Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
 
Kwa PolePole kupewa ubalozi Ilikuwa sawa na kumchukua demu wa Buza changanyikeni ukampeleka akaishi geti Kali Msasani
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Utawala wa magufuli ulikuwa na uhuni ila ulikuwa na utawala bora ila utawala wa sasa unauhuni uhuni uhuni watu wanaendesha inchi kama night club hatujui nani mfanya mfanya maamuzi w nchi imegezwa gheto magu aliheshimisha serikali
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
kujihudhuru kwa Slow slow kunahusianaje na Chadema?.
ama unaumia waovu wanapojitenga na Uovu?.
 
Wakati uliokubalika ni sasa na siyo jana au kesho...

Naona umeshituka sana kujiuzulu kwa haka kajamaa...

Na kwenye barua yake katumia maneno makali na yenye shutuma za moja kwa moja kwa Rais na Mwenyekiti wake wa chama aliyemteua kuwa balozi huko...

Jamaa kamwambia kwa uwazi pasipo kupepesa macho kuwa; "...Siwezi kuwa sehemu ya uongozi ulioshindwa na kutojali taratibu, sheria na katiba..."

Kwa maneno haya, jamaa kaamua kumtolea uvivu Chura Kiziwi 100% pasipo kuogopa lolote..!

There's something going behind the scene...
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
NChi inapitia kipindi kibaya sana ambacho hakijawahi Kushuhudiwa.

Hivo Kwa Polepole, japo alikuwepo wakati wa Magufuli, Kwa wakati huuu tuliopo, TUMPONGEZE SANAA SANA.
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Unajuaje iwapo kaahidiwa kuwa Mtwawala wa kizimkazi ilipo cage ya simba mtukutu?
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Huyu mwanachama wa chaputa alikamatwa na mafuta mengi sana ya mgando na KY jelly,huyu na P Diddy hawana tofauti, ameandika kivitisho akijua anaweza pata viti maalumu,aje nchini abwabwaje tutamjibu kwa hoja zipo nyingi na ushahidi

Amuulize Dr Slaa kwa nn ametulia,suala la wahuni katika chama ni agenda yangu kwenye vikao vijavyo

Waadilifu kwa chama na taifa wapo kina Lukuvi,Kabudi,Kibajaji,Manri,Wasira,Pinda,Jaffo,Makonda, Sabaya jr( naona amekomaa),Majaliwa,Mpango, na wengine wengi. Wamepikwa wakapikika

Kuna haja ya kufuatilia uadilifu wa mtu kabla ya kumpa mamlaka hata kama ana popularity ipi,mbona Mseveni kaweza kwa Besigye,Kagame pia,Putin,Kiduku na Traore nchi zinasonga mbele kwa uchumi mibwabwajo hakuna

Bora kuwa na kundi dogo linalokutii kuliko kuzungukwa na wachumia tumbo
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
mkalati wake wa kuleta dawa za vitligo umefeli
 
Back
Top Bottom