Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Ungeuliza nina maana gani kusema JK alinywea,wewe unaongelea issues za DRC nani kaandika habari hizo?PAKA mnamuoverate sana....mpaka sasa huwezi kulisifia jeshi la Rwanda aka RPF kama jeshi lenye nguvu maana halijawahi kupigana vita yeyote na jeshi lolote ambalo ni well organised..
Mobutu hakutolewa madarakani na Paka kama mnavyotaka kujiaminisha humu, Mobutu alitolewa madarakani na allied force baada ya watu kumchoka Mobutu, jeshi la Mobutu halikuwa na morali ya kupigana maana tayari lilikuwa limegawanyika kifupi kulikuwa na uasi ndani ya jeshi na miongoni mwa raia wa DRC dhidi ya Mobutu..
Desire Kabila aliishi Dar es salaam na harakati zake kuziendeshea hapa mpaka anakwenda ikulu kinshasa alitokea Dar es salaam, hapo ndio utajua role ya Tanzania kumtoa Mobutu..
RPF mpaka sasa miaka yote huwa wanapigana na vikundi vya wanamgambo kule DRC, RPF na Paka, Updf na M7 wote ni vibaraka wa USA kulinda maslahi ya USA na mabeberu pale DRC...ndio maana huwezi kusikia lolote juu ya Paka wala M7 kutoka USA hata wafanye nini...
RPF pia wako Msumbiji kupigana na wanamgambo pamoja na kulinda maslahi ya beberu Mfaransa na kampuni yake ya Total kule Msumbiji (hili wengi hamlijui)....
Kifupi RPF ni kundi kama kundi la wanamgambo wengine unaowasikia, aka wahuni tu ambao wako msituni DRC kulinda maslahi ya USA na wakati huo huo kuijenga Rwanda kupitia rasimali za DRC....
Unaposema JK alinywea utakuwa unajifurahisha tu, na unaonekana huyajui mengi kuhusiana na ule mgogoro na ule mgogoro ulipoishia, sidhani kama leo hii ungemsikia huyu kiumbe kama sio busara za watu, kuanzia kule DRC,Kijana wake Sultan Makenga wa M23 anajua busara gani ilitumika baada ya kushukia kivu na kurudi nyumbani ni busara tu, Mengine bila shaka utayasikia mtaani huko anyway KIGALI SIO MBALI kutokea Rusumo, wazee wa kaboya wanaweza kwenda usiku mmoja tu pale...
Kwa msioijua DRC, DRC ni linchi likubwa sana ambalo serikali iko Kinshasa, Kisangani, lubumbashi na huko kwingine, Goma, Kivu zote, Beni nk ni kama hakuna serikali na unaweza kuingia msituni na kuanzisha uasi tu....Utawala kwa nchi ya DRC umekuwa mgumu kutokana na ukubwa wa nchi hivyo baadhi ya maeneo ni kama hakuna serikali...mpaka sasa hata mishahara kwa jeshi la DRC imekuwa issue..
PK na M7 ni kweli ni majasusi wa USA,do you know what it takes 2b that?
Je unajua kuwa PK alishamtamkia JK kuwa angemshughulikia na JK hakusubutu kumbuguzi PK?
Soma na fanya tafiti utamjua PK,namuongelea PK kama PK sio habari za majeshi yetu yasiyo na meno,kucha kuvunja matofali wakati watu wanapigana kiakili na tech