a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,799
- 1,842
Hakuna sehemu ametaja Utawala Bora wa Kidemokrasia, hili umelitengeneza wewe kichwani. Usimlishe maneno.Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.
Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake binafsi na kundi lake, lakini si kwa nia njema ya nchi na wananchi. Polepole ni miongoni mwa wahuni anaosema tuwakatae.
Kataa wahuni. Udhalimu ni udhalimu tu haimanishi nani anafanya.