Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

Kinamfanya aonekane mnafiki na mjinga kama hoja yake ni
kwa Kigezo cha Kutoridhishwa Mwelekeo wa Uongozi anasema hamna haki wakati wa Magufuli kulikuwa na haki?
Wakati wa Magufuli ni tofauti na sasa
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Kwa nini Kanisa la UFUFUO NA UZIMA LIMEFUNGIWA?
 
Kinamfanya aonekane mnafiki na mjinga kama hoja yake ni
kwa Kigezo cha Kutoridhishwa Mwelekeo wa Uongozi anasema hamna haki wakati wa Magufuli kulikuwa na haki?
Hata wewe ni mnafiki kwa sababu unapenda udini Na kwa sababu huyu ni dini yako pendwa hata akifanya yaleyale aliyokuwa anafanya mwendazake ambayo ulikuwa hupendi, bado utamsifia tu kisa udini.
 
Utawala wa magufuli ulikuwa na uhuni ila ulikuwa na utawala bora ila utawala wa sasa unauhuni uhuni uhuni watu wanaendesha inchi kama night club hatujui nani mfanya mfanya maamuzi w nchi imegezwa gheto magu aliheshimisha serikali
Mawazo yako hayo
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Machiavellian machinations.
 
Kila kitu na nyakati zake, kwa nini misikiti haikubomolewa wakati wa kikwete bali walikamatwa mashekhe tu?
 
Magufuli pamoja na madhaifu yake lakini nchi ilipiga hatua. Huyu wa sasa kageuza shamba la warabu anauza nchi
Hatua gani. Wakatu ndo kipindi ambacho neno vyuma vinekaza limeanziq kwake. Ajira hajatoa for 5 years. Wafanyakazi hawakupishiwa mishahara for five years. Investments nyingi zilifunga ajira zikayeyuka mfano manji na mabank kadhaa na kuwaacha watu wakilandalanda
 
Swali la hovyo sana.
Swali la hovyo sio kweli, labda ugumu wa swali muhimili wake umejichimbia chini zaidi hali ambayo inashindikana kupata majibu stahiki ndiomana umeamua kulifanya liwe la hovyo .
 
Demokrasia ni kamchezo kamaigizo, hakajawahi wepo .... You can`t practice Democracy halafu bado ukaikandamiza hiyo hiyo Democracy..
 
Hata wewe ni mnafiki kwa sababu unapenda udini Na kwa sababu huyu ni dini yako pendwa hata akifanya yaleyale aliyokuwa anafanya mwendazake ambayo ulikuwa hupendi, bado utamsifia tu kisa udini.
Wewe ni punguani kweli udini ni nini?
 
Unataka kumpangia mwanasiasa jinsi ya kufanya siasa zake?
 
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.

Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.

Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.
Wanasiasa wengi huwa ni wanafiki sana,mwanasiasa siyo mwenzio,na si wakumtegemea kwa dhati,lazima akuwache solemba, even lissu or heche note this!
 
Back
Top Bottom