Halafu Winnie alikuwa mshangazi Kwa mpofu Winnie alimzidi mpofu miaka 26
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu Winnie alikuwa mshangazi Kwa mpofu Winnie alimzidi mpofu miaka 26
Mishangazi kumbe ipo toka enzi na enziHalafu Winnie alikuwa mshangazi Kwa mpofu Winnie alimzidi mpofu miaka 26
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuuuu too
Aisee...Mpaka kufikia kukubali kuwasamehe beers na kukataa kumsamehe winnie basi ndio mjue maumivu ya kuchapiwa ni makali sana
Lakini mbona inasemekana ndoa ilishavunjika tangu Mandela alipokuwa bado kifungoni?
Shida winnie alikuwa anabanjuliwa hovyo
Aliwahi kutoka na kijana mdogo wa ANC kisha akatuma wahuni wamuue kijana huyo kuficha siri
Hili lilimuumiza sana bwana Mandela kuliko hata hilo la mpofu