Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Kwa uelewa wangu Mkuu wa nchi anapoenda kuzuru nchi nyingine mfano Nigeria, Ghana, Uganda, Malawi. Afrika Kusini nk. inabidi APOKELEWE na Mkuu wa nchi husika au mwenyeji wake. Sasa kwa Mhe. Rais wetu protokali kama hiyo ilifuatwa nchini Ghana?.
 
🤣🤣 kwa hizi comments za wadau kweli akutukanaye hakuchagulii tusi
 
Ujuaji wa waTz bhana
20220523_224109.jpg
 
Kwa uelewa wangu Mkuu wa nchi anapoenda kuzuru nchi nyingine mfano Nigeria, Ghana, Uganda, Malawi. Afrika Kusini nk. inabidi APOKELEWE na Mkuu wa nchi husika au mwenyeji wake. Sasa kwa Mhe. Rais wetu protokali kama hiyo ilifuatwa nchini Ghana?.
umeshasema nchi nyingine. kulikua na haja gani kuanza kuzitaja?
 
Wakuu, hivi kweli mkuu wa nchi anaweza akapolekewa na hawa watu kweli?

Kuna huyu amevaa kana kwamba ametoka kwenye ofisi ya mtendaji kuandikisha mkataba wa mauziano ya mifugo (na mkoti wake na safety ruber shoes.

Halafu na huyo mdada kama mratibu elimu kata Wallah.

View attachment 2236124

Mama amepokelewa huko Accra, Ghana. Halafu kuna lijamaa halina hata kisogo.

View attachment 2236133

Yaani, kwanza hata nguo, viatu wote wacheki hao wanaompokea, duh, kama wauza supu
 
Ni ndugu wa Morisone hao yule mchezaji anaetusumbua kwa wehu wake huku Tanzania.
 
Back
Top Bottom