Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Huyu kazidi watu wamepotezwa sana awamu hii zaidi ya iliyopita.Kuua?!

Kikwete utadhani sasa yeye ndio Rais kwa namna anavyoishi.Anauza nchi na hataki shauriwa mzee wa msoga yupo busy ikulu as if ajastafu
Waulize wakandarasiNiambie tofauti yake nini?
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.
Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.
Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Usimpangie mtu-sasa hivi ndio kaona Kuna uhuniHuyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.
Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.
Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Huyu ni mnafiki wa kutupwa.Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.
Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.
Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Kuna jambo tunashindwa kulitofautisha kati ya hayati Jpm na Mh SSH ,Jpm alijitangaza kama kiongozi asiyetaka siasa Bali alitaka watu wafanye Kazi na matokeo yake mazuri wote tuliyaona ila sasa huku kwingne hatuna namna ya kuelezeq zaidi kiufupi ni kila mtu anafuata matakwa yake mwenyew
Sasa na wewe CHADEMA wanaingiaje hapo???Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.
Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.
Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
SIMPLE! ALIKUWA MNUFAIKA MKUBWAHuyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.
Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.
Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Acha kutukana pole kwa kujaliwa kuwa na fikra finyuAngalia huyu punguani bwana yako polepole ndiyo ana hoja?