Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Kwa uelewa wangu Mkuu wa nchi anapoenda kuzuru nchi nyingine mfano Nigeria, Ghana, Uganda, Malawi. Afrika Kusini nk. inabidi APOKELEWE na Mkuu wa nchi husika au mwenyeji wake. Sasa kwa Mhe. Rais wetu protokali kama hiyo ilifuatwa nchini Ghana?.
 
🀣🀣 kwa hizi comments za wadau kweli akutukanaye hakuchagulii tusi
 
Kwa uelewa wangu Mkuu wa nchi anapoenda kuzuru nchi nyingine mfano Nigeria, Ghana, Uganda, Malawi. Afrika Kusini nk. inabidi APOKELEWE na Mkuu wa nchi husika au mwenyeji wake. Sasa kwa Mhe. Rais wetu protokali kama hiyo ilifuatwa nchini Ghana?.
umeshasema nchi nyingine. kulikua na haja gani kuanza kuzitaja?
 
Yaani, kwanza hata nguo, viatu wote wacheki hao wanaompokea, duh, kama wauza supu
 
Ni ndugu wa Morisone hao yule mchezaji anaetusumbua kwa wehu wake huku Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…