Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Kabla hatujafika mbali mleta Uzi kwanza Ulishaona Meno ya Nguruwe Vizuri πŸ€”
 
Mbona kuna ng'ombe wa maziwa, kwanini watu wasifuge nguruwe wa maziwa.
 
... jamaa wanavyopenda kuwakera KOBAZI si muda mrefu utasikia wanauza mtindi wa ndudu!
YAANI UMEISHAWAPA BUSINESS IDEA!
πŸ˜…
 
Maziwa yapo sema demand ndo ndogo. Mara kadhaa walevi wanaotaka kuacha pombe wamekuwa wakipewa haya maziwa.πŸ˜…

Ladha yaka haina utofauti sana na ng'ombe sema yenyewe yana maji kwa wingi na nimazuri sana kwa namna yake ukiandaliwa huwezi tofautisha na ya ng'ombe.

Na ni fursa pia kwa wale ambao wana allergy ya maziwa ya ng'ombe.
 
Anazaa watoto wengi , ukikamua ,vitoto vitapata wapi maziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…