Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Dah! Umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo za utoto tulikuwa tunakusanyika tunatengeneza mduara halafu mmoja anakaa katikati kuimbisha:
Nyama nyama nyamaaa,? nasi tuliozmzunguka tunaitika NYAMAAA.
Anaendelea lakini kwa haraka: Ya ng'ombeee?; tunaitika NYAMAAA
Ya mbuziiii? - tunaitika NYAMAAAA
Ya Fisiiii? - m;m;m hakuna anayeitika.
Ya kuku? - NYAMAAA
Ya mbwaaa? - a' m'm'
 
Maziwa ya nguruwe ni tiba nzuri sana dhidi ya nguvu zankishirikina lakini pia kupatikana kwake ndio mtihani kwa sababu mengi hutumiwa na watoto wake kunyonya hadi hayatoshi , kuyapata hadi nguruwe awe amezaa halafu watoto mtafute namna ya kuwa feed.

Na hata cheese za maziwa ya nguruwe ni miongoni mwa cheeze ghali kama ilivyo kwa maziwa ya farasi au punda
 
Basi tu, ni mazoea yetu! Majibu uliyopewa mengi yanaelezea hali halisi, NGURUWE anazaa watoto wengi ambao wanahitaji sana maziwa ya mama yao.

Hakuna maziwa ya ziada, muda wa kunyonya watoto wake wanyonye na wapate maziwa.

Lkn pia jamii yetu haijazoea kunywa maziwa ya nguruwe kama ilivyo ya kondoo/ Mbuzi/punda/ kwa nadra sna kondoo na mbuzi yananyweka.

Maziwa ya nguruwe kama utafanikiwa kuyakamua basi utakuwa umepata LISHE moja bora sana, kama ilivyo kwa baadhi ya makabila WABABA wanaonyonya .maziwa ya wake zao WANAONYONYESHA.
 
Nanukuu: "Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu? kama ni ndiyo kwanini nyama yake inaliwa?"
Umeuliza maswali 3:-
1.Kwa nini nguruwe hakamuliwi maziwa kama ng'ombe?
Jibu: Hatuna sababu ya kumkamua kwani hatuna hitajio la maziwa yake.
2.Je, maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu?
Jibu: Athari chanya i.e. +ve effects unajipatia nutrients mwilini mwako na Afya yako itaimarika. Athari hasi i.e. -ve effects Hakuna.
3.Kwa nini nyama yake inaliwa? Nimejibu hapo Na.2 kwamba maziwa yake hayana Athari zozote -ve. Kwa hiyo nyama pia haina shida. Hata Serikali imeridhia uliwaji wake au ww hujaona mizoga(carcass)imegongwa mhuri wa Govt. Inspected carcass?
 
Hii inaweza kuwa fursa
Ngoja tumpe mchongo mzee wa "manguruwe"😂
 
Nyama ya nguruwe inayo athari japo athari yake sio ya haraka.
Japo maziwa sijajua ngojea tufuatilie.
 
Nyama ya nguruwe inayo athari japo athari yake sio ya haraka.
Japo maziwa sijajua ngojea tufuatilie.
Nyama ya nguruwe haina athari yoyote ikipikwa na kuiva sawasawa. Sio kuchoma au kuroast. Ipikwe kwanza kwa kuchemshwa halafu ndipo utaratibu mwingine wa mapishi uendelee.
 
Ngiruwe n8 haramu kuanzia nyama,supu,maziwa
 
Nyama ya nguruwe haina athari yoyote ikipikwa na kuiva sawasawa. Sio kuchoma au kuroast. Ipikwe kwanza kwa kuchemshwa halafu ndipo utaratibu mwingine wa mapishi uendelee.
Ndivyo mnavyokariri na kujidanganya mkuu!?
 
We ndo mwenye akili fupi,kwa sababu tayari una sababu zako kwenye hilo fuvu lako
 
hujazuiwa, we nenda kamkamue tu uyachemshe unywe. au?
 
Kuna mtu atasema siri ambayo wazungu hawataki tujue ni maziwa ya nguruwe yanaongeza nguvu za kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…