LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #241
Huu mjadala unanihusu mimi Gang Chomba ambae nilikuwa Vice wa Puzza.
Tuanze na Ishu ya ugomvi kati ya Tambaza na Azania.
Ugomvi uliwahusu Walter Muro aka Sisulu from Azania ndio alikua mpinzani No 1 wa Puzza mpk kifo chake.
Walikua marafiki wakubwa mpk kulala kitanda kimoja na miaka michache baadae wakageuka maadui wakubwa jambo lililosabasha vita vya mara kwa mara kuanzia mitaani, shuleni na mara nyingine hata kanisani Ubungo Lutherani Church ambapo wote wawili wazazi wao walikua wazee wa kanisa (church elders & na waimba kwaya (choir members)
Ntarudi na kisa cha ugomvi wao...
Rudi fasta bro utupe data