Huu mjadala unanihusu mimi Gang Chomba ambae nilikuwa Vice wa Puzza.
Tuanze na Ishu ya ugomvi kati ya Tambaza na Azania.
Ugomvi uliwahusu Walter Muro aka Sisulu from Azania ndio alikua mpinzani No 1 wa Puzza mpk kifo chake.
Walikua marafiki wakubwa mpk kulala kitanda kimoja na miaka michache baadae wakageuka maadui wakubwa jambo lililosabasha vita vya mara kwa mara kuanzia mitaani, shuleni na mara nyingine hata kanisani Ubungo Lutherani Church ambapo wote wawili wazazi wao walikua wazee wa kanisa (church elders & na waimba kwaya (choir members)
Ntarudi na kisa cha ugomvi wao...
Dogo wala usihangaike. Mimi nimekudharau tu. Maana hata word order kwenye sentence yako imekushinda. I won't argue with youand so are you
Mkuu walio iharibu ni wanaojibishana na hawa machalii wenye kiburi ya hela ya mzazi, bado ni tegemezi hawajui maisha waachwe wajifariji, kuwajibu ni kuwapa kichwa.. mwalimu Frank unafikiri alipiga yule dent kwa bahati mbaya ni product kama hizi zenye dharau ndio zinasababisha watu wafanye yale.Thread ni nzuri sana.. Tatzo imekuja kuharibiwa na madogo.. !
mkuu huyo Mwampemba hata mimi nilikuwa namkubali,ni yule jamaa alikuwa na vijimvi flani kichwani na pia alikuwa mchoraji katuni? ila Tambaza nako kulikuwa na jamaa anaitwa Lodrick wakati ule akiwa A level,hawa jamaa walikuwa wanastahili kucheza team kubwa,na kule kinondoni kulikuwa na aboubakar kombo.KWA KWELI UMISETA BADO MUHIMU.
Huu mjadala unanihusu mimi Gang Chomba ambae nilikuwa Vice wa Puzza.
Tuanze na Ishu ya ugomvi kati ya Tambaza na Azania.
Ugomvi uliwahusu Walter Muro aka Sisulu from Azania ndio alikua mpinzani No 1 wa Puzza mpk kifo chake.
Walikua marafiki wakubwa mpk kulala kitanda kimoja na miaka michache baadae wakageuka maadui wakubwa jambo lililosabasha vita vya mara kwa mara kuanzia mitaani, shuleni na mara nyingine hata kanisani Ubungo Lutherani Church ambapo wote wawili wazazi wao walikua wazee wa kanisa (church elders & na waimba kwaya (choir members)
Ntarudi na kisa cha ugomvi wao...
Hutaki ujinga upi?, sio kila story lazima uchangie, wewe hukuwepo kipindi hicho so acha kuandika uongo# sitakagi ujinga Mimi.
Sasa mwaka ule Si ilibadilishwa siasa ifundishwe kwa kiingereza!,sasa hiyo civics ndo akapewa mzee Lulindi daah....burudani..Lulindi Swahili, alikuwa na mizuka sana na kitabu cha Makumazan hasa Umsolopa
yes nakumbuka kulikuwa na mdogo wake akiitwa Hassan alikuwa azania na kumaliza 1991,ila china kama nakumbuka alikuwa kinondoni...Umemshau Athuman China.
Yule jamaa walter yuko wapi siku hizi?Huu mjadala unanihusu mimi Gang Chomba ambae nilikuwa Vice wa Puzza.
Tuanze na Ishu ya ugomvi kati ya Tambaza na Azania.
Ugomvi uliwahusu Walter Muro aka Sisulu from Azania ndio alikua mpinzani No 1 wa Puzza mpk kifo chake.
Walikua marafiki wakubwa mpk kulala kitanda kimoja na miaka michache baadae wakageuka maadui wakubwa jambo lililosabasha vita vya mara kwa mara kuanzia mitaani, shuleni na mara nyingine hata kanisani Ubungo Lutherani Church ambapo wote wawili wazazi wao walikua wazee wa kanisa (church elders & na waimba kwaya (choir members)
Ntarudi na kisa cha ugomvi wao...
Huyu jamaa sijui alifikiria nini,huu uzi unaweza ukaendelea kuwa hot mwaka mzima,leo siku ya ngapi bado uko mpya.Dah huu uzi ni kila kitu sijawah soma comment zote katika uzi mmoja ndio kwanza huu
afadhali ata shule yangu umetaja hawa ndo walikua vichaa pwani yoteNi kweli, nimekumbuka.Baadae Wajimila (R.I.P)alienda Kibiti kuwa mkuu wa shule.
Huu Uzi watoto wadogo hawawezi kuudandia maana hakuna wanalolijua.
Kweli mkuu,humu ukijifanya mkaidi unaweza kujikuta unamtupia dongo babaako mzazi ambae yuko nyuma ya ID fake ukaambulia laana za kimya kimya...Siku zote huwa nawaambia hawa watoto humu hatujuani kwa sababu ya hizi I'D zetu. Ila tukishaingia huko PM na kutambulishana tunabaki kushangaana. Respect kila ID unayokutana nayo humu.
Athumani China Hakusomaga Tambaza, nadhani labda ni Kino akiwa na Aboubakary salumUmemshau Athuman China.
Ile hamisha hamisha we uliperekwa wapi?..Nikiwa form one Tambaza 1994 nilivuliwa viatu na kunyang'anywa pesa na mwanafunzi aliyefahamika kwa jina la Dictator akiwa na mwenzake aitwaye Bedui.Aliyetoa wazo la kufuta O level Tambaza ashukuriwe maana nilichaguliwa tena Tambaza A level 1998 shule ilikuwa imebadilika.Mabronso na masistadu walikuwa wa kutosha.
Saga power yupo.Puza alikuwa mtemi sana,kipindi anaingia form one alipigana na jamaa wa form two,yule bwana wa form two alidundwa vibaya sana. Wapi Saga Power atueleze chanzo cha kifo cha Puza ila hakuwa na kesi ya mauaji