Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Ungeuliza nina maana gani kusema JK alinywea,wewe unaongelea issues za DRC nani kaandika habari hizo?

PK na M7 ni kweli ni majasusi wa USA,do you know what it takes 2b that?

Je unajua kuwa PK alishamtamkia JK kuwa angemshughulikia na JK hakusubutu kumbuguzi PK?

Soma na fanya tafiti utamjua PK,namuongelea PK kama PK sio habari za majeshi yetu yasiyo na meno,kucha kuvunja matofali wakati watu wanapigana kiakili na tech
 

unajua kilichotokea baada ya hiyo kauli ya PK
"I will hit you" kumbuka JK alikuwa kiongozi wa dola halafu unamwambia "I will hit you"....tafuta taarifa utaelewa baada ya hiyo kauli...

PK ni kibaraka tu wa USA kama vinabaraka wengine....USA wanamtumia kwa maslahi yao DRC...hata RPF wako kule msumbiji kuendeleza yaleyale ya ukibaraka..

Kipi ambacho PK amefanya kinachotuthibitishia ni jasusi wakuogopwa?...Kipi ambacho RPF wamefanya kinachoweza kutuambia ni jeshi imara....lete taarifa..
 
Ubora? Labda kwa idadi ga askari lakini sio ubora

Jeshi makomandoo wake wanateswa na makachero km watt na JWTZ liko kimya!

Unajua PK ndie alieliongoza jeshi letu kumtoa Idd Amin?

Au mlidanganywa kuwa ni Mayunga?

PK ni extreme fighter sio level yetu mkuu
 
Kagame atulie tu, na hapo hatujawatoa kina Kingai, Mahita, Jumanne.
 
Awezi kuwa na dharau anatuheshimu sana sisi ndo baba yao bila sisi yy na museveni wasingekuwa pale leo wanatujua vzr mziki wetu...
 

We jamaa bwana...

PK na M7 na waganda wengine walikuwa ni waasi wa Uganda waliohifadhifa Tanzania... kwenye operation wanatumika kama informer na addition force kusaidia kumtoa Amin...

Kwa taarifa yako, PK kipindi kile na M7 walikuwa baado saaana kwenye hizo mambo zaidi ya kuwa ndio wanagain experience... Jeshi la Tanzania zama zile lilikuwa na wabobezi kuanzia kwenye mapigano na intelenjia ~ NI KICHEKESHO NA UJINGA KUSEMA HAYO UNAYOSEMA NA UNAJIVUA KUONEKANA HUNA UNALOJUA NA BADO NI MTOTO...
 
Ok...PK ni kibaraka wa US..kweli.

Ila nimekuuliza swali jepesi tu kuwa unajua ni sifa gani unatakiwa kuwa nazo ili uwe kibaraka wa US? Au unafikiri kuwa kibaraka wa US ni kwa yyte tu?

Kumbuka Rwanda haina rasilimali za kuivutia US,kibaraka ni km kuwa agent au muwakilishi ivyo kuwa agent wa nchi yenye jeshi bora kuliko yote duniani siyo issue ya kitoto. Kuwa kibaraka wa US leo hii ni credit sana kuliko zama za ujamaa.
JK na JPM hawakuwahi kumdharau PK ata siku moja...they knew him
 
Unaweza kutuwekea ushahidi mkuu?
Unajua masharti ya waJapan baada ya Magu kuwazingua Konoike akiwa waziri wa ujenzi barabara ya manyoni?huyo jamaa yenu alikuwa muaribifu sana tukubaliane ilo...
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Acha kusumbuka na PK, huko kwake tu amekalia kutu kavu katika hii miaka mitano kuna jambo litatokea huko.
 
You can imagine DRC ni mara mbili na nusu ya Tanzania. Ni nchi kubwa kweli kweli.
 
Acha uongo ww hapo kwenye maJenerali nakaataa kuna Majenerali wengi tuu wamepigana vitu mfano Mwakibolwa,Masao,Samweli,Shimbo,na wengine kibao tuu uyo kagame hamna kitu.
 
Asante!
 
Hawa wanajeshi wetu ndio walimnyoosha kule DRC walipokuwa wakiwachapa M23 ,
 
Ujinga ninkutokuwa na info za kutosha.

PK kaanza vita akiwa kijana mdogo sana na alishiriki vita ya Uganda mstari wa mbele kabisa km kiongozi wala sio informer,umepotoshwa..soma!

PK ndie aliemfurusha Idd Amin ndipo akina Mayunga wakafuata..soma!

M7 alipoingia madarakani alimpa cheo PK cha kusimamia na kulinoa jeshi la Uganda...soma!

Baadae PK alirudi msituni kuikomboa Rwanda chini ya utawala wa wahutu...soma!

Hakuna vita PK aliwahi kushindwa,ndje jasusi bora kabisa kuwahi tokea kusini mwa sahara...US wanajua,Nyerere,JK,JPM hawa wote na ubabe wao kwa 'slim' hawakuwahi kumchokoza
 
Ujinga ninkutokuwa na info za kutosha.

PK kaanza vita akiwa kijana mdogo sana na alishiriki vita ya Uganda mstari wa mbele kabisa km kiongozi wala sio informer,umepotoshwa..soma!

PK ndie aliemfurusha Idd Amin ndipo akina Mayunga wakafuata..soma!

M7 alipoingia madarakani alimpa cheo PK cha kusimamia na kulinoa jeshi la Uganda...soma!

Baadae PK alirudi msituni kuikomboa Rwanda chini ya utawala wa wahutu...soma!

Hakuna vita PK aliwahi kushindwa,ndje jasusi bora kabisa kuwahi tokea kusini mwa sahara...US wanajua,Nyerere,JK,JPM hawa wote na ubabe wao kwa 'slim' hawakuwahi kumchokoza
Wewe una taarifa sahihi sana za PK.

Jeshi letu lina idadi kubwa ya wanajeshi lakini halina ubora wowote ukilinganisha na la Rwanda.

PK ni level nyingine kabisa acha atudharau km makomandoo wetu wanapigwa vibao na askari polisi hakuna namna,dharau lazima
 
Acha utoto
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Zama hizi sio za kupeleka mwanajeshi vitani na maturubai, beleshi, magogo, na mafurushi yote yale.
 
Alikuwa anashangaa ilikuwaje wakamruhusu yule mtu aondoke

Hata mie ningewaalia hivyo hivyo
 
Hivi upuuzi kama huu mnautolea kwenye vijiwe gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…