wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Mi mnyonge nitaishia kumroga tu kupitia kwa Juma njemba.Omba fiendly ujiridhishe uboya wake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mnyonge nitaishia kumroga tu kupitia kwa Juma njemba.Omba fiendly ujiridhishe uboya wake...
Kagame ni general aliyechukua mafunzo ya juu kabisa kwenye chuo cha maofisa wa kijeshi USA Cha General Staff Colldege kilichopo Fort Leavenworth,Kansas. Ni jasusi aliyeiva kwelikweli.
Jeshi lake ni dogo lakini ni jeshi lililo imara na limekuwa tested kwenye trenches katika operations mbalimbali. Mobutu ameondolewa na Kagame via Laurent Desire Kabila hilo halina ubishi. Ameivuruga Kongo anavyotaka.amepimana msuri na Kaguta Mseveni ndani ya Kongo pale Kisangani miaka ya mwanzoni mwa 2000 na akamuonesha show ya kibabe. Na hawa wawili wote ni wafugaji,wamesoma wote na pia wamefanya harakati za mapambano wote.
Ripoti ya CIA inasema mataifa makubwa ya Zimbabwe na Angola yaliopogundua jeshi la Rwanda taifa dogo kuidhibiti Kongo na kuchuma mali,nao wakatuma majeshi yao Kongo kwa lugha ya kulinda amani Ila lengo ilikuwa kuidhibiti Rwanda na kuipunguzia ushawishi kwenye kanda ya maziwa makuu. Huyo ndo Kagame. Lakini wapi mda huu tukijadili haya jeshi la Kagame lipo Msumbiji likiwafyeka magaidi.
So kuliangalia jeshi letu kwa dharau yuko sahihi ,hapa kwetu tuna majenerali wanastaafu hawajawahi kuwa tested kwenye mapambano. Kazi kupasua matofali only for domestic intimidation kwa wapinzani wa CCM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kawaida tu mkuu maana hata tumbo ndio hua linajamba lkn matako ndio yanasingiziwa wkt ukweli yenyewe Ni spika tu.
Umesoma vibaya.. lengo la komenti ni kwmaba wabongo hupenda kumpraise sana kagame na rwandaMh! Waganda wapi hao unawa-refer ndugu? Waganda hawa waliomwita Museveni makalio ndo unawasemea au waganda wengine? Pengine nimesoma vibaya.
Mtwangio wangu ndiyo unawasha nifanyie ihsani kwenye hicho kinu chakoYeye kwanini hakuipotezea ya kagame au na wewe unanipangia cha kupost?
Mwenyewe kaelewa unawashwa nini?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kagame ni general aliyechukua mafunzo ya juu kabisa kwenye chuo cha maofisa wa kijeshi USA Cha General Staff Colldege kilichopo Fort Leavenworth,Kansas. Ni jasusi aliyeiva kwelikweli.
Jeshi lake ni dogo lakini ni jeshi lililo imara na limekuwa tested kwenye trenches katika operations mbalimbali. Mobutu ameondolewa na Kagame via Laurent Desire Kabila hilo halina ubishi. Ameivuruga Kongo anavyotaka.amepimana msuri na Kaguta Mseveni ndani ya Kongo pale Kisangani miaka ya mwanzoni mwa 2000 na akamuonesha show ya kibabe. Na hawa wawili wote ni wafugaji,wamesoma wote na pia wamefanya harakati za mapambano wote.
Ripoti ya CIA inasema mataifa makubwa ya Zimbabwe na Angola yaliopogundua jeshi la Rwanda taifa dogo kuidhibiti Kongo na kuchuma mali,nao wakatuma majeshi yao Kongo kwa lugha ya kulinda amani Ila lengo ilikuwa kuidhibiti Rwanda na kuipunguzia ushawishi kwenye kanda ya maziwa makuu. Huyo ndo Kagame. Lakini wapi mda huu tukijadili haya jeshi la Kagame lipo Msumbiji likiwafyeka magaidi.
So kuliangalia jeshi letu kwa dharau yuko sahihi ,hapa kwetu tuna majenerali wanastaafu hawajawahi kuwa tested kwenye mapambano. Kazi kupasua matofali only for domestic intimidation kwa wapinzani wa CCM.
Ndio. "Anaupigwa" mwingi MDOMO.Amegundua mama anaupigwa mwingi
Yap,tukianzia kuyasema tunayoyanjua kwanza huku tukiyaendea ambayo hatujayajua. Nadhani kwa kufanya hivyo ndo kujifunza kwenyewe.jipe muda wa kujielimisha na kuchimba....siasa ya dunia inataka ufuatili sana na ujue sana historia za mambo....yapo mengi kuliko hayo...
Kwa hiyo wale special force wetu si wakakamavu ?!!!😳😳Lazima atudharau, Taifa kubwa halina askari shupavu na wabunifu, dhana za mkoloni.
Ingia youtube uone vijana wa PK walivyo wakakamavu.
Nchi hii kila kitu utopolo tu
Rwanda ni mkoa wetu tu. Tukiutaka, tunauchukua. Kama Russia alivyo annex Crimea.Mtu pekee anaeweza kumu outsmart PK ni JK na mimi tu,, huyu jamaa tayari ana Blackhawk attack helcopters, na hii ni tabu kweli kweli,, inabidi angalau nasisi tutafute HIND..
In order to outsmart that guy, you must think like him,,, he is very smart
Ni wakakamavu Sana tu, tatizo wakina Kingai,Mahita baada ya kufanya Yao wamefanya watu wawachukulie poa.Kwa hiyo wale special force wetu si wakakamavu ?!!!😳😳
Kwa hiyo Jeshi la watanzania makabila 120 liwe la kabila moja tu?!? Unatuongelea hisia tu......Ameona kitambo sana!! wenye jeshi lao kwa Asili wamewekwa kando sasa wamejaa wazaramo tupu! waosha kucha! .....kagame anajua bana ile zamani ile!!..wkt anaitafuta Rwanda kwa hali na mali, alikuwa na yare machamaa yare! yanaweza kusonga mbere bira buti ra fiatu.....
yare kwakweri jeshi ilikuwa Damuni! na nidhamu hasa! yakisema mbere ni mbere hayatanii! yarikomboa bara ra afirika yoote!! na huko yariacha matoto!! km zimbabwe mwee!! yaani yare ni mura kabisa! sasa bongo ya reo yamefitinika!! yamewekwa kando!
kagame anayakubali sana!! km wewe ni Mkurya nenda Rwanda jeshini!! unaanza na Sajenti hakuna kuruta mkurya kule!! hii ni siri nawapa! kina Muraaa! waree tu wanao penda jeshi!
Na anajiandaa kuimeza UkraineRwanda ni mkoa wetu tu. Tukiutaka, tunauchukua. Kama Russia alivyo annex Crimea.