Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?


jipe muda wa kujielimisha na kuchimba....siasa ya dunia inataka ufuatili sana na ujue sana historia za mambo....yapo mengi kuliko hayo...
 
Mnamuonea sana jirani na ndugu yetu Kagame........

Tanzania ni "shock absorber" ya matatizo ya maziwa makuu....

Hapa ni nyumbani kwao.....ni mtoto wa Tanzania.....

Siempre JMT
 
Mh! Waganda wapi hao unawa-refer ndugu? Waganda hawa waliomwita Museveni makalio ndo unawasemea au waganda wengine? Pengine nimesoma vibaya.
Umesoma vibaya.. lengo la komenti ni kwmaba wabongo hupenda kumpraise sana kagame na rwanda
 
Kama kuna mtu ana wasiwasi na vikosi vya jamhuri afanye kwa vitendo. Maharamia wanalipa pesa mingi kuvushwa boda.
 
Bado ni upuuzi kufananisha jeshi la Rwanda na Tanzania. Hata awe amesoma wapi! Hayo majeshi ya Uganda na Congo DRC na magaidi wa Mozambique hayapo organized. Kuna ukabila,umaskini hayalipwi mishahara na matatizo kibao! Zaidi Kagame ni kibaraka wa makampuni ya wazungu! Wanamtumia kufanya machafuko Congo DRC na hata Mozambique ametumwa kulinda makampuni ya Ufaransa.

Pia hauwezi kuangalia uwezo wa jeshi la nchi kwenye gwaride na kutathimini uwezo wake. Ni mpuuzi tu anayeweza kufanya hivyo. Alimchokoza Kikwete akamfurumuaha kule Congo,kulinda amani ilikuwa gia tu. Na Kikwete angeendelea kuwepo madarakani Kagame asingedumu kwenye urais. Alijifanya kuzira kutumia bandari ya Dar akatumia bandari ya Mombasa mwisho wa siku akaomba yaishe baada ya kuingia gharama kubwa za kusafirsiha kupitia Kenya. So anaweza akapigwa kiuchumi kabla ya kijeshi.
 
PK anauguza kansa ya ubongo!inawezekana ipo katika secondary stage na anaona marue rue kibao hadi anajichekea bila sababu!!!
 
jipe muda wa kujielimisha na kuchimba....siasa ya dunia inataka ufuatili sana na ujue sana historia za mambo....yapo mengi kuliko hayo...
Yap,tukianzia kuyasema tunayoyanjua kwanza huku tukiyaendea ambayo hatujayajua. Nadhani kwa kufanya hivyo ndo kujifunza kwenyewe.
 
Ila kwa kweli sikujua hasa shabaha ya waliotaka kuonesha vifaa vya kijeshi! Kama ni kuonesha tuna 'vifaa' wamefeli sana. Vingi ni obsolete na hata vimesahauliwa (Mig 21). Badali yake, imetoa picha kuwa hata makamanda wakuu wa jeshi letu hawajui maendeleo makubwa yaliyopo katika zana za kijeshi. Afadhali wangeficha aibu na kuleta kile tunachofanya vizuri zaidi tu: muziki.
Uhuru wetu hatukuupata kwa vita, wala hatuna vita hivi sasa au hatari ya karibu, kwa nini ikawa lazima kuonesha vifaa vya kijeshi kama 'maendeleo ya miaka 60?' hasa ukijua kuwa hatutengenezi chochote katika hivyo! Beats me.
 
Mtu pekee anaeweza kumu outsmart PK ni JK na mimi tu,, huyu jamaa tayari ana Blackhawk attack helcopters, na hii ni tabu kweli kweli,, inabidi angalau nasisi tutafute HIND..
In order to outsmart that guy, you must think like him,,, he is very smart
Rwanda ni mkoa wetu tu. Tukiutaka, tunauchukua. Kama Russia alivyo annex Crimea.
 
Kwa hiyo Jeshi la watanzania makabila 120 liwe la kabila moja tu?!? Unatuongelea hisia tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…