Unapounguza hydrocarbon matokeo ni carbondioxide (colourless) and water vapour (visible) hayo ma-exhaust gases ndio yanayoisukuma ndege iende mbele na kwa sababu ya baridi kule juu mvuke unatengeneza mawingu meupe tunayoyaona. Advantage ya jet ni kwamba inaweza kuruka hata kwenye outer space.
 
ule sio
moshi bali ni water vapour
inayotokana na kuungua kwa
hydrocarbons ndani ya
combustion chambers za jet
engine, jet aircraft karibu zote
zinatumia paraffin fuel
ambayo ni kerosene ya
kawaida tu. Unapounguza
hydrocarbon matokeo ni
carbondioxide (colourless)
and water vapour (visible)
hayo ma-exhaust gases ndio
yanayoisukuma ndege iende
mbele na kwa sababu ya baridi
kule juu mvuke unatengeneza
mawingu meupe tunayoyaona.
Advantage ya jet ni kwamba
inaweza kuruka hata kwenye
outer space.
 
ule sio
moshi bali ni water vapour
inayotokana na kuungua kwa
hydrocarbons ndani ya
combustion chambers za jet
engine, jet aircraft karibu zote
zinatumia paraffin fuel
ambayo ni kerosene ya
kawaida tu. Unapounguza
hydrocarbon matokeo ni
carbondioxide (colourless)
and water vapour (visible)
hayo ma-exhaust gases ndio
yanayoisukuma ndege iende
mbele na kwa sababu ya baridi
kule juu mvuke unatengeneza
mawingu meupe tunayoyaona.
Advantage ya jet ni kwamba
inaweza kuruka hata kwenye
outer space.
 
Oh, shukrani mkuu,
Sasa kwanini watumie engine ya jet tuseme ndio madhubuti sana, au ni bei nafuu au hakuna aina ya engine inayoweza kufunction kwa umbali huo?
Hata ndege nyingine zinapita (international air area) Anga ya kimataifa tatizo hauzioni kwa sababu hazitoi moshi
 
Hata ndege nyingine zinapita (international air area) Anga ya kimataifa tatizo hauzioni kwa sababu hazitoi moshi
Internatonal airspaces ni anga z juu za international waters( seas ), juu ya anga la kila nchi duniani ni sehemu ya nchi husika no matter ni juu kiasi gani kwa hiyo hakuna ndege inayoweza/kuruhusiwa kupita hapo bila kibali cha mwenye eneo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…