Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

Kwa PolePole kupewa ubalozi Ilikuwa sawa na kumchukua demu wa Buza changanyikeni ukampeleka akaishi geti Kali Msasani
Unajua sijafika Buza nataka kuja kufika nipaone niwajliza je kweli nyie wanawake hamuwezi kukaaaa geti kali?
 
..ni tapeli tu kama Matapeli wengine ndani ya CCM..CDM wawe makini , ni kutaka kuharibu MOVEMENT ya No reforms....ASHiNDWE!
 
Ana hoja dhaifu magufuli aliminya upizani kuliko rais yeyote afrika na hakujiuzuru, huyo polepole hana jipya jlkashaona hakubaliki round hii
 
Chadema akili zao ndogo Kama ilivyo ccm.

Huyu jamaa ambaye alikuwa anafanya maovu makubwa dhidi ya hao chadema Leo eti wanamuona shujaa
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Kwa taarifa yako hakuna mwanacdm asiyejua mchango na madhila ya Polepole aliyoleta cdm na upinzani kwa ujumla hapa nchini. Ukiona wanacdm wanasifia alichofanya Polepole sasa, sio kwamba hawajui upuuzi wake, bali wanachochea moto uwake huko ccm.
 
Chadema akili zao ndogo Kama ilivyo ccm.

Huyu jamaa ambaye alikuwa anafanya maovu makubwa dhidi ya hao chadema Leo eti wanamuona shujaa
Wapi cdm wanamuona huyo mpuuzi ni shujaa? Kama Magufuli na kusifiwa kwake hatukumuona shujaa, ndio tutamuona huyo condom ni shujaa kwa kutumika na Magufuli kuumiza wapinzani? Ama unadhani tunasahau kwa kiwango hicho? Hapa tunachochea moto, sio kumuona shujaa huyo ngozi iliyombana?
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Amejiuzulu kwa sababu zake binafsi wala siyo kwa ajili ya nchi wala wananchi
Safari hii nyumbani kwake kunaungua
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Hayo hayatuhusu ilimradi tunachosema amekithibitisha mwanaCCM mwenzenu kwetu poa tu.
 
Wapi cdm wanamuona huyo mpuuzi ni shujaa? Kama Magufuli na kusifiwa kwake hatukumuona shujaa, ndio tutamuona huyo condom ni shujaa kwa kutumika na Magufuli kuumiza wapinzani? Ama unadhani tunasahau kwa kiwango hicho? Hapa tunachochea moto, sio kumuona shujaa huyo ngozi iliyombana?
Fatilia nyuzi na wanaharakati wanavyomsifu .
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Ajiuzulu Polepole kwenye serikali sisiem, lawama uwape chadema?

Huko shule ulienda kusomea ujinga?
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Kwani anapangiwa na nani maamuzi yake,Mimi nachojua Rahisi hatuna,huwezi geuza serikali agent wa mikopo no way
 
Back
Top Bottom