Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Mambo ya Mathanzua haya...ngoja apite hapa.
It's funny that you are saying mimi ni mtu wa conspiracy theory,I am not,mimi na-present things I am sure about.It seems anything you do not know kwako ni conspiracy theory,that is foolishness.

Anyway,zipo taarifa kwamba Mandelea alifia jela 1987,lakini kwa kuwa walichokuwa wamepanga wafanye through him kilikuwa hakijakamilika,walim-clone, ili agenda yao ikamilike.

Naomba nirudie sijaona taarifa authentic kuhusu hili jambo,it could be true because the technology is there,but it could also be untrue, ni uzushi tu.
 
By my experience ukiwa jela huwezi waza mambo ya ngono. Unaeza kaa mwaka mzima bila kuwaza kuhusu kuchakata wachache ndo hugeuka mamende ishu huwa mbovu wanaposhtukiwa wengi wao huuwawa.
Mamende kivip?
 
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
Vvm ulikuja pm ukapotea kimya kimya
 
Kuwa na mashaka ndo chanzo cha maarifa. Hata mimi niliona kuna walakini kwenye hiyo aya baada ya jamaa kusema Winnie na Mandela wa bandia walilishwa maneno ili wakorofishane, kwanini alishwe maneno huyo Mandela bandia wakati anajua mchezo wote?
Ndo hapo sasa, hilo kipanga uchwaraa lisilo na u spesho wowote, lina hasira na mie, wee lipuuze tyuuh.
 
Huku mtaani kinachozungumzwa siku zote kwa wachimbaji wa mambo ni kuwa yule aloingia siye alotoka jela hivyo ikaonekana kaburu atazusha hasira kali zaidi kwa wananzengo basi wakamuita mama wakazungumza nae aitunze hiyo siri mambo yakaishia hivyo.
 
Back
Top Bottom