Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

hata wewe kuna sehemu utakuwa umekosea ndio maana unashinda huku jf.....jf ni mtandao wa watu walioshamaliza starehe zote za ujanani wamestaafu wana chat kupoteza muda...sasa we kijana mdogo badala ya kutafuta ela unashinda huku we utakuwa na stress sana za maisha..!
Mi sijapinga hilo niko humu sababu kuna sehemu nilikosea na pia umri bado unaruhusu kutafuta maisha tofauti hao wengine watu wako over 46 yrs wako jf na bado wanapinga eti wao maisha mazuri. Maisha mazuri mtu unafanya nini humu kama si stress. Kukosea kukosea tuu. Wajirekebishe na wajitathmini upya.
 
Yani ndiyo maana hua situkani watu mitandaoni wadau wengine mnastahili heshima zenu kwakweli, basi tu ujio wa tecno na huawei umefanya teknolojia iwe accessible kwa urahisi na matokeo ndiyo mmekutana na sisi. Wengine hatuna akili vizuri wengine tunajitahidi ila ndo vile, tusameheni wadau.
 
Tatizo lenu ndio hilo mnaukataa ukweli huku mkiendelea kuwa maskini na mawazo mgando. Kuanza upya sio ujinga na kukubali kuwa umekosea ni challenge ambayo inaweza kukusaidia kujijenga. JF ilikuwa home of great thinkers miaka hiyo ya 2007 mpaka 2009 sio sasahivi imekuwa political forum. Wengi wenu mlio humu ni njaa kali mmetumwa na vyama vyenu vya siasa kupiga porojo ili muweze kusaidia maisha yenu. hakuna hata mmoja anayekuja JF sikuhizi jst kuchangia mada au kuleta hoja ambazo zinaweza kuwajenga wengine.

Mfano mzuri ni wewe msem pitia thread hizo mbili ulizofungua na comments zote za nyuma ulizochangia inaonyesha wazi maisha yamekupiga una hela sio za maendeleo bali za kupeleka maisha mbele.

Watu waliokuwa vizuri kiuchumi huwez kuwakuta JF. Humu tumejaa sie vijana na nyie watu wazima ambao maisha yamewapiga. Kuanza upya si ujinga. Saa tatu hii usiku mtu una familia na umri umeenda uko JF kama si kukosa kazi nini?

Jitathmini mkuu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Hatare sana
 
Usijidanganye mkuu aliyetosheka na maisha aje JF kutafuta nini? Wote tuliomo humu tuna njaa tuu. Either tunaingia humu kwa kukosa kazi za kufanya, kujipoza na uchungu wa maisha au tumetumwa na vyama vya siasa kueneza propaganda.

Mtu makini na aliyetosheka na maisha saa hii. katulia na familia yake Au anapanga mipango mingine. Wote humu njaa kali tuu
kama we una njaa usifikiri watu wote wana njaa...wengine tuko Ulaya huku jf tunakuja kupata tu habari za nyumbani tanzania
 
Tatizo lenu ndio hilo mnaukataa ukweli huku mkiendelea kuwa maskini na mawazo mgando. Kuanza upya sio ujinga na kukubali kuwa umekosea ni challenge ambayo inaweza kukusaidia kujijenga. JF ilikuwa home of great thinkers miaka hiyo ya 2007 mpaka 2009 sio sasahivi imekuwa political forum. Wengi wenu mlio humu ni njaa kali mmetumwa na vyama vyenu vya siasa kupiga porojo ili muweze kusaidia maisha yenu. hakuna hata mmoja anayekuja JF sikuhizi jst kuchangia mada au kuleta hoja ambazo zinaweza kuwajenga wengine.

Mfano mzuri ni wewe msem pitia thread hizo mbili ulizofungua na comments zote za nyuma ulizochangia inaonyesha wazi maisha yamekupiga una hela sio za maendeleo bali za kupeleka maisha mbele.

Watu waliokuwa vizuri kiuchumi huwez kuwakuta JF. Humu tumejaa sie vijana na nyie watu wazima ambao maisha yamewapiga. Kuanza upya si ujinga. Saa tatu hii usiku mtu una familia na umri umeenda uko JF kama si kukosa kazi nini?

Jitathmini mkuu.
Mkuu hii naifananisha na muungwana aliyekuwa anaoga mtoni halafu ghafla anatokea mtu mwenye matatizo ya akili (kwa lugha isiyo ya kiungwana mwendawazimu) anachukua nguo zake na kukimbia nazo kwa matumaini kwamba muungwana ataacha kuoga na kumkimbiza...,Ni kweli kabisa maisha yamenipiga ila kuamini kwamba wote humu JF pia maisha yamewapiga ni kutokujitambua,na siku hizi matajiri wenye ULIMBUKENI wa kuchagua wawepo sehemu flani na wasiwepo sehemu nyingine ni wachache mno,matajiri miaka hii ni wajanja,wanajichanganya kila mahali,WATU WANANYUMBULIKA,sio kama matajiri wa enzi ya mkoloni hata msiba wa jirani yake haendi kwa kuwa ataonekana sio tajiri.watu wengine unawakuta JF saa tatu usiku kwa lengo la kuwaelimisha watu kama nyie.JIONGEZE MKUU.
 
Mi sijapinga hilo niko humu sababu kuna sehemu nilikosea na pia umri bado unaruhusu kutafuta maisha tofauti hao wengine watu wako over 46 yrs wako jf na bado wanapinga eti wao maisha mazuri. Maisha mazuri mtu unafanya nini humu kama si stress. Kukosea kukosea tuu. Wajirekebishe na wajitathmini upya.
Umri sio ishu mkuu mbona Le Mutuz anakaribia miaka 60 bado ana ndoto za kuwa bilionea anakula batazz na warembo ambao hata wewe pamoja na kuwa na umri mdogo huwapati..!
 
kama we una njaa usifikiri watu wote wana njaa...wengine tuko Ulaya huku jf tunakuja kupata tu habari za nyumbani tanzania
Nimekuelewa mkuu. Kama kuna watu wanaongoza kwa njaa ni nyie mliokuwa ughaibuni. Habari za nyumbani kama kweli uko serious ungeweka makazi DW Swahili, au BBC swahili na mitandao ya magazeti. Huku JF tuna habari za Puza, chadema, CCM na lipumba na Maalim seif. Kama ndiyo hizo unazozifuatilia humu basi utakuwa ni mmoja wa wabeba box wanaoona aibu kurudi nyumbani.

Umefikia hadi hatua ya kuuza laptop yako? Kweli uki vizuri.
Nauza laptop ASUS mpya kabisa

Halafu wengi humu mi nawa judge pia kwa kupitia pia michango yenu ya nyuma. Hiyo nayo inatoa taswira ya mtu unayetaka kum reply au kumquote yuko vipi
 
Du jamaa kama ulikuwepo vile...he did exactly the same...alifagia kwanza uwanja na watu walishangaa siku hiyo jamaa kufagia uwanja...halafu unajua mdogo wake na yeye amefariki mwaka j

Yeah. Ila ngumi alikuwa anaziweza sana

R.I.P jamaa lakini tulikuwa mesi anasimamia foleni ya msosi siku moja akamchania shati jamaa, alichezea KO Na jamaa alitoka nduki kiukweli utawala wake ulitingishika baada ya tukio la KO wakati Yeye alikuwa mbavu Na mshkaji mwepesi, sie manjuka enzi hizo, tulikuwa tunamkubali Kama mtetezi wetu.
 
Mkuu hii naifananisha na muungwana aliyekuwa anaoga mtoni halafu ghafla anatokea mtu mwenye matatizo ya akili (kwa lugha isiyo ya kiungwana mwendawazimu) anachukua nguo zake na kukimbia nazo kwa matumaini kwamba muungwana ataacha kuoga na kumkimbiza...,Ni kweli kabisa maisha yamenipiga ila kuamini kwamba wote humu JF pia maisha yamewapiga ni kutokujitambua,na siku hizi matajiri wenye ULIMBUKENI wa kuchagua wawepo sehemu flani na wasiwepo sehemu nyingine ni wachache mno,matajiri miaka hii ni wajanja,wanajichanganya kila mahali,WATU WANANYUMBULIKA,sio kama matajiri wa enzi ya mkoloni hata msiba wa jirani yake haendi kwa kuwa ataonekana sio tajiri.watu wengine unawakuta JF saa tatu usiku kwa lengo la kuwaelimisha watu kama nyie.JIONGEZE MKUU.
Usijidanganye mkuu matajiri wako sasahivi wamelalia sufi huku wanakunwa ndevu. Acha sisi i mean mimi wewe ma yule maskini wa jamii forums tuendelee kuganga njaa humu. Saa nne usiku mtu na familia yake uko JF halafu eti hujapigwa maisha na hela unazo za kutosha? Hizo ni ndoto za alinacha
 
Mi sijapinga hilo niko humu sababu kuna sehemu nilikosea na pia umri bado unaruhusu kutafuta maisha tofauti hao wengine watu wako over 46 yrs wako jf na bado wanapinga eti wao maisha mazuri. Maisha mazuri mtu unafanya nini humu kama si stress. Kukosea kukosea tuu. Wajirekebishe na wajitathmini upya.
Kwan jf ni kituo cha wahuni na walioshindwa? Je hakuna mada za kitabibu na Afya humu? Habari za malez na ujasiriamali je ? Tatizo letu waafrika tunaangalia umri kwa namba sio kwa kujifunza, waache wazee waendelee kujifunza huku wewe ukifanya jitihada za kuwachafua
 
Umri sio ishu mkuu mbona Le Mutuz anakaribia miaka 60 bado ana ndoto za kuwa bilionea anakula batazz na warembo ambao hata wewe pamoja na kuwa na umri mdogo huwapati..!
Nashukuru kwa kukubali kwako na kusadifu haya ninayoyasema. Wengi wa mlio na umri mkubwa humu ni type ya huyo le mutuz
 
Kwan jf ni kituo cha wahuni na walioshindwa? Je hakuna mada za kitabibu na Afya humu? Habari za malez na ujasiriamali je ? Tatizo letu waafrika tunaangalia umri kwa namba sio kwa kujifunza, waache wazee waendelee kujifunza huku wewe ukifanya jitihada za kuwachafua
Siwachafui mi nawapa za chembe ili watoke humu wawe busy kufundisha watoto na wajukuu wao makosa waliyoyafanya ili yasijekujirudia.
 
Nimekuelewa mkuu. Kama kuna watu wanaongoza kwa njaa ni nyie mliokuwa ughaibuni. Habari za nyumbani kama kweli uko serious ungeweka makazi DW Swahili, au BBC swahili na mitandao ya magazeti. Huku JF tuna habari za Puza, chadema, CCM na lipumba na Maalim seif. Kama ndiyo hizo unazozifuatilia humu basi utakuwa ni mmoja wa wabeba box wanaoona aibu kurudi nyumbani.

Umefikia hadi hatua ya kuuza laptop yako? Kweli uki vizuri.
Nauza laptop ASUS mpya kabisa

Halafu wengi humu mi nawa judge pia kwa kupitia pia michango yenu ya nyuma. Hiyo nayo inatoa taswira ya mtu unayetaka kum reply au kumquote yuko vipi
mkuuu...kwani ukikaa ughaibuni huruhusiwi kufanya biashara? Hizo laptop nikirudi hom kusalimia nakuja nazo nyingi tu kwa ajili ya kuziuza.? Nani kakudanganya Ulaya kuna maisha magumu?huku watu wanalipwa mpaka usd200 per day unasema kuna maisha magumu? Hivyo vi mishahara vyenu vya tsh laki tano kwa mwezi huku tunaingiza kwa siku unasema kuna maisha magumu? You are not serious!!!!!!#.....
 
Kuchangia nachangia huu mtandao ni wa bure hamna anayelipa kodi. Huna mamlaka ya kunizuia acha tuendelee kupiga miayo na kujaza server za JF. Wakati watu wazima na wanaojitambua mliokuwa nao enzi za Puza wakiwa wamelala. Na kufurahia matunda ya kazi zao.

Mi na wewe njaa tupu. Na nahisi hatuna kazi za kufanya kozi wanaojielewa wameshalala nw kesho kibaruani.

Dah ngoja nikalale nisije kukuiga kuendelea ku comment kumbe mwenzangu korokoroni.

Non sense!...kakojoe ulale!...umeingia ktk mada isiyokuhusu...its better to shut up!...sio lazima kila unachokiona jf uchangie..kisichokuhusu unaachana nacho..
me
 
Nadhani huo utukutu wa Tambaza ndo ulipelekea wasichana kuanza kusoma hapo.wakati huo sie tupo sec za mkoa,Tambaza ilikuwa inajulikana nchi
Nadhani huo utukutu wa Tambaza ndo ulipelekea wasichana kuanza kusoma hapo.wakati huo sie tupo sec za mkoa,Tambaza ilikuwa inajulikana nchi nzima kwa utukutu.

Wakati Tambaza iko peak kwa fujo, O level ya Tambaza ilikuwa na wanawake na kulikuwa na. PCM na PCB tu
 
Back
Top Bottom