Tatizo lenu ndio hilo mnaukataa ukweli huku mkiendelea kuwa maskini na mawazo mgando. Kuanza upya sio ujinga na kukubali kuwa umekosea ni challenge ambayo inaweza kukusaidia kujijenga. JF ilikuwa home of great thinkers miaka hiyo ya 2007 mpaka 2009 sio sasahivi imekuwa political forum. Wengi wenu mlio humu ni njaa kali mmetumwa na vyama vyenu vya siasa kupiga porojo ili muweze kusaidia maisha yenu. hakuna hata mmoja anayekuja JF sikuhizi jst kuchangia mada au kuleta hoja ambazo zinaweza kuwajenga wengine.
Mfano mzuri ni wewe
msem pitia thread hizo mbili ulizofungua na comments zote za nyuma ulizochangia inaonyesha wazi maisha yamekupiga una hela sio za maendeleo bali za kupeleka maisha mbele.
Watu waliokuwa vizuri kiuchumi huwez kuwakuta JF. Humu tumejaa sie vijana na nyie watu wazima ambao maisha yamewapiga. Kuanza upya si ujinga. Saa tatu hii usiku mtu una familia na umri umeenda uko JF kama si kukosa kazi nini?
Jitathmini mkuu.