Mpaka kufikia kukubali kuwasamehe beers na kukataa kumsamehe winnie basi ndio mjue maumivu ya kuchapiwa ni makali sana
Lakini mbona inasemekana ndoa ilishavunjika tangu Mandela alipokuwa bado kifungoni?
Shida winnie alikuwa anabanjuliwa hovyo
Aliwahi kutoka na kijana mdogo wa ANC kisha akatuma wahuni wamuue kijana huyo kuficha siri
Hili lilimuumiza sana bwana Mandela kuliko hata hilo la mpofu