Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Aliokwambia kwamba katoswa ni nani,kwani serikali ya awamu ya sita imeundwa?
 
Aonyeshe vyeti kwanza!!...
 
Makonda aachwe aendelee na majukumu mapya kama alivyopost siku chache nyuma.
Akiwa sanjari na mwanae Keagan
 
Kombora la mwaka 2017 la Askofu Josephat Gwajima kwa Paul Makonda

 
Ya 6 duh! na ataefuata atakuwa awamu yangapi bro?
2025 ndo awamu ya sita itaingia, kwa sasa tumemaliza mhula was Kwanza awamu ya tano then baada ya uchaguzi huu October utaingia mhula w pili awamu ya tano.
 
Katambi akikaa kimya ni bonge la jasusi ila akiongea tu unamvua huo u afisa wake
Nakwambia jamaa katuma kitu hatari kwenye mitandao Shinyanga kumechafuka! Kimegoma tu kuwekwa hapa ningeweka watu wajisikilizie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…