Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi

Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela kutoka gerezani, wanachama wa ANC waliokuwa karibu na mandela waliudukua mchezo kama ambavyo walidukua matukio kadhaa ya ulevi wa Winnie

Winnie alikuwa kituko katika kipindi cha miaka miwili baada ya mandela kutoka gerezani. kumfuata kumweleza ukweli
Ilifikiriwa kuwa hatua ya juu sana ya busara kwa wapigania uhuru hao wa ANC

Lakini ulifika wakati ambapo mandela au jamii isingeweza kujidanganya. maelezo kuhusu mapenzi ya Winnie na Mpofu yalifikia sehemu mbaya kiasi cha kuonakana hadharani, nakuandikwa kweye gazeti

Gazeti liliandika barua ya Winnie Mandela kwa Mpofu ikifichua wivu wa wazi kwamba Winnie Mandela alichukia kusikia Mpofu kapata mtoto na mwanamke mwingine

"...Kumbuka ni namna gani kila mara unaniumiza. Naendelea kukueleza kwamba hali ya uhusiano inazidi kuzorota nyumbani wewe haujali sababu umeridhika na huyo mwanamke.
mimi si mpuuzi Dali"

Si hivyo tu. Mandela alivumilia mateso ya unyumba kupita kiasi. Kisa kimoja kilichomuumiza sana kilihusu safari. Winnie alikuwa amepata mwaliko wa kwenda marekani kwa ajili ya shughuli za ANC. alitaka kwenda na Mpofu lakini Mandela alimkatalia.

Winnie alikubali kutosafiri naye.ikaaminika Winnie ameondoka mwenyewe nchini lakini Mandela alipomgia simu Winnie kwenye hoteli aliyokuwa amefikia New York, aliyepokea na kujibu alikuwa Mpofu ikiwa na maana alikuwa amesafiri naye. mandela alikuwa mwanamume aliyefanyiwa uzinifu wa kutisha sana.

Mandela anakaririwa akisema hakuwahi kumtarajia Winnie kuwa mseja wakati alipokuwa gerezani lakini alimtaka awe msiri. pia hakukubali kabisa aendeleze uhusiana na wapenzi wake wa nje baada ya yeye kuachiwa gerezani

Mwisho.Tuishi nao kwa akili💔😥

Tabu ilikuwa kuchapiwa haikuwa siri ya ndani.
 
Wewe jamaa mpuuzi sana

Ina maana kitu kama wewe hauna imani nacho kinakuwa cha uongo.
Kuwa na mashaka ndo chanzo cha maarifa. Hata mimi niliona kuna walakini kwenye hiyo aya baada ya jamaa kusema Winnie na Mandela wa bandia walilishwa maneno ili wakorofishane, kwanini alishwe maneno huyo Mandela bandia wakati anajua mchezo wote?
 
Hawa viumbe wa kike walishandikana toka enzi za Adam na Hawa,na ndo maana Mtume Paulo kaja kutuusis sisi wanaume tuishi nao kwa akili.
 
Kati ya wanaume wa winnie dali mpofu ndo alikuwa kinara , hata barua iliyodakwa na mzee mandela na iliyosababisha divorce ilikuwa ya winnie kwenda kwa dali,akimlaumu dali kwa kutomjali ilhali anajua kuwa. Hakuna mahusiano mazuri na mzee mandela
Wiinie alikuwa akimhonga dali expesive trips and vacations. Zikiiwemo concord trips kwa kutumia fedha za Anc
Basi winnie alikamatika kisawa sawa kwa bw dali mpofu
 
Winnie katuwakilisha vyema. Sisi ndio tuliongea na nyoka (“Shetani”) live.
Mlijua tulijadiliana nini?
 
Kuna nadharia kama Mbili tulizisoma wakati tunasoma the history of South Africa HI 271 Chini ya usimamizi WA Mr Frank PhD



From reading Kwanini Mandela alishindwa kupatana na Winnie Mandela ni kwamba wakati Mandela akiwa jela winnie alishirikiana na wanaharati wengine kutumia radical ways kupambana na serekali ya makaburu Kwa kiasi kikubwa hizi njia zilifanikiwa kuwalazimisha Boers kukubali Mandela aachiliwe....

SASA Mandela aliye ingia jela na Mandela aliyetoka jela walikuwa watu wawili tofauti kimtazamo juu ya best approach ya kuleta majority rule in South Africa huyu aliyetoka hakutaka kabisa radical ways au violent ways katika kuendeleza mapambano badala yake alihubiri Amani na umoja na ushirikiano baina ya blacks na Boers kitu ambacho kilimdis appoint saana Winnie Mandela pamoja na wengine wote waliompambania Mandela atoke jela na Uhuru WA watu wengi WA South Africa.... From there zikaanza doubt kwamba huenda huyu sio Mandela Yule aliye ingia jela....kwann abadilike gafla hivi kimtazamo?? Kuna time baadhi ya wanaharakati walimuona Mandela Kama puppet WA white kutokana na huo mtazamo....

Ilifikia hatua tofauti ya kimtazamo WA namna ya kupambana na Boers ilikuwa kubwa kutaka kuigawa ANC Kati ya radicals na wale wenye mismamo WA wastani.... Kutokana na ushawishi mkubwa WA Mandela na Ile public image aliyokuwa amejengewa Mandela na blacks in South Africa as well as support from whites basi mtazamo WA Mandela ukashinda....


Secondly kuna theories zinasema Mandela alikufa gerezani kutokana na kazi ngumu na pia kuumwa so far ilikuwa Siri kubwa kwao Kwani kuna kipindi wasouth Africa waliamua liwalo na liwe walikuwa wakorofi mnoo waliharibu miundombinu na kila kitu cha white ikafikia hatua the only way ya kuwastop ni kumtoa Mandela... Inasemeka SASA Mandela keshakufa na wananchi hawaelewi huko kitaa wameliamsha the only way ni kutafufa Mandela fake..... Na aje kuaatuliza wasouth...MTU pekeee anayeweza kumgundua na kuthibitisha zaidi ni winnie Kwa sababu anamjua Inn and out... Kwa hiyo ukatengenezwa mchoro WA hawa watu wasipatane akitoka jela...ndio Mandela akalishwa maneno as well as Winnie akalishwa maneno...

Mpango ukatiki....
Huu uongo muwe mnaacha huko Facebook
 
By my experience ukiwa jela huwezi waza mambo ya ngono. Unaeza kaa mwaka mzima bila kuwaza kuhusu kuchakata wachache ndo hugeuka mamende ishu huwa mbovu wanaposhtukiwa wengi wao huuwawa.
 
Back
Top Bottom