Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Tangu lini Rais wa nchi akapokelewa na viongozi mbalimbali?
Nadhani hadhi ya Rais alipaswa kupokelewa na watu rasmi wanaojulikana kwa majina na vyeo vyao.
Inategemea na aina ya ziara aliyofanya.
 
Yaani anatia haibu, rais mzima unapokelewa na viranja kweli, where's her worthy? Mama tafadhali baki nyumbani nasi, hauna haja ya kutalii duniani....unajidhalilisha mno na kukosa maana.
Anapokelewa na wauza chips na wauza uji
 
Asiseme ukweli???
Kwan hiyo picha si imejieleza, angalia hata wearing style ya waliompokea, huoni kama wametoka kwenye vikoba??
True. Hiyo vaaji ya hao viongozi mbalimbali inatoa picha sahihi ya mleta hoja.

Ukizoom picha na kuona viatu alivyo Vaa huyo mdada anayesalimiana naye na huyo brothormen mwenye suit ya kachumbari utayaona jinsi gani hawakuuchukulia ugeni serious. Kama wangekuwa wamevaa yale manguo yao ningeelewa.
 
Akhsante sana ndugu bagamoyo kwa kutuwekea "sosi" za uhakika kama kawaida yako.
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inapwaya.
Ikulu inapwaya.
 
acheni mambo ya jabu ajabu nyie watu wapo busy na kujenga nchi zao. nyie mnafikiria kila rais yupo free wakati wote? mwacheni rais aifungue nchi. nyie sukuma gang mnajisikia wivu rais anatembea
 
Dadavua kidogo ,kipi kilichotokea kibaya?,
 
Itifaki zinatofautia ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…